Sponsor

MASHINDANO YA KIHIFADHI QUR'AN TUKUFU

6:35:00 AM

Waislam wote mkijaaliwa na Mwenyezi msikose kuja kuwapa support watoto wetu, mashindano hayo ni kesho hapo Diamond Jubilee, Mashughuli blog tutakuwepo kwa picha
Ramadhaan Mubarak!!!
AISHA SURURU FOUNDATION INA YOFURAHA YA KUWAALIKA KATIKA KILELE CHA MASHINDANOYA KUHIFADHI QUR'AN, SIKU YA JUMATANO, TAREHE 08/08/2012 KUANZIA SAA 2ASUBUHI HADI 9ALASIRI KATIKA UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE, SHIME ALEIKUM TUJITOKEZE KWA WINGI,
KWA MAWASILIANO ZAIDI.
+255 777 162 496
+255 715 279 274
+255713 268 881

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.