LOOK OF THE DAY!!!

Ramadhaan Mubarak! my BFF Fashionista Ghaife!!!


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

13 comments:

 1. MASHAAAALLAAH UMEPENDEZAJEEEEE SHOGA YANGU MBAGAMOYO HALISI,RAMADAN KAREEM DEAR.

  ReplyDelete
 2. Mashallaah Ghaife nimependa kila kitu hapo,ukija bongo tena tuletee pochi kama hiyo,umependeza saaaaana mashallaah.

  ReplyDelete
 3. Tishaaaaa Ghaife pendeza mashaallah.

  ReplyDelete
 4. Bff wangu full kujiachia kwa raha zako,nakuaminia Muke ya Frisch chezeeeeea wee.

  ReplyDelete
 5. Mashallah bibie umependeza na Ramadhani ikiisha usivue hijab yako inshaallah.

  On another note, Hellen you are one of a kind, yaani umeurespect huu mwezi wa Ramadhani as if wewe ni muislam; maana mimi huingia huku kwa blogu yako sijui kutwa mara ngapi kwa sababu natumia hii blogu yako kama link ya kuingia kwenye blogu nyingine lakini tangu Ramadhani imeanza ni picha za heshima tu au matangazo ya biashara, hata wakaka wakiingia hawawezi kuvunja saumu zao. Mwenyezi Mungu akufungulie milango ya kheri ameen.

  Mdau wa Mashughuli

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ameeen,mashaallah M.mungu amemjaalia Hellen ni muungwana na ni mdada anayependa maendeleo,anapenda sana ku deal na watu wenye maendeleo kama wafanya biashara na kuwasaidia kusonga mbele,hanaga wivu na mtu,anaheshimu dini ya kiislam ingawa yeye sio muislam MASHAAALLAAH mungu azidi kukuzidishia moyo huo huo INSHALLAAH... My dear Ghaife umependeza na hijab yako mashallaah nakuombea kwa M.mungu azidi kukujaalia kila la kheri wewe na familia yako inshaallah,plz usiivue hijab uko kama muhabesh vile.

   Delete
 6. Mashaallaah mke wa Frisch,Ramadhan kareem.

  ReplyDelete
 7. pendeza sana ndugu yangu, Ramadhan Kareem inshaalah

  ReplyDelete
 8. Super mdada uko cool sana,mie naku admire sana na familia yako,keep it up.

  ReplyDelete
 9. Nice pic,rangi zimekupendeza sana mashallaah.

  ReplyDelete
 10. SOOOOO CLEAN MASHAALLAH.

  ReplyDelete
 11. Sasa wote ni ma BFF tu? mbona huweki na za BBF? au nanihii?

  ReplyDelete
 12. Utabaki kuguna na kigugumizi chako akiwa BFF asiwe unakuhusu nini kama unataka tuma yako pia utaweka kizee kilevi wee

  ReplyDelete