DAUDI AMEJENGA MSIKITI NA KITUO CHA WATOTO YATIMA-MKOA WA PWANI !!!

Siku hii alifuturisha baadhi ya wanakijiji na kufungua msikiti
Tulianza kwa kutembezwa, hii ni sehemu ya watoto yatima watakaolelewa hap, idadi yake ni 40 tu!!
Hii ni nyumba ya Daudi....!!


Kwa ndani
 
Hii ni servant quarter 
Parking ya magari
Nyumba ya bi mkubwa, mama yake Daudi
   Kwa ndani
       kwa ndani
kwa nje
ukuta embu ona kwa karibu!!!
Nilipenda sana kichuguu eeh!!
huu ndio msikiti....!!
Kisima kwa ajili ya kutawadha!!!
Nyumba ya Imamu wa msikiti!!

Nyuso
 Saida & Muzne 
 Wana Kijiji
 Fatma & Pamela
 Bahiya na wana kijiji
Zainabu & 
 Mama mzazi wa Saida 
 Halima Kamusi & friend
 Faiza mtoto wa Saida & Daudi akiomba dua!!!
 Mashughuli nikishuhudia niwaletee habari, ya mambo manzuri ya kumpendeza Allah!!!
 Bibi na wajukuu zake, Faiza & Phares watoto wa Saida & Daudi
 Sisi na mama mzazi wa Daudi

Ndani ya msikiti sehemu ya wanawake
wanaumeHilkat

Iftaari iliyoandaliwa na Yahaya Catter 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 


 Daudi akiwahudumia wageni!!!Sabaha!!!!!Red Carpet
 Bi mkubwa
Umemuona Mr. Peace!!!

Faiza. Daudi, Phares & Tanisa
Dad's Daughter

Daudi na watoto wake wapenzi!!!, awali awali hakuna mbovu!!!

Halima kamusi, designer wa nguo ya Daudi, uko juu BFF
Kibabude!!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

33 comments:

 1. Mashallah hongera Bw. daudi kwa yote uliyofanya na pia dada hellen kwa kutupostia habari hii mana bila wewe tusingeziona

  ReplyDelete
 2. Jamani mambo ya kheri haya tunayapata kupitia blog hii ya mashughuli mimi naona hii ndio blog ya jamii haichagui katika kuleta habari, Daudi jaza yako iko kwa allah!! Saida uko juu naona beneti na familia, watoto wenu wanzuri sana!!! mimi nakupenda kweli Saida huna time na mtu ila magubegube ndio yanakufata hawakuoni?? uko nao tofauti!!!

  ReplyDelete
  Replies
  1. Wanamfatata kwa sababu wanamuonea wivu,hana time na magubegube,Saida ni mzuri mashallaah na ana bakhti sana,keep it up my sis Saida wapige vibao na maendeleo yako,M.mungu azidi kuwafungulia kila la kheri na barka tele wewe na familia yako inshallaah.

   Delete
 3. Aunty Muzne,bahiya hongereni kwa kusimamia jambo la kheri!!!

  ReplyDelete
 4. Mashallah, haya ndio mambo ya kufuata sio mtu anakwambia "follow me on twitter" sasa ukishamfuata huko twitter ukajifunze nini. Lakini hapa leo nimejifunza vitu vikubwa vifuatavyo

  1. Nyumba ya mzazi, kulea na kuwatunza mzazi, kwani pepo yetu ipo miguuni mwao
  2. Kulea yatima
  3. Kujenga nyumba za ibada zenye makazi ya Imam kabisa, tena yenye hadhi kama nyumba zetu.
  4. Iftar iliyopelekwa kijijini, mie huwa nashangaa makampuni na watu wenye uwezo kuwalisha iftar watu wenye uwezo. Huu wa Daudi kuwalisha masikini vyakula ambavyo tunaviona tunu ndio mfano hasa wa kufuatwa sio yale matwitter!
  5. Kujumuika watu wa hali zenu bila kujali madaraja.

  Mwenyezi Mungu akuzidishie kila la kheri Bwana Daudi na familia yako, Dada Hellen, na atuwezeshe na sisi tuige mfano wa bwana Daud, ameena yarabil -alamina!

  ReplyDelete
 5. Mashallah ALLAH amzidishie kwa yote afanyayo napia watoto waje kuiga mfumo wa baba yao kwani ni jambo zuri sana alolifanya ALLAH ampe umri, amzidishie rizki na amuondoshee yote mabaya. Ahsante anty kwa kutuwekea jambo zuri namna hii nawe pia ALLAH akubariki Insha Allah.

  ReplyDelete
 6. Replies
  1. ni binadamu ana mikono 2 na miguu 2 km wewe!
   kwani unafkiri hana hadhi ya kuwekwa hapa au?

   Delete
  2. Daudi ndio huyo hapo juu na picha zake zimeonyeshwa hapo juu, yeye na familia yake.

   Delete
 7. mashaallah. kila la kheri Mr&Mrs daudi, umeonyesha mfano mzuri, pia watoto wenye uwezo muwafanyie wazazi wenu wema wakiwa hai usisubiri wakitangulia mbele ya haki. sio wewe unalala pazuri mzazi wako hana pa kujistiri haifai.Mr. Daudi mwenyezi mungu atakulipa kwa kheri uliyoifanya. Amin.

  ReplyDelete
 8. Kakaangu DAUDI KANYAU kwanza nimefurahi sana kukuona kaka,kweli mwenyezi mungu yupo karibu na wenye kusubiri,umepitia vipindi vigumu sana leo mungu kakupa na wewe umerudisha fadhila kwake,Inshallah atakuzidishia zaidi na zaidi

  ReplyDelete
 9. mdau wa u turn blogAugust 13, 2012 at 9:58 PM

  Hivi walichanaga na sauda au bado wako pamoja?mjuaji anikaze kitako anijuze,asanteni sana

  ReplyDelete
  Replies
  1. lo huo ni umbea kama wameachana au la inakuhusu nini wivu tu unakusumbua nyang'au wewejitume uwe kama wenzako na si udaku wabongo hampendi maendeleo ya wenzenu mnapenda uswahili tu big up na mashallah familia ya saida kwanza saida anajitoa sana katika mambo ya jamii lazima sifa yake apewe ni mkarimu na mtu wa watu halafu ana kipaji ana nyota na ana pesa utamuweza wapi wewe kaa na umbeya wako na majungu wenzako wanasonga mbele utakufa kwa udaku ningekujua ningekustaje paka mapepe wewe

   Delete
  2. Nimechekajee,ameumbukajee mtu mzima ovyooo,wenzie wanasakata buti na kupiga maendeleo yeye amebakia umbea tu,watamuona hivi hivi,wako wengi watu kama hao wasiopenda kuona watu na akili zao wakifanya vitu vyao,wanapenda sana kuweka chuki na wivu wao nje nje kwa ujinga wao,dawa ndio kama hii piga bakora woote wenye WIVU na maendeleo maendeleo kwa kwenda mbele,watu siku hizi wanaangalia mambo ya maana ya kufanya sio vigege,wivu,umbea au kugombanisha kumepitwa na wakati,waliolala msiwaamshe watabakia kuzeeka na kukomaa mijuso yao kwa fitna,iwe wameachana au wamerudiana yanakuhusu nini kenge wee uliyekomaa sura.

   Delete
  3. mdau wa u turn blogAugust 15, 2012 at 5:06 PM

   Nilikua nataka kujua ili kama wamerudiana niwasomee surat Yassin iwe kinga ya ndoa yao wasifarakane tena,wasonge mbele lakini mavuvuzela kawaida yao kudandia mambo na kupiga un-necessary noise..narudia tena mjuaji anikaze kitako anijuze,wako pamoja hawa wapendwa ama la,achaneni na kelele za mlango hizo mbili hapo juu,hazimfaham hata Daudi mwenyewe wala huyo saida,naomba watu wa mjini ndio wanijibu kwani ndio wanaoweza kuwa na majibu kwa kuwa kanyau mwenyewe ni mtu wa mjini

   Delete
  4. wewe mdau wa uturn huna lolote unafiki unakusmbua tulokujibu ni wa mjini pia na tuna upeo umsomee yasin wewe kama nani unafiki tu unakusumbua unajifanya wa mjini vurugu tupu tumekupa ukweli ndo maana yamekushuka hata huyo daudi na familia yake watakushangaa nakushauri jisomee yasin i mwenyewe mungu akufungulie hizo nuksi ulizonazo na ndo maaana kila ufanyalo hufanikiwi kazi kuchunguza ya wenzako na kuhangaika kwa masangoma tunakujua sana endelea na hicho kimbelembele tutakuumbua fisadi kiwembe wewe

   Delete
  5. WEWE SIO WA MUHIMU KWAO NA PIA WEWE SIO WA MUJINI,KWANI UNGEKUWA WA MUJINI BASI UNGEKUWA NA TAARIFA KAMILI ZA KURUDIANA AU LAA,HABARI KAMILI TUNAZO SISI WA KARIBU YAKE WEWE CHA UMBEA HAYAKUHUSU NENDA KWENYE MA BLOG YA UDAKU HUMU HATUTOI HABARI ZA WATU ZA UNDANI,ANGALIA PICHA NENDA ZAKO UMBEA SIO MAHALA PAKE HUMU.

   Delete
  6. Hawajarudiana ndio maana unaona hakuna hata picha waliyopiga pamoja kama familia bali zipo picha za Daudi na wanae aliozaa na Saida,yeye alihudhuria hapo kama mualikwa tu,mwenye nyumba yupo,nadhani nimekujibu sawasawa

   Delete
 10. Mabruk!! inshallah kher bwana Daudi, ni amali njema ya kesho mbele ya hukumu ya haki, mashallah mashallah, hii ndo kheri ya kuwa na pesa na ukuitumia si kwa kujinufaisha peke yako tu, bali na kukumbuka binaadam wenzio ambao wangependa kuishi vizuri lakini kwa uwezo wa Alah ametuachia kati yetu tuwe navyo na ametuamrisha tutumie vipi; ni kama mtihani kwetu binaadam, - je, tutagawana na wengine walokua hawajapata?? sasa tunaona kweli Daudi umeweza kupasi mtihani huo, inshallah, inshallah u mejiwekea nafasi nzuri kesho akhera - ameen.

  MABRUK!!! JAZAKA ALAHU KHEIR!!!

  ReplyDelete
 11. Mashallaah haya ndiyo mambo ninayopenda kuyaona maendeleo maendeleo,Mwenyeezi mungu azidi kuwafungulia kila la kheri na familia yako inshallaah,Da Musney nakuona pendezaa sana,mie miss you my mdada,aunty Bahiya wewe toka safiii,my bff Hellen uko juu shoga yangu.

  ReplyDelete
 12. haya ndio mambo yaani mtu anapeleka futari inapotakiwa hebu angalia hao wana kijiji walivyofarijika, mungu awazidishie, awaongeze umri mrefu mfanye mengine makubwa zaidi ya haya, Daudi umeonyesha mfano hakuna kama mama pepo yako iko hapo, sadaka tul jaria unayo hapo wafunze na wanao wafuate nyayo zako, kweli, I am speech less ila yoe nawaombea kheri, jamani tuache ufahari wa kuita watu kula machakula tufanye ya kumpendeza mungu.

  ReplyDelete
 13. mashallah mr Daud Mungu akujaaliye kila la kheri akupe umbri mrefu wenye mafanikio duniani na kesho akhera akukuzie wanao wafate njia za kheri na pia Mungu aibariki familia yako yote Ameen, Hongera. ROGER COPENHAGEN DENMARK

  ReplyDelete
 14. HONGERA SANA TENA SANA JAZA YAKO NI KUBWA KESHO MBELE YA HAKI MUNGU AKUJALIE KILA LA KHERI NA MAISHA MAREFU WEWE NA FAMILIA YAKO NIMEPENDA SANA ULIVYOMKUMBUKA ALLAH KUWA MBELE YA KILA JAMBO NA MZAZI WAKO NDIO NGUZO KUBWA KUWAJENGEA NYUMBA YA IBADA NA YATIMA KUSITIRIKA NI WACHACHE WALIONAZO KUKUMBUKA HILO MUNGU AKUZIDISHIE
  LEILAH SHOMARI

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ni kweli ndugu hapo juu,si wengi walizonazo kukumbuka kufanya jambo kama hili,inasikitisha sana kuna watu wana mapesa sana ila wanachojua wao ni kufanya party kila weekend,lakini huu ni mfano mzuri katuonyesha Daudi mashallaah mungu azidi kumfungulia inshallaah.

   Delete
 15. YOTE YAMESHA SEMWA MOLA ATUWEZESHE NA SISI.. ASANTE SANA DADA ELENA KWAKUTUPA MAMBO MAZURI KM HAYA...MOLA AKUZIDISHIE..HAHAHAH MUDDY WASHINTON.. KUMBE UPO NA HUKU....

  ReplyDelete
 16. MASHALLAAH DADA YANGU SAIDA NA FAMILIA YAKO,M.MUNGU AZIDI KUWAFUNGULIA KILA LENYE KHERI,ZIDI KUWA KARIBU NA MWENYEEZI MUNGU NA WAOLIKUWA WAKIKUSEMA NA KUKUFANYIA MABAYA SEMA ALHAMDULLILLAH MWACHIE MWENYEEZI MUNGU,NA ALHAMDULLILLAH ZAKO NDIZO ZITAKAZO WACHAPA BAKORA,WATABAKIA KUKOMAA MIJUSO YAO KABLA YA SIKU ZAO KWA MABAYA YAO WANAYOWAFANY'IA WENZIWAO,NA PIA SHUKURU SANA KWANI BINAADAM AKIKUSEMA KWA UBAYA NI SAWA NA KUKUFUNGULIA BARKA KATIKA MAISHA YAKO,WATU HAWAJUI TU,NA NI SAWA NA KUJIFUNGIA RIZIKI ZAO NA KUMFUNGULIA YULE UNAYEMSEMA KWA UBAYA,RIZIKI HUTOKA KWENYE TUMBO LA MWENYE SHARI HAWAYAJUI HAYO,KAZA BUTI WEWE NA BABA WATOTO WAKO HUU NI MFANO NZURI WA KUINGWA MASHALLAAH,MMENIFURAHISHA SAANA KWA HILI,MWENYEEZI MUNGU AWAJAALIE MENGI MENGI ZAIDI YA HILI INSHALLAAH,AWAPE WEPESI KWA KILA JAMBO NA AWAFUNGULIE MLANGO WA KHERI INSHALLAAH,RAMADAN KAREEM.

  ReplyDelete
 17. HELLEN UMEPENDEZA MNO NDAN YA HIJAB,,MUUWWW!NIMEKUPNDAJE DADA YANGU!
  SAMAHANI HUJASEMA HICHO NI KIJIJI GANI AU SIJASOMA VIZURI,,VYAKULA HIVYO EEEH NA HIVI HAPA LONDON KUFUTURU MPAKA SAA 3,,NA JUA KALI KUZIDI LA BONGO,,EE IMETAMANISHA,,,
  HELLEN UBALIKIWE SAAAAAAAAAAAAAAAAAANA!NINAVYOZIDI KUTEMBELEA BLOG NDO NINAVYOZIDI KUKUFEEL KAMA DADA YANGU KABISAAAA WA DAMU,,,,JAMANI NIKIJA NIKAKUTAFUTA USINIIGNORE WALA USSSSSS MUUU!
  LEYLATUL-QADR KAREEM & EID MUBARAQA
  AHLAM,,,LONDON

  ReplyDelete
 18. Jamaniiii Daud amefanyaaa jambo la maana Sanaa.......mashallahh
  Na hao watoto wa Daud wamekuwa sanaaaaa .......wazuriiii mashallahh mungu akukuzie sanaaaaaaaa jamaniiiii watotoooo wa kiarabuuuu wanawaka.
  Saidaaaa hazeeki mashallahh anazidi kung'aa

  ReplyDelete
 19. Jazakhallah kheir dauda.. Mwenyeezi Mungu azifi kukufungulia milango ya kheri

  ReplyDelete
 20. Huyo mdau wa u-turn blog katoka wapi huku, aondoke haraka sie hatutaki kutukanwa waende huko huko, wameshakatazwa kucomment nje ya hiyo blog sasa huku anakuja kufanya nini??

  ReplyDelete
  Replies
  1. mdau wa u turn blogAugust 17, 2012 at 8:59 AM

   wewe mwenyewe uko addicted na u turn ndio mana unajua kila kinachoendelea kule...otherwise usingejua kwamba kuna katazo la kwenda mtaa wa pili na watatu but sio mashughuli,ukariakoo wangu ndio unaonileta humu cuz najua ntawaona ndugu zangu kwa kuwa niko mbali,that's it

   Delete