BACK TO NAIJA WEDDING!!!


Yale ninayoyasema raha nguo mbili umeona kabadili...!!!
Traditional Wedding!!

 

 

Fashion ya kitenge kwa sasa ni kumix kitenge cha aina moja rangi tofauti umeona eeh!!

Mama Lowassa yeye alichanganya hivi..!!

TO SEE MORE BELLANAIJA

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

6 comments:

 1. JAMAN WAZURIJEE WENZETU WAPO JUU BALAA LOH. MAKE UP KILEMBE NDIO USISEME HONGERA ZAO

  ReplyDelete
 2. eheeeeeeeeeeeee umefanya la maana sana hellen; kwa kweli uko juu, sasa umeleta hizi picha za 'bellanija' ZA ARUSI ZA KINIGERIA.... kusudi ni vyama tuangalia kwa makini jamani... wenzetu wanavokuwa simple kwenye arusi zao, kuanzia make ups, acessories zote na in apendeza, hakuna makorokoro tele kwa bi arusi, yaani kichwani mikorokoro, shingoni mikorokoro, masikoni, wenze tu hawana hiyo wako kwa kweli natural, inapendeza, simple but beautiful!! si mnaona wanavopendeza!! HEBU TUBADILE BASI NA SIE,its high time now.... na wala wenzetu hawaoneshi unyago, kiuon, uchi, yaani ni arusi za ustaarabu kwa kweli sana sana ni dansi la ki heshma, kama wanafanya basi vyumbani mwao na si hadharani; nasi badilike jamani na sie, tukiamua kuonesha basi tuchague shughuli gani tuoneshe kwa kila mtu, picha nyingine ziwe zetu tu majumbani mwetu; na si kuonekana kwenye hadhara ya dunia!!!! HONGERA SANA HELLEN KWA MUAMKO WA KUTUFUNZA VIPI ARUSI ZETU ZIWE................ UBARIKIWE SANA..... ENDELEA KUTOA PICHA KAMA HIZI TUZIDI KUSOMA, BINAADAMU HAKUNA ALIEKAMILI, SOTE TUNAANGALIA NINI KINAFAA NA KIZURI TUSOMEEE...

  ReplyDelete
 3. hawa watu bana wanajua kupamba nit and classic.. i lov evry thing frm them are real gud in deco and make up....Lets Tanzania try ths...lol

  ReplyDelete
 4. kweli kabisa naku-support, umesema kweli tupu uliendika hapo juu. si kuonyesha viono, unyago na mengine yanayofanana, yooote hayo yafanyewe kama part ya shughuli zetu; na hellen anapiga picha vizuri tu, lakini hizo picha za unyago ziwe nyumbani na familia tuuu, maana kwa kweli ni unyago,tusioneshe humu jamani; tena tukifikia shughuli ya ndoa basi hizo ndo tuoneshane jamani eeeeee mbona tunapenda tu kuangalia jamani lakini hatupendi tu kuangalia UNGAGO....... TUSOME ALAMA ZA NYAKATI!!!!

  HELEN, WA INERNATIONALIIII, UBARIKIWE SANA..

  ReplyDelete
 5. Yaani harusi nzuri sana., makeups zao ni nzuri mno yaani sijui niseme nini. Nakumbuka humu ndani kuna harusi mmoja ilikuwa ya mtoto wa Rose wa Antelope mpambaji wake alikuwa mzuri kama huyu wa harusi hii. Pse naomba contacts zake dada mwenye blog. Will appreciate. Ahsante.

  ReplyDelete
 6. NAWANGA MKONO WA JUU SIE HARUSI ZETU ASILIMIA 98 MIKOROGO ,79 MAKE UP UNAKUTA MTU KAWEKA SHEDO KUFATANA NA NGUO MACHO YANAMPARAMA KAA KABANWA NA MLANGO , UKIKUTA SARE KICHEFUCHEFU KILA MTU NA STYLE YAKE, UJE WENYE MADODO KAA YANGU WANAYAACHA WAZI ,SIJUI TUTAENDELEA LINI NA BLOG YA MASHUGHULI INATUONESHA MAMBO MAZURI, NA HARUSI ZETU NAAMINI WANAMICHANGO MINGI YA KUFANYA HARUSI IWE NZURI

  ReplyDelete