Sponsor

AMANA BANK YAFUTURISHA@GOLDEN TULIP

4:10:00 AM

Amana Benki (L.T.D) inayoendeshwa kwa kufuata sheria na taratibu za dini nchini, huduma zinazotolewa na benki hiyo kufuata misingi ya dini ya Kiislamu, zinawahusu pia watu wa makundi yote wakiwamo wa dini nyingine wanaoamini katika mfumo wa kibenki unaofuata sharia.
 moja ya misingi iliyomo katika mfumo wa sharia za Kiisilamu ni kuendesha benki isiyotoza riba.
  huduma zinazotolewa na Benki hiyo kuwa ni akaunti za akiba, akaunti ya watoto, wanawake, Hijja, hundi, biashara na akiba kwa ajili ya akiba pia na nyumba za ibada zilizosajiliwa.
 Mkurugenzi wa Amana Bank Dr. Idrissa Rashid, akiwa pamoja na waalikwa kabla ya Iftar


Wafanyakazi wa Amana Bank kwenye picha ya pamoja kabla ya Iftar, pendeza eeh!!
IFtar
 
 Wafanyakazi, wateja na wahisani wa benki ya Amana wakipata iftar pamoja.


Picha shukran 2AMPHOTOGRAPHY & DESIGN
+255 655 483 182
+255 713 498 035


You Might Also Like

1 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.