KITCHEN PARTY - ZAINAB HEMED SONGAMBELE

BRIDE  ::ZAINAB HEMED SONGAMBELE
VENUE ::MWIKA HALL SINZA
Colour  ::RED & GOLD
MC::JAMILA KITMTIM
ENTERTAINMENT:: RUSHA ROHO
DESIGNER::BAHIYA LUMELEZI

Zawadi za ukwee'e


Bedroom Set, inapatikana Home Shopping Centre!!!!


Zawadi za Somo wa ukwee hadimu kumpata, Saida Kanyau, jina limerudi pale pale watajijuuu!!

MC-Jamila kitimtim, nambari one!!!

Zainab akiingia ukumbini...!!!
Mashallah!!! na uzuri unachangia eeh!!!

 Zainabu akiingizwa kwa confidence kabisa na somo mkimya Saida Kanyau mambo yake makubwa!!!


Umeona eeh!!, designer wa nguo anaitwa BAHIYA LUMELEZI si made in CHINA, designer Bahiya amekeja na stone toka Dubai kwa hiyo anakurembeshea tu!!!

Mwali akifichuliwa...!!! 

 Fatmah Shisha, akimfichua mwanaye kwa mbwembwe zote, umemuona eeh!! anajinyajua na 6inch heel mwanzo hadi mwisho!!!
Mashangazi....!!
Baada ya kufichuliwa Zainab aliwakaribisha wageni na kuwashukuru...!!

Decor....
  Cake
Zawadi
  Nguo ya bi harusi niliipenda sana akikaa mmwago unamwagika akismama usiseme, kweli mbunifu Bahiya Lumelezi hakika uko juuuu!!!

 umeona eeh! mambo ya Fatmah Shisha mwaka mnzima anunui viatu!!!!

Japo muda ulikuwa kidogo tulimuomba Fatma Kibao asasambue japo kidogo tuone!!! maana vitu vya ukwee
 Fatmah Shisha mama business nje na ndani ya tanzania yeye anapiga kote kote China, SA TUMEKUSOMAAAAAAA!! TENA KWA HERUFI KUBWAAAA!!

 Aziza Songambele..!!
  Shangazi wakitoa zawadi kwa mwali wao!! hawa ndio Songambele's, wao wanasema Kilimo Kwanza so, walimpa mpwa wao heka kumi za shamba...!!

Somo Saida Kanyau mama wa China Style, mara 4 kwa mwezi chezea yeye!!! mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!!!, akikabidhi zawadi kwa mwali
 Fridge mpyaaaaaaaaaa, kitu ndani ya box, msije sema used mie shahidi!!!
 Saida Kanyau mama wa China na watu wake mwenyewe, waliomsindiza!!
Zainab akipozi na mashostito, Nuru, Tanisa, Faiza
Aziza na shostito Watende chezea watoto wa jiji
 Aziza Songambele na kampani yake walileta mashuka ya ukweee tu!!

Nitalibeba mwenyewe si nimetoa pesa zangu!!!  Aziza Songambele na mashostito baada ya kumtunza Zainabu! Mawaifi waliingia na vimino!!! wakamtunza wifi yako!!
Supriiiiiiseeee
Mchumba akiingizwa na madada zake....!!!
Omary akicheza mwenyewe si unajua zile za kiume weee unamwambie bibe wake "you chop my money cause i dont care"
Zainab & Omary
Zainab akivishwa pete ya uchumba!!!
Real Kiss eeh!!!


Rusho Roho!!!!
Nyuso'sShostito wangu anapenda kidole juuuu sana!!!

Fatmah & Pamela a.k.a mama Oprah!!Tanti Boy, Aziza & Watende!! pendeza eeh!!
Sameera, Jasmine & Friend

Pamela 
Mariam Mntambo pendeza eeh!!

Dalila, Alhanisa Sleyum & Tanisa mambo jumapili hapo chichi

Happy Baghdela & friend

mashostito!!Saida, Fatmah & Pamella
Red Carpet


Mariam Twahir


ushoga ndio huuu bana!!

Mchezo Pesa tunza utunzwe!!!Saida akiwa tayari kutunzwa
Tant Boy akipokea pesa

Fatma Shisha alimtunza somo wa mwanaye million moja!!! uko hapo!!!

wakicheza wenyewe kwa furaha!!!
Tanisa alimtunza Saida laki mbili!!! chezea watoto wa muji huu

Shostito Mariam alimtunza Shoga yake kipenzi mapesa akamalizia na dollar 100!!!Tant Boy Super Star, mama lao yeye akionekan kwenye shughuli basi anamwaga pesa wenye majumba yao muji huu usishindane naye!!!

mimi nampenda sana Tant, yeye uenda wallet yake kabisa!!!

 Aziza akitunzwa na shostito Mariam
 Tanisa akimtunza Jasmine Songambele
 Joha Simba mwenye nyeusi na nyekundu akimtuma shosti wake!!!
Pamela a.k.a mama Oprah akimtunza best laki tano!!! tupa kule mapesa mbele ya ushoga


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

12 comments:

 1. Hongera Fatma Shisha kwa kukuza!!!Kila la kheri bi Arusi Mtarajiwa.

  ReplyDelete
 2. Replies
  1. WOW, Imependeza, all the participants wamependeza kwa kweli...Songambele's family wamebamba.

   Delete
 3. mi nashangaa kitu kimoja na kingine, hivi bi harusi aliambiwa asiweke pochi chini? maana naona mwanzo mwisho mpaka keki alishwa kashika pochi, somo vipi?
  halafu somo mbona umenuna? jamani mi naona make up za waarabu mbaya! yaani hao walojaza make up hawajapendeza kabisa utafikiri maswezi loh! mwisho!! hivi siku hizi mchumba anakuja kwenye kitchen party? above all bi harusi amependeza hongera, na zawadi za maana!

  ReplyDelete
 4. make up jamaniiiiiiiiiiiiiiii grrrrrrrrrrrrrrrr

  ReplyDelete
 5. Yaani nakubaliana na anonymous hapo juu, bibi harusi na pochi, yaan i kaishikilia kama vile hana confidence.

  ReplyDelete
 6. Jamani harusi imependeza sana , dada mashughuli naomba namba ya simu ya designer please

  ReplyDelete
 7. ehe me sisemi kwa jinsi mlivyonaga

  ReplyDelete
 8. Ulipendeza mdogo wangu Zainabu si mchezo...,Songambele oyeeeeee ur cousin from Germany..

  ReplyDelete
 9. Zainabu mdogo wangu ulipendeza si mchezo nakutakia kila la kheri ktk ndoa yako iga mfano wa babu na bibi wanazeeka pamoja..Songambele oyeeee ur cousin from Germany.

  ReplyDelete
 10. fatma na pam mmependezaje mie sio hater of u fat but it seems like u dont like me but aaaggrrr whoe cares i,m just been me hn

  ReplyDelete