WEMA SEPETU AFUNGUKA KUHUSU DIAMOND-UDAKU

Baada ya kuonekana akila bata na Diamond pande za 
kigoma,Mwanadada anayeongoza kwa ku'make headlines kwenye
vyombo vya habari Wema Sepetu amefunguka juu ya inshu hiyo.

Wema amefunguka na kusema" hakuna mtu wakumfanya ashindwe
kula bata na Diamond kwani anaamini kufanya hivyo ndiyo njia
pekee ya kuwakata vilimi wale wanaozungumza vibaya kuhusu 
wao".

Kama una udaku wowote wa mastaa wa hapa TZ tutumie na picha hata iliyopigwa toka simuni tuuwakilishe kwa wadau

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

13 comments:

 1. Diamond na Wema wamependezana hataiii kweiii kweii

  ReplyDelete
 2. Hawa wawili ni machizi wa mapenzi! wanajuana wengine kaeni mbali! myaka mshairi anasema"Brasso dawa ya shaba,dawa ya mapenzi,mahaba ukipata kidogo si haba.

  ReplyDelete
 3. Hawa ni mmachizi wa mapenzi wajuana vilivyo! wengine hawana nafasi waacheni wapeane.Myaka bin Harith anasema hivi"Brasso dawa ya shaba,dawa ya mapenzi mahaba,ukipata kidogo si haba" Shaba ikififia tafuta brasso itang'aa! Almasi (diamond) ikififia dawa yake tafuta Wema itang'ara mpaka mtazamaji apate upofu! Msitazame mtakua vipofu!Hakika shaba haina ujanja mbele ya Brasso.Wema ndio mng'aro wa Diamond!

  ReplyDelete
 4. mhuu wema jamani hata aibu huna yaani unaweza kumsogelea huyo domo alivyokuonyeshea madharau mbele yakadamnas?amakweli wewe kiboko dah dah naona mkorogo unakupelekesha puta

  ReplyDelete
 5. Wabongo ndo mnapochelewa watu wanaoana wanapeana Talaka kisha wanarudiana sasa ajabu iko wapi UHAWARA HAUFI . na haya mablog yanayoomba yatumiwe udaku ni ya wambea hamna kazi ila kutafuta ya watu ,andikeni yenu

  ReplyDelete
 6. hahHAHHAHA JAMANI TUELIMIKE WAAFRIKA MKIWAMLIKUWA WAPENZI NAMKAACHANA SIO SABABU YA KUCHUNIANA MNAWEZAMKAFANYA MAMBOYA KIKAZI.PAMOJA.HATA MKASHAURIOANA .KIMAISHA.TUIACHE USHAMBA.MINAONA.WANAZIDIKUELIMISHA JAMIII.HAHHAHAHHA.KIZUNGU .ZAIDI.WABONGO.BADO

  ReplyDelete
 7. mimi penda wema sana aiseeeee,wapi kidotiiiiii,lako hilo bidada.

  ReplyDelete
 8. wema uyu dada nahisi ana nyota ya kupendwa mana mi nampenda mpaka sijielewi kifupi mi shabiki wa wema no.1 tena nilikuwa naumia diamond anavyomtesa wema utafikiri ni mimi

  ReplyDelete
  Replies
  1. we anony hunishindi mm..I love dis gal ata cjielewi,napenda alivo busy na mambo yake, she doesnt listen to any one kabisa

   Delete
 9. kwani kuna ubaya gani wapendao wakipatana ndio maana ya mapenzi ya kweli hayafi,kazi kwenu sasa nyie wambeya mliokalia ya wenzenu na nyie mnayakwenu,hongera wema na diamond mpende msichana wa watu kiukweli sio kwaajili ya kutafuta umaharufu,mungu awajarie na mdumu sasa,mmesha jifunza basi na muoane lol

  ReplyDelete
 10. Sasa Wema utamwambia nini mama yako? Mama alikuambia hajaridhika na Diamond kuwa mtoto wake..hana raha na Diamond alivyokuwa anakupelekesha na akatembea na Jokate. Kwani hiyo ni sukaru guru ya kumegeana? Mama ni Mungu wa pili anaona mbali Wema mbona unashetani la kupenda hata wanaokunyanyasa?

  ReplyDelete
 11. napenda sana wema awe na diamond they look good together sio yule naniliu yule jirani anajiita kidoti...wema kanipa kizizi nampenda sana bt sema tu mi mdada ila dah..she rocks

  ReplyDelete
 12. hiyo ina eleweka aixee wema na diamond ndo mpango mzima wana endana nampenda diamond na wema pia wanani vutia wakiwa wote. kugombana katika mapenzi ni kawaida hata mimi ni the same as wao nawapenda sana mnaendana.

  ReplyDelete