WEDDING RECEPTION - TABU MABOBISH & MHANDO

Venue:: Stereo - Kinondoni
Cake ::
Entertainment:: Gusagusa Min Band & Rusha roho
Caterer:: Talma Caterer 
Deco.:: Yahaya 
Colour:: Gold & Red

 Tabu Mabobishi akishuka garini..!

waliingia ukumbini huku wakicheza!!


  Mr & Mrs Mhando


   MC Jamila unawakimbizaje???

 Kamati ya maandalizi na maarusi

Cake

 Haya ndio mammbo yaliyojiri ukumbini, malavidavi kwa sana!!!
 akiwamilsha mdogo wake na mmoja wa wanakamati


 Wakivishana pete, kuanzia leo Tabu Mabobishi ni mke wa mtu


 Tabu akimvisha pete mume wake kipenzi Mhando
 Chakula

Burudani
 Gusagusa Min Band walitupa Burudani, Sabaha alikuwako!
 Tabu akimtunza Sabaha


Zawadi & Tunza
 Zakia mdogo wake bi harusi akikabidhi zawadi yake ambayo haikuweza fika ukumbini..!!


  
 Mariam akienda mtunza shostito tabu..!!
 Tabu alikuwa anatamba kwa mbwembwe akija tunzwa!!, Marima alianza na vitambaa vya nguo kwanza!!
 
 Kisha akamwaga pesa!!!
 Tabu & Mariam


 Saida Daudi Kanyau alimtunza Tabu mipesa!!
  Si unajua Saida anavyojua kutamba! unajua alitunza na nyimbo gani??
sina muda hou sina wa kumdiscuss mtu, najua kinachwauma mi kurudi kwa honey wangu" werawera Saida Dawood wa kanyau!!

 
Shostito Mariam akimtumnza best friend Saida
Nyuso..!!
 
Saida wa Kanyau umenogaje shosti!!


 Sophy
 Mariam Mntambo & Saada
 Khadija Ndombolo & mashostito
 Saida, Hellen & Mariam

 Sharrifa & Salama


  Sittu Mwasi, siku hizi unatunza na hakunaga eeh!! napenda style yako ya kucheza

  
 Happy & friend


Fatuma Adam 
Red Carpet


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

27 comments:

 1. jamani eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hizi picha zinaonekana dunia nzimaaaaaaaaaaaaaaaa tupunguze jamani eeee makeupsssssss tunajikandika mnooooooooooooo mpaka inachekesha!!! Bi arusi ulipendeza, hongera. Mungu akujaalie udumu ndoani....

  ReplyDelete
  Replies
  1. unajichosha kusema makeup wapakaji wa makeup si wasomaji wa mablog ujumbe haufiki na hata ukifika hawabadiliki marangi rangi na kujichubua ni mtindo wao

   Delete
  2. Just shut up,tumechoka na malalamiko yenu kuhusu makeup,utafikiri ziko kwenye hiyo mijuso yenu iliyokamaa vile,waaacheni wenyewe na raha zao,nyie ndie wale wanaoyaona ya wenziwao lakini ya kwao wameficha chini ya matako yao,mnalalamika kutwaaa kuhusu makeup na kukosoa watu,je yenu makubwa mbona hamuyasemi,acheni hizo,kila mtu ana raha yake na hamjalazimishwa kuingia na kuangalia picha zao,msituchafulie hali ya hewa hapa,huu sio uwanja wa kuwakosoa watu,fungueni shule za makeup basi kwa wa bongo wooote iwe ni bure,msonyooooooooo.

   Delete
  3. high five mdau! kweli wanakera sana shut up hawasifii mengine wamekalia make up nawaambia tena shut up shut up shut up just shut up msonyoooooooo

   Delete
  4. mie naona naumia machoooooooooooooooooooooooo

   Delete
 2. Kweli watu walipendeza sana ila tujiangalie tunapojipaka make up huwa zinazidi sana usoni yaani mpaka mtu unaonekana kama make up imezidi, tuchague make up kutokana na rangi zetu jamani, kweli picha dunia nzima zinaonekana, na penye makosa lazma tuambiane ili turekebishe au kuna ubaya jamani? Mpendeza sana wote kasoro makeup zinazidi mno.

  ReplyDelete
 3. hongera bi harusi mungu akubariki uwe na ndoa ya furaha na amani tele. Jamani nafikiri hizi makeup mtu akipaka inayoendana na rangi yake na pia asizidishe anapendeza. sio kujikandika tuu. maana mtu anajikandika mpaka anatishaaaaaa. Jamani tujifunzeeeeee.

  ReplyDelete
 4. Wananchi mnaokerwa na make up kuweni wastaarabu,tulizeni hasira zenu harusi ni jambo la kheri la furaha waalikwa wamekuja kufurahi na maharusi hata wakipaka poda ya njano kinawauma nini? shughuli nzima mnachoona ni make up tu? kuna gauni chakula mapambo yote mazuri hamsifii mmengangania make up make up, inatia hasira unaangalia picha za harusi yako comment zimejaa kasoro mpakaji make up kajiangalia kwenye kioo na mwenyewe ameridhia kutokea kiana hiyo mbaya nini? comment zenu zinakera badilikeni

  ReplyDelete
 5. oh my goodness kuna mtu kapaka eye shadow upande mmoja!

  ReplyDelete
 6. mamaaaaa huyu sofia ally kapaka nini usoni?na hiyo na rangi za machoni mbili tofauti au waimbaji taarab wanatakiwa wafanye vituko,helen mtowe mtowe haraka.

  ReplyDelete
  Replies
  1. amtowe kwani kakufata wewe laana mkubwaa

   Delete
 7. msituzingue na nyie make up make up kafungueni basi chuo cha urembo muwasomeshe bure khah! utafikiri ziko usoni mwenu hizo make up its boring

  ReplyDelete
  Replies
  1. Bora ulivyowaambia maana too much sasa na hayo malalamiko yao kuhusu makeup,si waangalie tu picha na wafunge midomo yao,utafikiri hizo makeup ziko kwenye mijuso yao iliyokomaaa vile.

   Delete
 8. Hivi hizi eyeshadow ndo nini hiki jamani? Please wadada wa make up saidieni hii kazi

  ReplyDelete
 9. naona wanaokerwa na kufunzana, ndo hao wanaojikandika!!!!

  ReplyDelete
 10. jamani, kama mazuri kwanini tuyakosoeaaa!!! tunatakiwa tukosowe mabaya, mazuri tunaona, kwa kua hayana kasoro, ndio mana hayazungumzwi, lakini linalozungumzwa mara nyingi lenye kasoro na ndo hilo la MAKE UPS! kuna ubaya gani kuambizana jamani, sasa kinachokasirisha hapa ni nini?? mie naona si vibaya tukaambizana, ndo kujifunza, tutasema leo, kesho, keshokutwa, mwisho watu watalewa na watabadilika!! HUKU NI KUKOSOANA KWA NIA SAFI KABISAAAA. wala msikasirike jamani watu wakitoa maoni yao, hakuna ubaya, na ndio mana ikawekwa hii page ili angalau isaidie kutoa 'COMMENTS' sasa tusifu tu hata kama kitu si kizuri jamani??? tutakua tunadanganyana, mazuri tunasifu na mabaya tutasema, asiependa basi hana nia nzuri, hajazoea kufundisha wenzie au hapendi wenzie wabadilike. hapa si kukosoana as such, ni kufundishana tu, KIOO SOMETIMES KINADANGANYA, especially usiku!! msiwe na hasira..............

  ReplyDelete
 11. mie nawapa hii blog, tuige wenzetu, mazuri huigwa atiii, hii blog ni ya nigeria, nayo inaonesha arusi, hebu tazameni arusi za wenzetu kwa upande wa MAKEUPS, ndio hapo ntaona kwanini tunataka na sie tubadilike tuwe kama wenzetu, mana wanapendezi jamani, simple, natural, smart and beutiful, na sie tuige, infact, ni kwa upande wa make ups tuuuuu, kwengine kote jamani tunaweza mbona, tena sana tu!!!

  ReplyDelete
 12. Dada Mashughuli naona kila mdada ana uso nyororo wameiva kama embe dodo, basi hebu niambie watumia dawa gani nami niwake kama wao.

  ReplyDelete
  Replies
  1. jamani bi harusi yuko so cute, I like her, god bless ur ndoa forever. big well done and keep up

   Delete
  2. jamani wote mmependeza mmmnohhh, and for those who talk about make up just wivu,why not shush, and give warembo break and let them be more creative not same thing every kukicha as you waongeaji want,grow up and support them. lets love one onother as our god want. thank, be bless.

   Delete
 13. kWELI harusi nzuri na waalikwa wanavutia na wanajua maana ya harusi ni nini. Hellen big up

  ReplyDelete
 14. mh make mbaya rangi imechanganywa vibaya inaumiza macho ila kila la heri bi harusi nakutakia mema lkn kama umechelewa kuolewa au ndo chuo cha nne.

  ReplyDelete
  Replies
  1. tabia mbaya wewe unaye hata wa chuo cha kwanza?

   Delete
 15. KWAKWELI SIO KATIKA NIA MBAYA LAKINI BADALA YA KUFURAHIA PICHA ZA HARUSI, NI KAMA UNAANGALIA COMEDY SHOW!! YAANI KILA PICHA UNAJIKUTA UNACHEKA, SI KATIKA UBAYA LAKINI IT'S TOOOOO MUCH, HUO WANJA ULIVYOCHORWA JAMANI!! KUNA MDAU KASEMA WIVU.. OOH SIJUI UNAANGALIA PICHA ZA NINI, LAKINI NI KATIKA UPENDO WA KUTOKA IMANI ZOTE, DADA ZANGU, MAMA ZANGU, WANANGU, BIBI, PUNGUZENI KIDOGO, UKII BALANCE MAKE UP USONI MWAKO UNAONEKANA VIZURI KULIKO KUJIKANDIKA, UKIJIKOMBELEZA SANA, USO WAKO UNAONEKANA KAMA UMECHORWA, ULE UNATURAL BEAUTY UNATOWEKA KABISA!!

  ReplyDelete
 16. nyie mnaojikandika makeup mkiambiwa ndiyo mnakasirika, kubalini mabadiliko. Kiukweli mnatisha mnavyojipaka makeup nyingi hata mtoto mchanga akiwaangalia anaweza akalia kwa kuwaogopa kha!!!!

  ReplyDelete
 17. DUHHHHHHHHHHHHHHH

  ReplyDelete
 18. Kweli hizo makeup mie hoi, kujikandika gani huko? hampendezi lazima tu comment mtake msitake maana mkiambiwa ukweli mnachukia makeup mbaaayaaa kujikandiiiiika loooooh

  ReplyDelete