WEDDING RECEPTION ALLY & AISHA

Venue:: Karimjee Grounds
Cake :: 
Entertainment:: Raha Original Live Taarab Band
Decoration:: Princess Latifa (Fatuma Chizenga)
Colour:: Orange & Brown
Designer:: 
Make-up:: Miriam Aziz
Caterer::Ahmad Mntambo  
Decor!!!!!
Cheza!!!!
Bigo na Mama Salma Mntambo wakilisakata Rumba
you chop my money cause I don't care!!!!
Mama mzaa chema, Rehema pendeza eeh!!
Champaign 
Baba na mama mzazi wa Aisha, kila meza ilikuwa na champaign 
  
Khadija Mntambo
  Leo Salma Mntambo ana raha iliyoje!!! umemuona eeh!!
Baada ya kugonga glass kwa waalikwa the wakanyweshana
Cake!!!
Hitham akipeleka pete za maarusi, shurti kwa evenng dress chezea!!
Aisha akionyesha kuwa sasa mimi ni wa bwana Ally
Ally & Aisha wakitoa utambulisho!!!
Mama mlezi Rehema Mntambi akipata kipande keki ya shukrani
Suprise Happy Birhday mama Salma Mntambo
  
  
Mkono wa hongera & Zawadi
Wanafunzi wenzake bwana Ally wakimpongeza
Wafanyakazi wenzake bwana Ally
Wanamakati wakiongozwa na M/kiti Mariam Mntambo walijidai saaaana, wakipeleka zawadi ya Fridge, angalia picha zinajieleza..!!
Chakula

NYUSO
Red Carpet
Hasina Wage
SWAGA

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

17 comments:

 1. wamependeza but bi harusi jicho analo ila hajui kulitumia bwanaaa amelikodoa mwanzo mwisho !!! alitakiwa awe na uso wa aibu kidogo. hongera wapambaji na waalikwa wooote

  ReplyDelete
  Replies
  1. mimi naona sawa hilo jicho atalitumia akiwa ndani na mumewe

   Delete
 2. MAMBO ZENU, SIJAPENDA BIBI ARUSI AMECHAFUKA SANA NA MAPIKO MPAKA SHELA ALIONEKANI. KWANINI MNAFANYA HIVYO, KWANI BILA KUMPAKA PIKO AWI BIBI ARUSI.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Jaman, kwani shela lipo ndani ya piko, we vipi? acha wivu, kapendeza sana na piko sana na piko yake! kwetu sis ni Sunna bi harus kupambwa akapambika.

   Delete
 3. Masha'allah wamependeza Mr. na Mrs Ally Mungu aibariki ndoa yao, nimependa hair style ya Mariam Mtambo, so luvly!

  ReplyDelete
 4. Huyo aloandika kuwa Bi harusi hapendizi bila piko atakuwa mshamba au hajui kama waislam ni lazma kupaka piko unapotaka kuolewa. Kwahiyo amependeza sana tena sana na piko yake..

  ReplyDelete
 5. Wamependeza sana, shughuli nzuri, ila picha mbona mashughuli hujaziweka kimpangilio mana kuna picha nyengine zinajirudirudia otherwise good Job mashughuli

  ReplyDelete
 6. ASMA MIRAJI A.K.A MARIAM MTAMBO UMEPENDEZA BI DADA,JAMANI MBONA AMNE ANAONEKANA MKUBWA SANA KULIKO ASMA?

  ReplyDelete
 7. Somebody Not Hater:...........July 26, 2012 at 6:25 AM

  Me like the bride!....she really know how to pose infront of the camera!.

  ReplyDelete
 8. mdada wa mwisho amabana wapi huu mbano nautaka mie apa

  ReplyDelete
 9. piko kwa ss waslamu ni suna kwe2 so kuacha ngumu km ww ujapenda peke yk unaona uchafu lkn kapendeza tena sn mashallah aisha....

  ReplyDelete
 10. halow mamy, harusi imependeza sana, mi nimeguswa na hiyo bazee ya paple aliovaa huyo dada iko kma ya da mwanana aliwahi kunipa no, yake ya simu ila nimepoteza sim plse, aliniambia ziko duka fulani hivi kinondoni jina la duka limenitoka. pse nihabarishe via 0713301697, asante kutujuza mambo ya mashughuli....... big up

  ReplyDelete
 11. AS U SAID ANONYMOUS NO 3 HAPO JUU KWELI KABISA BI HARUSI ANA JICHO BUT KAYATOA SANA BADALA YA KULEGEZA KDOGO HAKUA ANAANGALIA KWA STAHA, AU ANGELISHWA KUNGU,JICHO LILIKAKAMAA SANA BUT NATURAL MACHO YAKE NI MAZURI MNO ILA HAKUYATUMIA VIZURI

  ReplyDelete
 12. for the first time mariam umetoka classic sio kama shughuli nyengine hupendezi laa ila hii umetoka bomba,Amina wa mchikichi nguo yako nimeipendaaaaaaa...........

  ReplyDelete
 13. BI HARUSI SOMO YAKE NANI JAMANI MBONA HATA HAJAMFUNDISHA JINSI YA KUTUMIA JICHO LAKE? HAMUONI MIRIAM AZIZI ANAVYOLITUMIA JICHO LAKE? MIRIAM HEMBU FANYAKAZI MAMBO HAPO KWA MWARI.(SHE IS SO BEATIFUL)

  ReplyDelete
 14. Jamani Mariam ameolewa au bado maana natamani uwe mmoja wa familia yetu.

  ReplyDelete