TANISA AMFANYIA SINGO MWALI WAKE HABIBA - CHICHI HOTEL

 

Kivazi toka Amina Design wa ukweee'e


Habiba, nywele na makeup by Khadija Rosella Saloon

Jamila Mafish toka Muscat akimfichua mwali!!!

 mama wa bi harusi wakimfichua mwali...!!
Baada ya mwali kufichuliwa, soma Tanisa alipeleka mkoba kwa somo yake Tant Boy

Somo akicheza na mwali......!!!!


chezea somo Tanisa!!!
soma na mwali mpaka kwa hamad wa kibao kata...!!, kweli mwali kafundika saana!
Decor....!!!


Watu nyomi chezea Tanisa..!!

MC - Dalila Jagar

CHAKULA
Singo watu wamezoea supu na chapati, Tanisa akasema hapana mie mtu akija kwangu ula chakula mpaka ashibe, basi msosi ulikuwa wa ukwee'e na Talma Catterer!!
Mariam Twahir yuko mwenyewe!!!!


TUNZA
Tanisa akiwa tayari kwa matunzo!!!jimwage dada hakuna kama wewe!!!
Mariam Twahir, mama wa misosi akimtunza Tanisa na akirusha roho kwa saaana!!!


Tant akitumnza mwali wake!!!!


Sittu Mwasi akitunza kwa mbwembwe kweli kweli, chezea mwenyekiti wa serikali za mitaa - Ilala
Jamila akimtunza Tanisa, ulitunzwajee!! nyota inagaaa!!!


huyu alimtunza Tanisa dollar chezea mfanyibiashara


Bijoux & Hellen wakimtunza shostito Habiba


Shumu, akimtunza ndugu yake Tanisa, eeh!! hivi ndivyo inavyotakiwa sio kudidimizana!!!

Sarafina baada ya kumtunza Tanisa

watu wa Dubai wakienda kutunza chezea wao, madira ya ukwee'e
Faiza Mafish akiwaongoza watu wa Dubai kutunza chezea wao MAFISH kwenda kutumtunza Dalila kila mmoja msimbaziWatu wa Dubai umewaone eeh!!! 
Sarafina alimtunza kwanza somo yake Tant boy heshima kwa somo...!!!
Habiba akienda mtunza somo yake Tanisa, kwanza alianza na kibao kata akawatunza!!! na mauno ya kumwaga...!!!


Hellen utaua bendi...!!
Kisha mwali akaenda kwa somo, kwa magoti akisindikizwa na shosti hellen, heshima kwa somo...!!
kisha akamvisha baibui...!!! si unajua ramadhani yaja!!!
sandals...!!!
akamwaga pesa chezea mwali 
kisha akatoa jicheni la MADINI, kilos!!!
akimvisha somo cheni!!!!

Habiba akiwa na masomo wake wa ukweli!!!

Tanisa akitunzwa shostito!! chezea Tanisa hamumuwezi hata mfanyaje!!!!!!!

Nyuso!!


Faiza Mafish, Jamila Mafish & Friends
Zuhura & Mariam MkwecheSistaz, Joha & Fatma (The Simbaz)Khadija Rozella

Bi Lilly, Chau, Hawa & Tatu (Lumelezi Family)
Somo yangu Situ Mwasi wa ukweee, mimi penda wewe kwa sana!!!Tant Boy mama wa fweza, mambo hiyo December, chezea Tant vikao vimeanza mapema!!!

Hellen wajina umetokeaje!!!
MC Jamila kitmtim unatimuaaje watuachia vumbi tuuuu!! uko juuu!!


Mwanangema!!!!Bahiya & Shumu
Mauno kila kona!!!
Mage & Shostito..!!
MC-Salma Dodo, Mkurugenzi NY Production 

Khadija Rozellla, Salma Dodo & friends! nyuso zinagaaa garigari!!!Hasina & Friend, vipi dogo langu sare wapiiiiii???
Faiza & Joha cute babies!!!
Shumu, Hasina, Tanisa, Zuhura & Habiba
Saada, Zuhura & friend
my shosti Fatma Adam nakuona na wanao!!!


Bi Mdanga...!!!
Hawena, Afsa & Mariam Best
Alhanisa Sleyum unawaka kama taaa!!!
Red Carpet

Zuhura, nimeona mshono shurti uache kidogo!!
Sister Joha
Musne, mama wa Dubai, la pili hilo uniwekee!!!
Mrs. Awadh wa ukwee'e, miaka 800..!!
Bilal, chezea yeye mpaka sare imemuhusu ati!!!
Jamila Bon...???!!!!

Mama wa mito ya aina zote, inapatikana kwa kukodishwa na ya kuuzwa pia, kama una shughuli yako na unataka kukodi rangi zote zinapatika, Kinondoni Manyanya
+255 715 432 289
si unajua mito inavyopendezesha nyumba eeh!!Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

18 comments:

 1. Jamani watu walipendezaje na shurti kujiachia,sherehe ilipendeza sana,pia naomba number ya Tanisa,kwani na mimi mambo yamekaribia.

  ReplyDelete
  Replies
  1. WATU MMEPENDEZA SANA NA SARE IMENOGA RANGI ZOTE NZURI HONGERA SANA TANISA, HUYU BILAL MASHAUZI MTOTO SI RIZKI AU VP? MBONA SHUGHULI ZA WANAWAKE ZOTE NAYEYE YUMO?

   Delete
 2. watu wapunguza kutonyesha mapaja shughulini jamani. inahuuuu ukiwa mwembamba afadhali lakini wanene hawapendezi kujiachia hivyo. mipaja inakuwa kama nyama ya ng'ombe. kichefuchefu pyaaaaaaa.

  ReplyDelete
  Replies
  1. wee mbeba box mambo ya kibao kata watu kujiachia kwa raha zetu kama huna mipaja weka silicon na kama mipaja inakukeraa vaa miwani bibiee habari ndio hiyo

   Delete
  2. WE MBEBA BOX UNKULA HUUUUUUU USIO NA PAJA....HALOOOOOOOOO UNALO HILO KIDUDU MTU..WANAWAKE SHARTI KUJIACHIA NA KULA RAHA.

   Delete
 3. WENGI WAMEPENDEZA ILA HAO WALIOSHONDA VIGUO VIFUPI HOVYOO, AU WALITAKA KUTUONESHA CHUPI MFYUUUUUUUUUUUUU

  ReplyDelete
  Replies
  1. hicho ndio kibao kata tunasaula mpaka chupi au huelewi maana ya kibao kata shosti mijitu ya bara nayo utaijua tu

   Delete
 4. huyu mwanaume vipi shoga au

  ReplyDelete
 5. hakuna mwanaume hapo wote wanawake huyo aliyevaa suruali nyeupe anaitwa Bilaila Mashauzi

  ReplyDelete
 6. Habiba pendezaa sana na gauni ya kwanza, nimeiona ilivaliwa kwa mshindi wa miss universe designer nani mpenzi isikuletee tatizo

  ReplyDelete
 7. shughuli ilipendeza sana na watu wote walipendeza,mambo y tanisa si mchezo

  salma chura

  ReplyDelete
 8. shughuli ilipendeza sana na watu wote walipendeza,mambo y tanisa si mchezo

  salma chura

  ReplyDelete
 9. wewe unayesema wabara utawajua tu, kuwa mstaarabu unafikiri kukaa uchi ndiyo kupendeza? hovyooooo, tena inaelekea wewe hata mbele ya babaako unaweza kuvua nguo. your foot!

  ReplyDelete
 10. Huyo anaesema wabara maana ndio hawajui kitu au anamaanisha nini nyooooooooooooooo kima wa jozani weeeeee jamani shunguli ilinoga watu powder zimewakaaaa mashalaaaaaa

  ReplyDelete
 11. make up jamani make up!!!!!!!!!!! duuuuh ndugu zangu tujifunze make up tafadhali

  ReplyDelete
 12. Watu wanajua kupaka make up lakini Tanesco ndio wanaharibu make up za watu.

  ReplyDelete
 13. NYOTE MNACOMMENT UJINGAAAA TU

  ReplyDelete