SKIN SOLUTIONS WASHUSHA MZIGO ZIKIWEMO OBAGI ORIGINALY!!!

HAYA HAYA WAREMBO WA TANZANIA, MZIGO NDIO KWANZA UMEIINGIA SKIN SOLUTIONS MIKOCHENI ZIKIWEMO OBAGI ORIGINAL KABISA TOKA MAREKANI, USIDANGANYIKE NA ZA MITAANI IPE THAMANI NGOZI YAKO KWA KUTUMIA PRODUCT ORIGINAL NA UPATE MUONEKANO UNAOTAKA!!!
NENDA SASA SKIN SOLUTIONS MIKOCHENI UPATE USHAURI ZAIDI WA NGOZI YAKO TOKA KWA WATAALAM WALIOBOBEA SIO WAUZAJI TU!!
WASILIANA NAO KUPITIA #
+255 767 780 014
+255 783 036 666
Obagi Nu Derm System
 1:Foaming Gel - Leaves all skin types clean and extremely soft to    the touch. 
2:TONER:: A refreshing blend of natural ingredients.
4: EXFODERM::Smooth and tone rough or damaged skin, hii sasa ndio inafanya kazi ya kurekebisha ngozi iliyoharibika na kuirejesha katika uasilia wake!
Meladerm
 Meladerm-Ni kiboko kwa kuusafisha uso wenye age spots, acne marks, old scars, uneven skin tone & melasma, haina hydroquinone ni kiboko ya uso wenye matatizo hayo hapo juu
picha hii inaonyesha melasma kwa ngozi zetu za kiafrika inakuwa na kijani pembeni ya macho ama mashavuni
melasma

 O'TENTIKA - hii ni maalum kwa ajili ya kugarisha ngozi yako ya mwili na usoni na kuhifadhi ule uasilia wa ngozi pia utapata na serum 
Wadau vitu ni vingi sana, nitaanza ni kimoja baada ya kingine ili twende sawasaw katika kuvielezea toka kwa mtaalam wetu wa skin solution!!
Usisite kuwatembelea hata kwa ushauri tu, wanapatika mikocheni kwa warioba karibu na jengo la Baraka Plaza au karibu na shule ya DIS (Zamani Shear Illusion Mikocheni)
Helping you understand your skin!!!!!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

5 comments:

 1. inaitwa baraka plaza sio braka plaza

  ReplyDelete
 2. Meladerm sh ngapi hiyo.. Naomba jibu kabla sijaenda kuicheki!!!!

  ReplyDelete
 3. vipi za kumfanya mtu awe mweupe zipo? mm ni mweusi sana na nataka niwe mweupe just like wema sepetu. naomba kujua kama hizo products zipo

  ReplyDelete
 4. Tuwekee bei tuje tumekamilika siyo mambo ya kuja na kurudi TIME IS MONEY. Hiyo meladerm nilikuwa naitafuta sana.

  ReplyDelete
 5. Mashughuli napenda kukupa hongera kwa kutufahamisha duka kama hili, nimekwenda skin solutions na kupata ushauri wa kuhusu uso wangu uliharibika sana baada ya kutumia kama wiki 2 nimeona matokeo wako juuuu, kitaalam pia

  ReplyDelete