SKIN SOLUTIONS HAWALALI KUHAKIKISHA UNAPATA KILICHO BORA, ANGALIA MAMBO YA UKWEE'E

Hii ni makeup Remover Cloth ziko 20pcs, si unajua makeup inabidi iondolewe kitaalamu usoni ni kosa kubwa kulala na makeup usoni. kwa hiyo njia rahisi hii hapa unaosha uso wako kwa njia bora zaiadi watembelee Skin  Solutions upate ushauri wa kitaalamu zaidi, utakutana na mwanadada mwenye elimu tosha juu ya ngozi!!!

Cream Eye-shadow, hizi ni zile mafuta kidogo na unapata zenye muonekano tofauti wa jicho lako unavyotaka litokee, kama vile Matte & Pigment ziko za aina nyingi sana!!! watembelee kwa kuona zaidi..!!!

Lip-Balm zenye SPF 15 ni nzuri sana, na ziko rangi tofauti!! mimi mwenyewe ni penzi wa hizi!!

Shiner Eraser-Hii kazi yake ni kuondoa mafuta usoni wakati umepaka makeup yako usoni, kufuta na kitambaa kinapunguza makeup usoni, basi unatoa kama kijikaratasi kidogo na kufuta mafuta usoni inasaidia sana kwa wale wenye skin zenye mafuta!!!
Translucent Powder Skin Solutions wanakuletea powder mbalimbali kutokana na matakwa yako mteja!
 Natural Mineral Foundation SPF 15, hizi ni foundation za rangi tofauti toka elf, cha ajabu kuhusu hii powder unavyoweka mkononi tu inabadilika na ya kuwa majimaji
Flawless Finish Foundation, zinapatikana rangi tofauti
Lipstick zenye rangi zenye mvuto kwa rangi tofauti zinapatikana Skin Solutions
Blusher za rangi tofauti ambazo unaweka kwenye kijipochi chako cha kutokea ziko Skin Solutions

Kujua zaidi kuhusu Skin Solutions
Watembelee kwenye blog yao skinsolutionstz.blogspot.com
Wafuate twitter: skinsolutionsTZ
Wapende kwenye ukurasa wa Facebook
Watumie Email kama una swali lolote skinsolutions.tz@gmail.com
Wapigie simu
+255 767 780 014
+255 783 036 666


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment