VENUE::MANGO GARDEN
Colour ::Rangi mchanganyiko
CATERER:: Yahaya
Decoration:: Yahaya
Cheers na somo yake Mariam White
Decor....!!
Zawadi
MC ni yule yule nambari one Jamila Kitimtim
Shangazi Afsa Ramadhani akiwakaribisha wageni...!!!
Nasaha...!!
Mama mzazi Dalila Jagar alishindwa kuongea kilio na wewe
Kukabidhi Zawadi
Mama mzazi Dalila alikabidhi kitanda wa mwanaye
Shangazi alikabidhi kabati lenye nguo ndani
Huyo huyo shangazi alikabidhi meza na wapambe wake!!!
Shangazi akikabidhi TV
Somo akienda na wapambe wake
Mariam White alianza hivi Kitoka unyumba kwa kina bibi
Baada ya hayo alikabidhi kabati lenye vyombo ndani kwa mwali wake
Kamati ikikabidhi dressing table
Mashosti wakienda kukabidhi sofa set
Tunza na utunzwe
Tant mtu wa watu sana siku zote anasindikizwa group ya watu kibao!!!
Saida Kanyau mama wa China akimtunza mama mzazi Dalila
Jamila MC akimtunza somo yake Dalila Jagar
Faiza, Joha. Tanisa & Dida, wakienda mtunza mama yao
Faiza, unafuata nyayo za mama eeh!
wana wa livingstone Kariakoo
BWANA HARUSI AKIINGIA UKUMBINI
Bwana harusi akiingila ukumbini na zawadi...!!
alimvisha pete ya uchumba
Wakalishana keki
kwa pamoja wakamlisha somo kwa maandalizi pouwa
CHAKULA
NYUSO
RD
SWAGA
hongera bi harusi mtarajiwa.lakini aliyekupamba usoni shosti kakukandika sana
ReplyDeletehizi rangi mchanganyiko noooo!
ReplyDeletempambaji big nooooo!
hongera watarajiwa! mawatakia maisha mema!
hivi jamani, kwanini hizi saloons haziendi professional courses za upambaji??? kweli mwana wa mwenzio unamfanya kama kilua?? na sie wazazi, mashoga, masomo na ma bi arusi wenyewe, kwanini tunakubali kuwapeleka maarusi wetu kwenye ma hall kabla ya kuwaangalia kwanza wanaonekanaje jamani???? maanaa kwa kweli huyu msichana ni mzuri nina hakika asingeweka make-up basi angependeza, mana shape yake nzuri, sura yake mashallah nzuri, sasa kwanini amekubali kujazwa mipoda kama doly??? MIMI NADHANI, KABLA BI ARUSI KWENDA KWENYE HALLS TUNGEKUA KWANZA TUNAWAKAGUA, HIZI PICHA ZINAONEKANA DUNIA NZIMA, HAIPENDEZI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! TUJITAHIDI KUPUNGUZA JAMANI EEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE MARANGI, YANATU HARIBIA MAARUSI WETU......
ReplyDeleteHATA HIVYO, HONGERA BI DALILA, HONGERA BI ARUSI. USIKUBALI BI ARUSI KWENDA KWA MUMEO SIKU YA SIKU NA MIRANGI KAMA HIYO.............. PLEASE...
Na hao waliojikandika mipoda cjui nyumbani kwao hawana vioo!!!!! yn inasikitisha sn but bi harusi amependeza lakini km alivyosema mchangia mada wa kwanza umekandikwa shosti wangu pooleeee
ReplyDeletemmmmm sijapenda sory
ReplyDeletejamani mbona watu wote ndita moja kwa moja. tabasamu kwa dola au? kosa la mpiga picha au kulikuwa na beef fulani humo? pamoja na hayo, DIDA jamaniiiii ntapata wapi mawasiliano yake mashughuli? kaolewa huyo au kachumbiwa...nifanyie hiyo kazi mama mashughuli kwani nilipomuona tu, moyo ulianza kupiga kwa kasi kama nataka kufa leo...pozi za red carpet limenimaliza. picha yake nime save kwenye maktaba yangu ya picha. mdau single uk
ReplyDelete