JACQUELINE MAFURU - KITCHEN PARTY

Decor...!!!

  

 Devota matron


Decor...
 Decoration by PACO DECO, wako juu kwa sasa maana wanapamba tofauti...!! na style mpya zinazokwenda na wakati, wape kazi.....+255 652 909 311Khadija Kopa...!!!
Na hivyo vicarolite vyenu nitavipiga marufuku mie!!!

 Umeona eeh!! mapesa yakimwaga sio kutunza moja moja!!!
 Utunzaji ulikuwa live na khadija kopa, masomo hao!! 
  
 Kidole juuu!!!
Merry Shostito umenogaje!!

Cake & Champaign 


Jikeki halina makororo very simple!!
 


  


 Amina Design pendeza eeh!!
Faces


  


Red Carpet


Masomo  wa hali ya juuu, business women chezea Amina Design!! kuachika hapa hakuna!!!


  


  
Hii pia ilikuwa red carpet!!!Zoom
  

Masha Seif 

SWAGA
Haya sasa mie nimemaliza kazi yangu!!! 
Langu jicho sinyajui mdomo wangu!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

19 comments:

 1. Dah !sina la kusema,.. Kama ni kusifia ,basi hii sehemu haitatosha!

  ReplyDelete
 2. wote wamependza,make up zimewatulia haswaaaaaaaaa

  ReplyDelete
 3. Wametokelezea ile mbaya, funika bovu.

  ReplyDelete
 4. kwa kweli kila kitu kimekuwa kizuri watu wamependeza sana jamani yaani make up zimetulia sana watu wote wamependeza sana kwa kweli

  ReplyDelete
 5. Uliondoka mapema Helen? Mbona hujatuwekea menu na dansi? Picha nzuri na shughuli inaonyesha ilikua nzuri. Hongera zao na kila la kheri kwa bi harusi mtarajiwa. Naona alibaki yeye tuu kwenye kundi lao ambae alikua hajapata wa ubani wa maisha. Wakatulie sasa na waume zao yale mambo yao sasa kushnei...

  ReplyDelete
 6. Hii bahati nzuri haikuwa na wale mabingwa wa kutisha kwa make up lol yaani huwa wanatisha na mikorogo yao umeshawalaaa wamebaki wananuka tuu chuma agryyyyyyyyyyyyy uuuhhhhhhhhhhhhhh

  ReplyDelete
 7. KIMORA LEE WA BONGO KAKOMAA VIMIGUU JAMANI YANI ANAMKARIBIA ANGELINE JOLIE

  ReplyDelete
 8. Wapi zawadi, vyakula na mazagazaga mengine? Shughuli inaonekana ilipendeza lakini mie siwezi kutoa maksi mpaka nione zawadi, maana kitchen party maana yake ni kutoa zawadi za jikoni au nyumbani kwa biharusi. Ingawa waalikwa na bi harusi amependeza sana na shughuli inaonekana ilikuwa bomba lakini sijaona zawadi bado!

  Kitchen party ni
  1. Ukumbi na mapambo,
  2. Zawadi
  3. Burudani na chakula na vinywaji kwa waalikwa
  4. Waalikwa na mhusika kupendeza.

  Tumeona kitchen party ya Mariamu kapewa, gari na vitu vya ndani, mwingine sijui kapewa kiwanja eka 10. Tunataka kuona zawadi za hao masomo wafanyabiashara nafikiri ilikuwa gari, seti za nyumbani na kiwanja juu!

  ReplyDelete
 9. sijapendaaaaaaaaaaaaa kabisaaaa hayo mapambo hiyo ming'aro ya gold pameonekana so plain yani.ila wadada wamependezaa mnnooooo na bi harusi pia kapendeza sana na matron wote wana sura nzuri sana wamepambwa simple ila wametokelezea mbaya,zawadi hatujaonaaaa jamani au hakuambulia japo kikombe ehh mama shughuli umbea unatuuma wenzio.weka picha za zawadi na makila kitu ili tujisikie as if tulikuwepo ndio ushatuzoesha mamie,sasa leo mbona huweki.pleasee

  ReplyDelete
  Replies
  1. sio bure we MCHAWI tena unawanga mchana kweupeeee,mxiiiiiiiiii(msonyo)

   Delete
 10. inavutia kwa kweli.. bi haruc na mpambe wake wamotokajee.. designer anastahili sifaaaaaaa

  ReplyDelete
 11. Jaki mtoto umefunika kwa saaaaana kuanzia nguo uliyovaa umependezajee shape shape nguo imekukaa kama umezaliwa nayo,ukumbi ulivyopambwa msaafi na classy,rangi ya shughuli imetulia haiumizi macho unajua kuchagua mwenyewe, sare waalikwa wamenogajee yaonyesha una mapenzi na watu wameitikia wito wako na kujituma vilivyo endelea na moyo huo wa mapendo,mamimto sijui nisifie lipi yote ni mazurijeee mtoto wewe uko juu sana, sijawahi kuona sherehe classy hapa bongo hii ni ya kwanza harusi sijui itakuaje Jaki mungu akutangulie ubarikiwe na yote yanayofata nyumba yako iwe ya amani na upendo

  ReplyDelete
 12. nimekupenda kimora wa tz yani unaikubali miguu yako the way ilivyo safi sana ndomana wala huifichi angekua mtu mwingine angekua kila shughuli nguo ndefu lakini akaaa kwa raha zako wala hugombwi ukigombwa mziray anakupa hug

  ReplyDelete
 13. simjui hata mmoja kwenye hizo picha zaidi ya zile zenye captions. sijui mkorogo umekolea sana au photo shop au nisemeje. as if hao watu maarufu sana duniani kwa hiyo hata ukiweka picha ie vick becks, anjie jolie, rihana unajua huyu ni fulani. by the way wamependeza na nd'o wanawake wanavyotakiwa.

  ReplyDelete
 14. harusi waaaaa pambe

  ReplyDelete
 15. HUYO DADA ALIYEBINUA MIGUU HAJAPENDEZA MNENE MNOOOOOOOOOOOO,,,,DIET MUHIMU SHOGA

  ReplyDelete
 16. PENDEZAAAAAAAAAAAAAAA

  ReplyDelete
 17. Everything was very good, na mwenye blog umepatia sana mpangilio. ila jamani mwanamke diet, watu yaani sio unene tena huo bali wamevimbaaa utadhani wanapasuka jamani!! unene sio afya watanzania wenzngu tujiangalieni sana, unene ni ugonjwa ati khaa! ebooo!

  ReplyDelete