KIJACHO::JACK MAFURU RECEPTION WEDDING

Coming Sooooooooooooooon!!!

Alipendezaje baby Gal jamani, sisi ndio mashughuli picha zote ndani ya nyumba kaa mkao wa  pichaz!!!!!nazitayarisha wadau wangu ninavyowapenda!!!

Zile Best Couples umeziona eeh!! Ashura & J n Sarah & Raqey
sijui nifanyaje kwa sbb picha ni nzuri saaaaaaaaana!!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

9 comments:

 1. TUWEKEE VITU VYA JACK BHAAAAAAAAAAAAS!

  ReplyDelete
 2. Fagilia mama wa mashughuli vitu vyake motomoto! sijaona blog yoyote ambayo imeshaweka picha za harusi ya Jack. chezea Hellen wewe!!

  ReplyDelete
 3. MAMA HIZO PICHA unachapisha kama gazeti? mi nadhani unachomoa sd card unaweka kama kwenye laptop au pc, then unachoose unazotaka halafu unachapisha. au unasubiri watoke honeymoon wakupe mshiko ndio ubandike. blog siku hizi kama magazeti. habari haitoki mpaka mtu ashikishwe...mambo ya rushwa bongoooooooo hatuendelei

  ReplyDelete
  Replies
  1. siyo rushwa ila ni malipo ya pichaz

   Delete
 4. nimezikalia jamvini kapendeza manshaalaaah mwaa mwaaa

  ReplyDelete
 5. mi ninachokupendea mashughuli maoni ya watu unatoa bila kujali wamekuchamba au hapana. hiyo itasaidia kujenga blog imara na yenye uhusiano na wasomaji. kukosoa na kukosolewa ni moja ya mambo yanayochangia kujenga njia iliyo sahihi na bora. bravo

  ReplyDelete
 6. JAMANI TUAMBIENI KWANI VIPI KUNA TATIZO?MBONA HUTUWEKEI PICHA JAMANI?

  ReplyDelete
 7. jamani hizo picha mbona hazifiki,SIELEWI,kuturusha roho sie ndo nini

  ReplyDelete
 8. heee dada kumbe inawezekana ukafanya reseption mchana heeeeeee inaoneka ilikuwa tamu hebu niambie basi ama wao usiku waliendeleza

  ReplyDelete