Sponsor

KIJACHO:: GUSAGUSA MIN BAND WASHEREKEA MIAKA 4 TANGU KUANZISHWA!!!

12:22:00 AM

 Sabaha mchacho akilishwa na mkuregenzi Hassan Faruk kipande cha keki, Sabah yeye ni mama mlezi wa Gusagusa Min Band
 Rukia Ramadhani toka Zanzibar akionja keki, Rukia Ramadhani atakuwepo wiki hii yote!!
 Hafua mama wa JIDODO, jamani jidodo inapasha!!! akila ya keki, hafua ni mmoja wa waimbaji wa Gusagusa Min Band!!!
 Hasina Moo, akila keki ya miaka 4 ya Gusagusa Min Band, Hasina Moo pia ni mlezi wa Gusagusa Min Band....uko juu dogo langu!!!
 Hassn Hasanol akipata keki ya miaka 4 ya Gusagusa!!!! Hassan Hassanol ni mdhamini wa gusagusa Mind Band
Waimbaji wote wa Gusagusa Min Band wakifurai miaka 2 ya band yao!!!
Kaa mkao wa kuona picha zaidi...!!

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.