Sponsor

KIJACHO:: AQDI YA MARYIAM & SADICK

3:40:00 AM

 Sadick akimpa mkewe Maryiam mkono wa kwanza katika ndoa yao!!
 Muheshimiwa Matimbwa wa pili kulia wakipeana hongera na ndugu jamaa na marafiki baada ndoa kufungwa

 Mrs Matimbwa & Mrs. Manzi
 Aunty Joha na mwanaye!!!
Baba na mama Matimbwa wakiwa na kipenzi chao!!

Mkao ule ule wa mapicha kibao!!!!

You Might Also Like

3 comments

 1. Mhh nasubiriaje mapicha kwa hamm mana biharusi km kawa kapendeza mbaya alaf kavaa kiheshima kabisaa kafunika nywele na nguo ya mikono mirefu sio wengine mbele ya mashekhe anavaa nguo imeacha matiti waz na nywele, hongera bidada nakutakia kila la kheri kwenye ndoa yako
  J.

  ReplyDelete
 2. Bi harusi pamoja na kujihifadhi amependeza sana, hii inaonyesha kuwa mwanamke unaweza kupendeza bila kukaa uchi; tena kwa siku kama ya ibada ya ndoa yako kiukweli mwanamke hutakiwi kuweka kichwa chako wazi wala sehemu zile zilizokatazwa wazi, hatujui tu huwa tukiwa vichwa na sehemu za mwili zilizokatwa wazi, malaika hawahudhurii shughuli zetu.

  ReplyDelete
 3. looking good and decent

  ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.