KIBAO KATA CHA JACK - CHAFUNIKA!!!!

Decoration by PACO DECORATION - +255 652 909 311

 setting yake ilikuwa hivi
  Sehemu ya bi harusi mtarajiwa Jack very simple
Hii ndio meza watu walikaa karibia kumi hivi kwa hiyo mpangalio wa kukaa chini ulionekana!!
Baada ya watu kukaa umenisoma eeh!!

Hapa Jack akitonjesha ufundi wake!! well done gal..!!


   Kibao Kata ndio walitupa raha zote!!!

 Dorothy kati akiwa mashostito, nilimpenda sana Dorothy very charming!!! japokuwa mwenyeji wangu alikuwa hayupo alinikaribsha vinzuri sana!!!Devota & Friends
 Sarah Ragey & friend

 Masha, Mama Kibunju & Tahiyo, nyuso zinagaa kweli kweli

 Mary, Sharifa & shosti
 Nargis & freinds

 Saada & Friends
 Mwanangema & Joyce Ngoda, Hapana chezea maana niliwaambia hapa leo kuna mambo, nasikia baada ya kuondoka ulimwagaje mauno????
 Khadija Mwanamboka, TMH Chairperson & Tahiya, nawapendaje maana mashuazi hakuna kwenu!! respect to all

Amina Design & Carol Kirita Business Women ambao wako juuuuu n still hawanatiii!!!

 Mwanangema & Tahiya

 Mrs Dawood originally, mke wa Dawood miaka 100!!
 Tahiya Dawood & our new friends in BFFP!
  


 Jack, Mish & mdogo wake  
Red Carpet
 Junaitha Pemba  Masha & Tahiya
Tanisa & shostitos! mnaingia mie natoka


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

8 comments:

 1. Mashaaallah watu wote wamependeza.

  ReplyDelete
 2. Hii shughuli mbona kama sio kama ya kiswahili imekaa ki u turn u turn maana naona watoto wa mujini kina devota chuwa,devota diva,sada wa uk n.k.hapo wamekosekana mange na mwammy makamba tu

  ReplyDelete
 3. Da Hellen funika bovu, it was very nice

  ReplyDelete
 4. wewe mama jifunze ustaarabu mbana umeweke bi harusi na ile picha ya mapaja wazi mpaka pale kati japo pamebanwa sio poa. itakuwa alikaa tu vibaya msitiri mwenzio

  ReplyDelete
 5. Woote mmekolea kwakweli-mmependeza sana, ila nina swali jamani...wanawake mnapaka nini tusaidiane baasi naona woote weupe na ngozi nyororo laini mwenda wa chungwa! Mwangalie bibi Harusi full kuwaka waka waka-nimempenda bibi harusi sana rangi moja.

  ReplyDelete
 6. BIBI HARUSI ASILI YAKE NI MWEUPE WALA HAPAKI KITU LABDA SIKU YA HARUSI WALIMPAMBA TU.

  ReplyDelete
 7. Jacky atulie kwa mume wake ache mambo ya udada wa mujini.

  ReplyDelete