JACK MAFURU & DANIEL CHUMU RECEPTION WEDDING

Venue ::Sea Cliff Hotel
Colour::Orange, Black & White

Royal Wedding...!!

 Jack na BFF, Sarah & Ashura
 Jack & Mr & Mrs Raqey
Waalikwa wakiwa tayari kushuhudia ndoa ikifungwa!
 
Daniel akimsubiri mchumba wake Jack kwa ndoa
 Jack akipelekwa na kaka yake...!!
  Kaka akimkabidhi Jack...!!
wakiwa tayari kwa ajili ya ndoa!!
 umeona eeh!! pembeni ya bahari..!!
 Daniel akiapa...!!
 Jack naye vivyo hivyo!
Pete..!! 


 Yeah!! sasa wewe ni wangu, raha iliyoje!!!
sasa sisi ni kitu kimoja, hakuna wa kututenganisha..!!
wapambe nao na nyuso za furaha!!!
 Jack you are very sharp gal!!!!
  
Photo Session
 BFF
 Queen
 King
 Herry Nasser-Director Paco Deco!!!
 Masha & Friend
Baada ya picha waliingia ukumbini
 Champaign 
Cake 
 Cake ya ukweee, haijawahi tokea!!!
 
 Hapa nahisi ni ile "me & my wife"
Msosi
 Live Band!!!
 Herry Nasser wa Paco Deco BFF wa bi harusi Jack akimmwagia pesa BFF wake kama naija vile!! chezea wenye pesa zao!!!
 Mashughuli imemaliza kazi, Asante NURU THE LIGHT
kwa kunipa compliments!!!


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

69 comments:

 1. JAMANI, SINA LA KUSEMA!! MMENIFUNGA MDOMO. HII ARUSI ILIKUA NAIJAAAA AU DAR ES SALAAM!! KWA KWELI HII NDIO ARUSI YA MWAKA 2012!!! NI ARUSI SIJAPATA KUONA, NZURI KWA HALI ZOOOOOTE, KUANZIA BI ARUSI, BWANA ARUSI, WAPAMBE NA WAALIKWA!!!
  NAWAOMBEA KILA LA HERI; IDUMU NDOA YENU, MPENDANE, MJAALIWE NA VIZAZI VYEMA.

  BI MASHUGHULI, NAOMBA NIKUPONGEZE NA WEWE, KATIKA PICHA ULIZOWAHI KUTOA HII KWA KWELI IWE YA MWAKA 'ARUSI YA MWAKA' 2012. HAINA MFANO WAKE...

  ReplyDelete
  Replies
  1. Sina la kusema sina la kusema miee STUNNING! Daniel na Jack nawepeni stand inovation wote tusimame tuwapigie makofi pwaapwaaapwaa kaeni chini niendelee kumwaga misifa, sijawahi ona harusi nzuri hapa kwetu tangu nizaliwe, harusi classy, harusi pendezaaa, keki imenimalizaa style ya peke yenu mara ya kwanza Tanzania nzima, Helen hongera mama kazi yako unaijua nimekupasishaa huna mpinzani, Jack umependezaa maneno hayafiki sifa zake Beautiful Bride, simsifii sana mume wako nakuachia mwenyewe kazi yako, harusi pembeni ya bahari hali ya hewa murua kiupepo mwanana cha bahari ya hindi maji ya blue yanawakaje kwenye picha, nisiseme sana niwaachie na wenzangu kurasa imenimaliza picha ya my wife and I Daniel alitaka ambebe aondoke saa hiyo hiyo akaanze honey moon, alivyokamata mkono kauzungusha hadi upande wa pili mmhhhh walikuchelewesha kaka ukamezea mate mpaka usiku, maharusi mungu awajaze furaha na amani katika ndoa yenu, mbarikiwe na kila mnaloomba katika maisha yenu, Ameen

   Delete
  2. Royal Wedding King Daniel and Her Royal Majesty Queen Jack

   Delete
  3. wenzangu wa iga iga United garden wedding ni mchana kuanzia saa saba kama mnavyoona pichani jioni usiku haifai

   Delete
  4. KWAKWELI MASHUGHULI KATIKA PICHA UMEWAHI KUTOA, HII NI SAAAFIII.. HONGERA SANA AND KEEP IT UPPPPP..!!
   KISSESS

   Delete
 2. mashaallah biharusi kapendeza sana, makeup imetulia na watu wote wamependeza

  ReplyDelete
 3. WAMEPENDEZA SANA NA NIMEPENDA B.HARUSI ALIVYOPAMBWA YUPO POA SANA

  ReplyDelete
 4. harusi nzuri sanaaaaaaaaa ipo classic wapi devota feruzi

  ReplyDelete
 5. DA HARUSI NI NZURI SANA JACK HONGERA!

  ReplyDelete
 6. uko juuuuuu!!! Mashughuli hakuna kama wewe!!!!, Mwenyezi Mungu Bwana aliye chini ngoja juu!!!! wenye majina yao hawajapata hizi picha kweli Jack ni msichana mnzuri anamuheshimu mtu si sababu ya alichonacho ni kwa sbb ya heshima maana wewe ndio kwanza waliobaki wote chukueni toka hapa!!! sasa wewe ndio JITU BAHARI" AU INJINI YA JIJI

  ReplyDelete
 7. tuige makeups, hahahahha, hatuna haja ya kwenda naija, wanawake wa kitanzania, wakiamua wanawezaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, mfano tosha wa makeups!!! arusi hii ni shule ya uwekaji wa make-up, mapambo simple but surely very attractive, kuanzia bi hadi waalikwa, make ups zetu CONGRATS kwa wingi, hadi raha...................

  ReplyDelete
 8. jamani nipeni pole, nilidhani nimefungua 'bellanaija' blog, kumbe 'mashughuli' maana hii arusi kwa kweli haina tofauti na za kinaija...... mmmmmm mwili unasisimka ni arusi nzuri mno. HONGERENI MAARUSI. MASHALLAH MMEPENDEZA...

  ReplyDelete
 9. ki ukweli hii harusi imetulia. watu wote make up zimekaa safi sana.
  Bi haru naye kaiva mbaya.
  keki hivyo vijitunda imenogesha mbayaaaaaaa.
  wewe kwelimtoto wa mujini unagusa shughul zoteeeeeeeeeeeeeeee!
  SAFI SANAAAAAAAAAAA

  ReplyDelete
  Replies
  1. im speechless soluti for you jamani ya kaizari mpe kaizari hii harusi ni bab kubwa ina viwngo ya hali ya juu sana hiii harusi imeenda shule sina lakusema wabarikiwe sana maarusi pamoja na walioshiriki bila kuwasahau waliopendezesha harusi hii mpaka ikaonekana viwango na wewe mwenye blog hii asante kwa picha nzuri mbarikiwe woote

   Delete
 10. Kawaida mabiharusi huwa wanapendeza kwenye ndoa, ila huyu naona katishaaa. yani nimempenda sana, ana tabasamu murua, shape bomba, rangi maridhawa, kijisura kitamuuu. natamani nikuone live! hongera sana na mungu akuongoze kwenye ndoa yako

  ReplyDelete
 11. Classic,Huyu mfunga harusi jamani mbona hamkutafutia clasic sut?
  Nimependa pozi ya hicho kitoto, Hii hakunagaaa bana!!!, siyo watu kibao na watoto wenye kuongoza harusi

  ReplyDelete
 12. Kuona binti mrembo binti bomba kama huyu kaolewa na chinga mwenzangu kijana mwenzake inanipa raha sana warembo wetu wanabaki humu humu nchini, naumia roho warembo babkubwa wanachukuliwa na wazungu tena wazee inaniuma sana naelewa maisha ni maisha lakini duuh, dada Jack nakupongeza kwa mfano wako binti bomba umekabidhi uzuri wako nyumbani na ona mmewezesha hata chinga tuna pesa ya mambo mazuri vile vile big up Daniel tunza mtoto huyo hana doa hata moja miaka kumi ijayo tumkute kama alivyo kazi kwako kaka naamini unayaweza

  ReplyDelete
 13. WAPI DEVOTA.....

  ReplyDelete
  Replies
  1. jacq we wa ukweli hiyo haikanushiki mamiti hingera sana
   consolata

   Delete
 14. Hoteli yaitwaje? naona mambo ya classy classy tu wamevalia hoteli,mambo ya Golf cart, ndoa za ufukweni tutajicarry vipi wazushi? hamvumi kumbe mna mambo makubwa hivi? bwana harusi mdogo nimeshamtafutia mchumba msimwangalie sana, hongera Mr & Mrs Chuma

  ReplyDelete
 15. Huyo Raqey hataki mke wa pili jamani? he is cuuute!

  ReplyDelete
  Replies
  1. ushindwe na ulegee

   Delete
  2. wewe umemuona mke wake hapo sarah ni mzurijeeeee..... na mtoto wao she is so cute chezeyaaaaa na sasa sarah ana mimba tena,,

   utabki kutafuta hataki mke wa pili wa nini? wa kupeleka wapi? mke moja tosha wewe kama unataka unaweza kuwa kazi ya njee hahahaaaaa

   Delete
  3. hata kazi ya nje sawa tuuu...

   Delete
  4. BIBI WEE, USHINDWE, SI UMEONA KILA COUPLE HAPO NI BALAA, UMECHEKI ASHURA SAPI NA JUMA SHAMTE?? CHEZEIYA WEWE..!! MUWACHE RAQEY NA MKEWE, HUWAWEZI KWANZA KESHAMALIZA... HATAKI MILUPOO.. SARA WAPI WEYE UMPE HUYU KIDUBWASHA MAJIBUYAKE... AAH.. ANAUDHI,,HUYOOO..

   Delete
  5. AnonymousJuly 18, 2012 1:36 PM unachekesha walionuna.

   Delete
  6. Nashukuru mungu sasa mmeona eheeee binadamu mlimtukana sana sarah mohammed alivyoanza na raqey
   mkasema mpiga picha kumbe hamjui proffessional yake ni ya hadhi ya juu sana amesomea leo hii mnathubhutu kusema mnamtamani raqey kwasababu wako happy na maisha yao yanasonga mbele jifunzeni kujua mke mume na boyfriend.wish u a happily life jack pia love u all.
   Pe........jacks,devo& sarahs friend

   Delete
  7. kwani kumtamani mtu ni kosa la jinai? habari ndo hiyo mie nimemchunuku Raqey sasa marumbano yote haya ya nini. afater all sisi waislam ndoa mbili ruksa

   Delete
 16. ni ndoa ya kiserekali?naona bendera ya tanzania....the wedding is so classy..love everything,bi harusi is STUNNING.. just perfect

  ReplyDelete
  Replies
  1. yep...bibi arusi hataki kuwa msabato

   Delete
  2. Ahsante anonymous

   Delete
 17. bibi harusi amependeza saaana yaani that make up is spot on, je mama mashughuli huwezi kupata za sendoff japo muda umepita............

  ReplyDelete
 18. yule fundi Ali wa kwenye kona ya mtaa wa pili sijui atasema cherehani yake imehusika kwa gauni hili? ntapitia nikitoka sokoni

  ReplyDelete
 19. Where is devota

  ReplyDelete
  Replies
  1. na mie nataka kujua kilichomsibu. au ndo alozua sakata la nguo ya sheria?

   Delete
  2. jibu liko chini endelea kusoma ilikua harusi ya kaka yake siku hiyo hiyo

   Delete
 20. Harusini imependeza sana kwa kweli, kuanzia bibi harusi, wapambe, wageni, na mpaka hiyo receptions, vyote on point; however mbona hatuoni picha maharusi walizopiga na wazazi au hata walezi wa bwana na bibi harusi? Tunaona mashosti tu na wapambe! Otherwise harusi nzuri sana.

  ReplyDelete
 21. sina cha kuongeza

  ReplyDelete
 22. na hapa sheria anahusika?

  ReplyDelete
  Replies
  1. HUYO SHERIA NA DELEGATION YAKE YOTE WATAJI CARRY MAZAFANTAZ... WAENDE KWA KINA JET LEE HUKO WAKAWASHITAKI KAMA YEYE MJUAJI KWELI.. HOVIOOOOO.. MSONYOOOOOOOOOOOO

   Delete
 23. Haya mama wa ku copy bila compliment aje achukue na hii

  ReplyDelete
  Replies
  1. WATU WA U TURN BLOG KWA MANGE MMEHAMIA HUKU SIO?

   Delete
 24. Kaka anaitwa Daniel Chumu na sio Chuma...big up kaka... mimi Omary Chuma

  ReplyDelete
 25. Asante Omary kwa kunirekebisha ni kweli kabisa nilikosea.

  ReplyDelete
 26. harusi imependeza sana, watu wamependeza mno, bibi harusi mzuri sana, ila watu wengi kwenye hizo picha wanaonekana mawazo yamewajaa vichwani kulikoni,ni uchovu au?

  ReplyDelete
 27. jamani mbona matron Devota simuoni?

  ReplyDelete
  Replies
  1. Niko nae hapa kwenye Harusi ya Kaka yake.

   Delete
 28. na nyie kwani hadi mjue kila kitu, Devota hakuwepo ndio ila hakuna baya lililomkuta, she is fine, thatś all that matters!!

  ReplyDelete
  Replies
  1. but tulitakiwa kuhabarishwa kama hatakuwepo....ukimwona mwambie nitam-sue maana nilikuwa nimejiandaa kumuona alipendezaje sasa kutomwona kunanipa msongo wa mawazo na concusion.

   Delete
 29. Harusi nzuri. Ila tungehabarishwa wazazi wa maarusi. ŋ ni kweliiii waalikwa wana msongamano wa mawazo. Mdau uliyeuliza hiyo ni hotel gani ni mchanga mweupe hotel au white sand hotel.

  ReplyDelete
 30. no hating, but they are all christian why bomani wedding ? they could get a pastor there to officiate their vows...just sayin... harusi nzuri sana, bibi harusi you are so mwaaaaa

  ReplyDelete
 31. jacky na daniel kila la kheri katika maisha yenu mapya ya ndoa,mwenyezi mungu awaepushe na vishawishi vya hii dunia yetu,mvumiliane na kusameheyana ndio jambo kubwa.inshaallah

  ReplyDelete
 32. Anonymous Julu 18, 2012 10:07Pm
  Nathani Kanisani haikuwezekana kwani Jacky Alishaolewa tena ndoa ya Kanisani akamkimbia Mume, huyo kijana aliliwa kwa penzi la jacky ila hakuwa wake Kila mtu mungu kamuumbia wake. Nadhani ndio maana wakaishia BOMANI

  ReplyDelete
 33. Am happy for Jack and Daniel,All the best,i know believe there is a second chance,doesnt matter kama ni chinga,mgogo,mchaga,whoever as long as she is happy!!!!

  ReplyDelete
 34. Mbona naona pete anayovalishwa Daniel ni ya silver?? inamaanisha ni muislam bwana

  ReplyDelete
  Replies
  1. ever heard of white gold? na waislamu wa kiume hawaruhusiwi kuvaa pete za Gold ndio lakini haimaanishi kua wa kikristo hawavai za silver! anyways hiyo ni white Gold!

   Delete
 35. Umeona eeh!!! huyo nayejiita J wake L kaiba picha!!! una copy na kupaste halafu unajiita blogger??? tafuteni kazi zenu wenyewe, mbona mashughuli achukui za kwenu??? tena mlikuwa mnamdharau!!! lakini inshallah mwenyezi Mungu atamsimamia!!! unaboresha blog vipicha vibaya inahusu!! blog ni picha babu eee!! hata kama ikiwa haina muonekano mnzuri but picha nzuri utapata watu tu!!!

  ReplyDelete
 36. Jamani harusi imependeza sana Gongratulation.

  ReplyDelete
 37. Hii sio harusi ni balaaaaaaaaaaaaaa

  ReplyDelete
 38. Aisee Aisee this is the wedding in Tz,anayebisha afunge Yake tuone

  ReplyDelete
 39. hicho kitoto kivulana ni cha Jack?

  ReplyDelete
 40. yaani harusi ilikuwa sooo mwaaaaaaaaa, congs da Jack, na Veron kafunika kama mtu mzima vilee

  ReplyDelete
 41. GLAMBOXWEDDINGS....... NAFUE NYANGEEEEEEE UKON JUUUUUUU-...MAKE UP YA UKWEEELIIIIIII

  ReplyDelete
 42. kuna mwingine kaandika kuhusu wabongo kuolewa na wazungu tena wazee .kila mtu na mapenzi yake shost nyie ndo mnaochelewa na maisha kwa kuangalia nani nina nani na katokaje anamtu gani we chukua umpendae kama ni kwa mapenzi au kwa mali .MUHIMU UFIKIE UNACHOTAKA

  ReplyDelete
  Replies
  1. Anony July 21, 2012 1:37 PM nakupa tano wapashe wamezidi kuchonga. Tangu lini mapenzi yakaweka ubwabwa mezani.

   Delete
 43. mwenyezi mungu awalinde mdogo wangu jack na shemeji,mungu akuondole mabaya na wabaya,ulipendeza sana na umefunika mbaya,hongera sana na mumeo.

  ReplyDelete
 44. Kibokooooooooooooooo hamnaaaa,mpk leo hamnaaaaa haitatokeaaaaa ng'oooooooooooooo mia 800

  ReplyDelete
 45. Nimekosa last kunena.Hicho ni kichapo .Mungu awajalie Maisha ya kupendeza pia .R.K.

  ReplyDelete