DINNER PARTY YA MARYIAM MATIMBWA NA SADICK JONGO

VENUE ::DIAMOND JUBILEE HALL
Colour  ::YELLOW & SILVER
ENTERTAINMENT:: RUSHA ROHO, SIHABA JUMA LIVE BAND
CATERER:: TALMA CATERE or Mariam Twahir 


 Maarusi wakiwa ndani ya gari la kifahari lilowaleta ukumbini
 Mabinti hawa unawakumbuka kwenye kitchen party ya Maryiam na ile show yao, basi na hapa waliwaiingiza maarusi kimtindo! Maryiam na Sadick wakiingia ukumbini
 
MC
Sadick & Maryiam pendeza eeh!!
 Wanandoa wenye furaha!!!


 Decor.......!!

 Mh. Jerry Silaa alipata nafasi maalum ya kuwapongeza maarusi kwa sababu ya udhuru

Decor.......!!Cake
  


 Wakalishana...!! tena kwa mikono si kwa uma


 walipeleka keki kwenye meza ya wazazi kwa shukurani
 wazazi upande wa mume
 Mwenyekiti wa kamati pia alipata keki yao
Wakati maarusi wakikata keki kila meza ilikuwa na keki basi hapa Mrs. Matimbwa akimlisha mumewe mpenzi kipande cha keki
Burudani
Kinanda cha Siaba Juma toka zanzibar ndiyo kilitupa raha!!

wahaeshimiwa hawa wakicheza huku wakitunzana dollar
kwaito ya Sadick na Maryiam ikichezwa

Mr. Matimbwa akimtunza mkewe

kama kawa mwendo dollar tu
Mr. Matibwa akimwaga dollar tu
Chakula..!!!

NYUSO

Mh. Lipumba, ni babu wa bi harusi

Jerry Slaa, diwani wa jiji la Dar es Salaam
Aunty Joha

Hajary


Red Carpet
Mh. Matimbwa, mwenyekiti wa serikali gerezani, baba mzazi wa bi harusi Maryiam

Mrs. Mwanana Manzi
L::Mr. Manzi, director wa Kamaka CompanyMrs. Manzi akiwa na wanaye!!

Kamati ya maandalizi

 


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

18 comments:

 1. Harusi nzuri kupita maelezo. Bwana arusi na Bi arusi wote wamependeza mno. Wageni waalikwa nao wote wampendeza na kwa kweli ni arusi iliyotimia kwa hali na mali, ni yenye sifa zote. Tunawaombea maarusi kila la kheri, Mungu awajaalie waishi kwa mapenzi na maelewano. Wajaaliwe watoto wema wakike na kiume - ameen.

  HONGERENI!!!

  ReplyDelete
 2. Hongera sana Mashughuli, leo ndo nimegundua siri ya ubora wa picha zako!!
  Naona hapo upo na Shemeji yangu wa ukwee "wanted"

  Mama H

  ReplyDelete
 3. Hongereni sanaaa harusi imependeza mno!!!

  ReplyDelete
 4. HARUSI NI NZURI SANA.MAKE UP ZIROOOOOOOOOOOOOO,

  ReplyDelete
 5. harusi ni nzuri na imependeza sana.nadhani ingekuwa vizuri kama ungekuwa unachagua picha za kuweka coz hizo za watu waliozidisha make up zinatia kichechefu na hazivutii kuangalia.watu wamekuwa kama majini

  ReplyDelete
 6. Harusi imependeza sana Mashallah, maharusi bado wadogo, mkae mpaka mzeeke pamoja kama wazee wenu, mtie pamba masikioni, bi harusi umzuri mashallah, uzuri wako uwe kwa ajili ya mumeo tu, usidanganywe na mijanaume miharibufu. Na bwana harusi ni mzuri mashallah na wewe nakuusia pia uzuri huo ni kwa ajili ya mkeo usije kudanganywa na magumegume yaliyowashinda mitume ukaisaliti ndoa yako.

  Da Hellen leo umetunyima taarifa kibao, kuanzia Hall; mpishi; MC etc. Na kuna siku pia ulisema utatuintroduce kwa mpishi mpya wa maseafood lakini pia ukatusahau.

  ReplyDelete
 7. JAMANI!!!! HIZO MAKE-UP KWA NINI WANAPAKA NYINGI HIVYO WANATISHA....

  ReplyDelete
 8. mashaallah.. maharusi wamependeza

  ReplyDelete
 9. MDAU WA U TURN BLOGJuly 7, 2012 at 8:30 PM

  JERRY SLAA NI MTU MZITO SANA MBONA UMEMSHUSHA DADA?PAMOJA NA KUWA DIWANI WA GONGO LA MBOTO LAKINI YEYE NDIO MEYA WA ILALA YOTE

  ReplyDelete
 10. MR AND MRS MANZI NAWAPA BIG UP NYIE WATU WEMA SANA HAKUNA MFANO WWKE, KWAKWELI SHUGHULI ILIPENDEZA SANA HONGERENI MR AND MRS MATIMBWA, MAHARUSI MMEPENDEZA SANA KILICHOBAKI KUTUNZA NA KUHESHIMU NDOA YENU, INSHAALAH MWENYEZI MUNGU YU PAMOJA NANYI AMIN

  ReplyDelete
 11. nimefurahi kumuona Chiko aka Dr Chiko. Kamanda mstaafu

  ReplyDelete
 12. NIMEIPENDA NGUO YA DA MWANANA AKA MRS MANZI PLSEASE NAOMBA CONTACT YA DUKA AU FUNDI. TUMA kwinni@hotmail.com au 0713301697

  ReplyDelete
 13. dada japo mwenye macho haambiwi tazama...zile ni elfu moja moja wala si dollar..danganya hao hao.

  ReplyDelete
 14. mumii naomba nu ya mpambaji tafadhali!hayo mapambo ya ukweli

  ReplyDelete
 15. jamani make up na mikorogo vipi?kwa kweli mnatisha

  ReplyDelete
 16. WAOO SIAMINI KAMA KITU ALICHOVAA BIHARUSI NI KILE CHA 2MILLION,UMEPENDEZAJEEEEEEE!!!!!!!!!!

  ReplyDelete
 17. Bwana na Bibi harusi wamependeza sana. Baadhi ya waalikwa mikorogo na make-up zinatisha. Wapewe ushauri nasaha!!!

  ReplyDelete
 18. Harusi nzuri sana ila hizo makeups jamani zipunguzwe, kha!

  ReplyDelete