BIDHAA ZAIDI NDANI YA SKIN SOLUTIONS

HYPERCREME, hii ni maalum kwa wale wanaotaka kugarisha ngozi zao kwa njia bora zaidi, ni kiboko ndani ya siku 3 utaona matokeo ya ngozi yako kuwa nyororo na yenye kugaa!! utapata Fade Cream kwa ajili ya usoni, Illumination Fluid kwa ajili ya mwili skin solutions wanakuletea vitu vyenye ubora 

Nur76 skin lightening, hii innaondoa Acne, sun spot, pregnancy mask wakti huo huo inagarisha ngozi kwa siku 90 tu, hii ni maalumu kwa wale wenye tatizo la chunusu usoni na wakti huo unataka ngozi yako igae, ni product no 1 ya UK.
Exposed Acne Treatment, hii ni kiboko ya Acne zile ambazo zimeshindikana basi hapa ni kiboka hakuna ubishani, wako ambao wametumia na kuthitibitisha, wewe mwenye tatizo hili usisite kwenda Skin Solutions ukapate ushauri na jinsi ya kuutunza uso wako kwa njia bora na za kisasa!! 
Product za kiume
Skin Solutions pia inawajali wanaume, wana products nzuri na zenye majina duniani kwa ajili ya akina baba
Duke, kwa wale wapenzi wa waves watapata Duke na mafuta yake, hii ndio dawa za waves za kwanza,awali ni awali hakuna awali mbaya!!!!
LYNX Shower Gel
Kujua zaidi kuhusu Skin Solutions
Watembelee kwenye blog yao skinsolutionstz.blogspot.com
Wafuate twitter: skinsolutionsTZ
Wapende kwenye ukurasa wa Facebook
Watumie Email kama una swali lolote skinsolutions.tz@gmail.com
Wapigie simu
+255 767 780 014
+255 783 036 666

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment