BEST COUPLE OF THE WEEK!


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

17 comments:

 1. ...best siblings of the year

  ReplyDelete
 2. HUYO NDO MUKE WA BARAKA?

  ReplyDelete
 3. best siblings ha ha mdau umenifurahisha, na kweli siblings

  ReplyDelete
 4. hakika wamependeza,

  ReplyDelete
 5. very cute hadi wamefanana

  ReplyDelete
 6. Hi Hellen,
  Is that Baraka's wife? Please let us know? Thay look like siblings If I am not mistaken.

  ReplyDelete
 7. they are siblings but wameoana...wanapendana mno...familia illingilia kati but wakanyanyua mikono juu wameoana hivi karibuni tu. no 2 kids jj na pj

  ReplyDelete
 8. wadau bwana wanajua fika kuwa hao ni siblings halafu wanauliza lkn ndio hivyo tena hawakutaka kwenda mbali.

  ReplyDelete
 9. nice couple ever I like K and Baraka kwa kweli

  ReplyDelete
 10. Ingekuwa wahindi au waarabu mngeona sawa, people people get a life... Myself I admired them, really best couple TUWASIFIE TU acheni wivuuuuuu hauwasaidii ng'oooo. Mdau mkongwe wa blog hii,Sweden! God blesss this family in Jesus name

  ReplyDelete
  Replies
  1. wahindi na waarabu hiyo ndo culture yao na siyo wadigo na ....

   Delete
 11. ...yaani mkisema siblings ni baba mmoja mama mmoja? au ni wazazai tofauti(yaani step dad step mom? au ni cousins? au ule undugu wetu wa kuunga unga...samahani kama nimemkwaza yoyote mimi siwafahamu kwa hiyo nauliza tu kwa hao hapo juu waliosema ni siblings.

  ReplyDelete
  Replies
  1. ni mtoto wa mama mkubwa na mama mdogo....mama zao ni sisters

   Delete
 12. siblings means your sister or brother same mother and father,these people are related and not siblings,and i love them so much,they have two beautiful boys,they deserve to be a couple of the week,peace

  ReplyDelete
 13. kazi kweli kweli ndugu kabisa hao loh! but picha nzuri

  ReplyDelete