Somo wa ukwee'e Saida Daudi wa Kanyau chezea yeye!!!
Mashallah!!!!!!!!
Saida somo na bint zake wakihangaika kumtengeneza mwali
Bwana Omary akiingia kumpa mkono mkewe
Zainabu mbele ya somo yake Saida Dawood wa Kanyau shurti avae nguo mbili mambo ya fweza hayo!!! chezea Saida yuko juuuuu!!!, watabaki wanatoa macho tu
amependezaje?? malaika vile, umeona huyo dada hapo nyuma anashanga eeeh!!! mambo ya fweza tu!!!
Cute eeh!!!
somo yuko makini mwali akisaidiwa na wanaye Tanisa na Faiza
NYUSO
Baba mzazi na mama mzazi wa Zainabu Songambele
Fatuma Shisha na kipenzi wake Zainabu, hakika umezaa hongera!!!
BFF, Faiza & Tanisa
Happy, Zainabu & Aziza Songambele
Fatuma, Zainabu & Pamela a.k.a mama oprah
MC Jamila, Zainabu & Friend
BFF, Faiza & Tanisa
Bahiya designer
Mashangazi, mko juuuuu leo sikosei ng'oooo!!!
somo umefunika watu kimyaaaaaa!!!
SWAGA's
mmmmmmmmm jamani, mashallah mashallah mashallah
ReplyDeletemtoto mzuri kaumbika, kapendeza sana sana. Mungu akujaalie maisha mazuri na mumeo, muishi kwa masikizano, mpendane, mupate vizazi vyema, ameen.
HONGERA ZANGU ZAIDI KUPITA KIASI KWA HELLEN, KWA KWELI UNAZIDI KUNG'ARA KWENYE ANGA ZA PHOTOGRAPHY, YAANI KADIRI SIKU ZINAVYOKWENDA, UNAZIDI KUWA MJUZI, PICHA ZAKO NZURI MNO, TUNAZIDI KUKU SUPPORT MUNGU AKUZIDISHIE UWEZO, UNATUFANYA SAA ZOTE TUINGIE KWENYE BLOG YAKO, HONGERA!!!
Saaaana tena usemavyo mdau,bi harusi funika kapendezajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mashaaallah,kwa kweli my bff Hellen nakupa hongera saaaana kwa jitihada zako,MASHUNGULI iko juuuu saaaana,hongera sana sana,by the way Saida somo funikaaaaaaaa dear.
DeleteSaida umefunikaje??? kuanzia mwanzo wa kitcheni party hadi aqdi, hongera achana nao na roho mbaya zao wanakuonea uwivu tu
ReplyDeletechezea saida wa kanyau!!!!!! hapana chezea yy,watu ooooh nitaleta begi kutoka wapi sijui wapiiiiiii,watu hawataki maneno wanataka action kama za saida wa kanyau
ReplyDeleteMi chichemi jamani!
ReplyDeleteKatika picha zooote hizo ni wanawake wanne tu ndio wamevaa kwa stara inayofuata Sunnah; na Bibi Harusi sio miongoni mwao.
ReplyDeleteAcha wivu wewe, kupendeza tu kwenyewe ni sunnah, tatizo umekariri elewa!!!!!!
DeleteSikatai unachokisema, lakini kupendeza ni Sunnah kama kukifuata misingi ya Sunnah. Sasa sijui hilo linaingiliana vipi na wivu. Nafikiri wewe ndio unatakiwa kuelewa.
DeleteBi harusi kapendeza mashallah, na aliyemtengeneza nywele kampatia sana kulingana na jinsi sura yake ilivyo, ukiwa na sura ya hivyo ukibana chignon basi uso unaonekana mreefu; chignon inapendeza sana wenye sura pana maana inasaidia kuzifanya zionekane ndefu. Mmmh jamani binti huyu ni mzuri mashallah, sipati picha kwenye reception ilikuwaje, itabidi mumewe afuge jibwa au jini kabisa jinsi mijanadume ya Dar ilivyo kwapu kwapu!!
ReplyDeleteJamaniiii Saida wa kanyau anastahili pongezi kwakweliii hata kama unamchukia lakini in a way inabidii tu ukubaliane na ukwelii japokuwa unauma...Saida mama unastahili pongezi za hali ya juu maana sjawahi kuona kwakweli bi harusi alopendeza kama huyu...hakunaga aiseeee jamaniiiii wasije wakakuroga bureee manake binaadamu...mungu atakulinda kipenzi ...uko juuu sanaaa...mashughuli asante sanaa kwa kutupa burudani
ReplyDeletehongera kwa mchora hina duh kamchora vizuri mno.
ReplyDeleteMashallah, bwana harusi mbona atafaidi? Mwanamke mzuri mashallah, kisha anasomo wa ukweli, mizungu yote mtoto wa kike kapewa aah harusi za kiswahili raha sana jamani watu wanafaidi!
ReplyDeleteBi harusi umependeza sana sana sana tena sana jamani, hata wageni waalikwa wamependeza sana, hivi ndo inavyotakiwa makeups kukaa usoni.
ReplyDeletemie napenda kusema kweli, unaona inasiaidia, sasa tunaanza kuona changes za make-up!!! hongereni wote mnaokuwa sikivu au mnaopata salaam kutoka kwa wasamaria wema wanaotoa ushauri wa bure kuhusiana na make-ups; hali halisi tunaiona sasa inaanza kubadilika kwa speed kubwa, sasa nyoso zinapendeza mno, mno, makeup zinakua za kiasi na ukiangalia tu utaona kuwa jamani, mbona za kiasi mnapendezaaaaaaaaaaaaaaaa, hongereni maarusi, hongereni waalikwa, hongera na hellen!!!!! MUNGU AWABARIKI NYOTE...............
ReplyDeleteNAPITA TU! MUNGU AWAFUNGULIE MILANGO YA KHERI AWAWEKE MBALI NA MACHO YA MAHASIDI NA KUMBUKENI MUME MJINGA NA MKE MJINGA HUVUNJA NYUMBA YAKE KWA MIKONOYAKE MWENYEWE SO MNA HIYARI KUIJENGA AU KUIVINUJA NYUMBA YENU.MUNGU AWE KIMBILIO LA MATATIZO YENU NA WALA SI BINADAMU
ReplyDeleteBIHARUSI KAPENDEZA SANA, LAKINI JAMANI BIHARUSI WAKIISLAM MMEMUEKA UCHI MNO,VIUNGO VYOTE VYA KUTAMANISHA VIPO OPEN KABISA, HAO WANAUME SIJUI MASHEMEGI WAMEPIGA PICHA NA BIHARUSI WANAONA KILA KITU AMBAVYO HAVISTAHILI KUVIONA WAO. AKDI TUJITAHIDI BIHARUSI WAWE WAMEVAA KISTARA KAMA HAPO BWNA HARUSI ANAOMBA DUA KAMSHIKA KICHWA BIHARUSI LAKINI BIHARUSI WENYEWE YUPO UCHI, DUA HAIPANDI MBINGUNI JAMANI MBONA HAO WAALIKWA WENGINE WAMEJISTIRI NA WAMEPENDEZA SANA SI LAZIMA AWE UCHI NDIO APENDEZE. SAMAHANI NI MAONI YANGU TU.
ReplyDeleteNakubaliana na maoni yako. Kama ndoa unaiita ya Kiislamu, basi ni budi kufuata misingi ya Kiislamu. Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi tuwe ni wenye kuzifanyia kazi imani zetu...amin.
DeleteHellen, naomba nikupe kazi ya kuniandikia namba ya mchora wanja!!!
ReplyDeletenimependa nguo za bi harusi zote mbili kama aliyemdizainia una namba yake msada tafadhari
ReplyDeletenguo za biharusi zinapatikana dukani kwa saida wa kanyau magomeni mapipa mtaa wa butiana hotel kwa mbele kidogo 0773911111
ReplyDeletesalam
Deleteharusi imependeza sana kuanzia maharusi mpaka waalikwa. SOMO NIMEMPENDA ZAIDI KWA KUMPENDEZESHA BI HARUSI. NINGEPENDA KUJUA GHARAMA ZA HIZO NGUO UKIZITAKA UNAZIPATAJE NA SHINGI NGAPI
saida hongera sanaaaaaaa lkn wazazi wa bi harusi wamemuangusha
ReplyDeleteWazazi wako wapi nimemuona mama baba sijamuona kwani mpiga picha wetu hajatutambulisha na ututambulishe bac baba yupo wageni waalikwa wako wapi tutathimin mrembo kafanana na nani baba au mama?
ReplyDeleteMbona kwenye harusi ya mwaka iliyofungwa baharini hamkuuliza wazazi wako wapi? Wala hamkuuliza picha waliyopiga maharusi na wazazi wao?
DeleteKWANI JAMANI MBONA SAIDA KANYAU SIO THABIT KWANI MAJESHI YAMELUDI KWA KANYAU.
ReplyDeleteYOTE KHERI LAKINI BORA SALAMA.. NAULIZA TU
Nyie mnaosema ndoa ifuate misingi ya kiislam ooh mara watu wavae kisunah, eleweni kuwa sio waalikwa wote waislam, nyie za kwenu andikeni kwenye kadi masharti ya mavazi kama mnakereka.
ReplyDeleteNa tena kama ni kidini basi hata picha haramu. Sasa sijuwi mnataka mashughuli ifungwe?
Deletebi harusi kapendeza mashaallah!!bahia huwa habahatishi jamani mashallah!plz naomba namba ya simu aliyemchora heena!yaani imekwenda shule!asante kwa picha nzuri
ReplyDeletekuuliza sio ujinga tunataka kujua baba na mama wako wapi mbona mashangazi tumetambulishwa?
ReplyDeleteJamani kuna mtu ameuliza hapo juu kuhusu saida kanyau na sio thabit...hao wote baba watoto zake incase hauna taarifa, kwahyo lolote utakalopenda we tumia 2 kila mtu anahaki yake,kwa habari zaidi wasiliana na saida na sio mashughuli.
ReplyDeleteNamba ya mchraji 0718 329090
ReplyDeleteJamani naombeni namba ya aunt Saida nataka awe somo yangu April.ukhtrahma@yahoo.co.uk
ReplyDeleteMungu amjaalie ndoa yenye furaha, Kabinti MASHAA ALLAH, Ni karembo halafu kametendewa Haqi, Somo mkali kamependeza sana, Nimefurahishwa na waalikwa NO mikorogo safi saana.Huni kama wamependeza jamani?
ReplyDeleteMashaallah...! Biharus nakupenda bure penye ukweli tuseme, wallah umependeza. .. sijawahi kuona biharus apendeze km ww.. Allah akuepushe jicho la husda lisikuone. Nashkuru nimeona namba za designer fastaaa namchek Kwakweli mmefunika.
ReplyDeleteMashaallah umependeza bi harusi... naomba mnielekeze lilipo duka la saida kanyau au namba yake ya sim pliiiiz nimependa hizi nguo.
ReplyDelete