Aqdi ya Aida
Accessories

Wanaume


 


  

 Wanawake!
  

  
  
  


  

  

  
  


 Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

13 comments:

 1. Mbona picha nyingi watu wamenuna ova wapo msibani?? Wamemualibia mwenzao picha au mlikua mnawalazimisha kupiga picha??

  ReplyDelete
 2. hongera sana aida - Mungu akujaalie udumu ndoani. Ameen

  ReplyDelete
 3. bibi harusi mzuri sana lakini makorokoro mengi sana

  ReplyDelete
 4. AIDA ULIPENDEZA SAAANNA MY DEAR HONGERA

  ReplyDelete
 5. nimependa hii sherehe ya ndoa watu nyuso zimetulia hakuna kumaliziana poda.

  ReplyDelete
 6. Amne Salehe nakuona kwa mbaaali shost uko bibie

  ReplyDelete
 7. wanaume wazuri balaa

  ReplyDelete
 8. Mashallah umependeza sana Aida, wewe unaeona kawaida shauri yako na wivu wako,bora hii unayoiona kawaida lakini ndugu wamejinafasi kwenye harusi ya ndugu yao.

  ReplyDelete
 9. Bi Nyota Waziri kiuso kimekutulia dada kwa raha zako

  ReplyDelete
 10. bi harusi mashallah kapendeza lkn angevaa herini peke yake au mkufu angependeza zaidi,ushauri wa bure kwa wengine watakaojaaliwa ndoa inshallah

  ReplyDelete
 11. Congrats, My friend Jameel. May Allah bless this union. Momodou

  ReplyDelete