AQDI - MARYIAM & SADICK, DIAMOND JUBILEE HALL

Upande wa wanaume, mawaidha yalikuwa yakiendelea..!!!  Sadick akiingia ukumbini kumpa mke wake mkono  
 Mama na mwana
Mr & Mrs Matimbwa na mwanao

 

Aunty Joha & Maryiam


Mrs. Mwanana Manzi na Shangazi Joha


Sistaz

Red Carpet


 
Mrs. Mwanana Manzi very nice person!!!


  

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

16 comments:

 1. nimependa bi harusi mashaallah kapendeza

  ReplyDelete
 2. Mashallah na huu ndio mfano jinsi shughuli ya kiislamu inavyotakiwa iwe, wanawake upande wao na wanaume upande wao, na bwana harusi akishampa mkono bi harusi habaki upande wa wanawake.

  Mashallah wanawake wote including biharusi waliofunika nywele zao sura zao zina nuru wamependeza haswa!!

  ReplyDelete
 3. Nimefurahi sana kuwaona watu kariakoo kwetu wazee wa saigon kina mwarami,ramadhani dau,mzee mohammed chiko,juma simba na wengine,hii imenifanya nimkumbuke sana kakangu doza jabali la muziki marijani rajabu mzee wa mtaa wa somali pamoja na kaka yangu Hassan omari a.k.a.Hassan Tololi mungu awalaze pahala pema Inshallah

  ReplyDelete
 4. NIMEFURAHII SANA NIMEMUONA ANCO JUMA SPERSA MZEE WA SAIGONI ASANTE MASHUGULI

  ReplyDelete
 5. mashughuli jamani leo nimeona umuhimwako yani mariam ni rafiki yangu wa siku nyingi sana hata nlikuwa sijui kama mungu amemjaalia mume jamani na alivyopendeza hadi sikumjua nimemjua baada ya kumwona dada ake latifa na rafki yao asha mwenyez mungu amfanyie wepesi katika ndoa yake na amuepushie mahasidi

  ReplyDelete
 6. watu wamependeza sana, hongera kwa maharusi Mungu awajaalie kila la kheri katika maisha yao.
  tuwekee na picha zile za usiku hapo Diamond basi ilikuwa shughuli bomba.
  mama zay.

  ReplyDelete
 7. II kekon da ne!!! oksan kawaii mina kawaii Onesan Joha Hisashiburi dane!! aitaiyo!!! tabun junigatsu Tanzania ikimasu yo! mattte kudasai, watashi no Musukko Shanawaz mo mita yo demo okii kunata kakui mo tabun oyomesan iruyo, Mashughuli san atigatou guzaimasu kyodai mita kureta yokata!!!

  ReplyDelete
 8. JAMANI DA MASHUGHULI KATIKA HARUSI AU SHUGHULI ZOOOOOOTE HII MASHALLAH YAANI MIE HUWA LAZIMA NIPITE HUKU KWA SIKU MARA 2-3 LKN HUWA SI COMMENT ILA LEO NIMEONA NAMI NINA WAJIBU WA KUFANYA HIVYO
  1- HONGERA BI HARUSI NA WANASHUGHULI KWA UJUMLA
  2- HONGERA WAZAZI KWA KUONYESHA MFANO WA HARUSI NA KUSHEREKEA KUTOKANA NA MAADILI YA DINI YENU
  3- HONGERA SAAAANAA NA HELEN KWA KUTUFANYA NASI TUFURAHI/KUJIFUNZA KWA KUONA PICHA. MUNGU AKUJALIE NA AKUZIDISHIE NA ATUZIDISHIE SOOTE INSHAALLAH

  MDAU U.S.A

  ReplyDelete
 9. masha allah watu wamependezaje.. huu ni mfano wa haruc za kuigwa..

  ReplyDelete
 10. masha allah.. bi haruc na washiriki wamependezaje//.. mola awape maisha marefu ya ndoa insh aallah

  ReplyDelete
 11. mashallah harusi nzuri sana ya kidni.pia nimefurahi sana kumuona rafiki yng ambaye tumesoma darasa moja jitegemee na wala nlikuwa sijui nitamuonea wp lkn shkrani kwa da hellen.nampa hongera sana rafiki yng maryam kwa kufunga ndoa.Mungu amjaalie kila la kheri ktk ndoa yk.dah mashughuli sana kwa kufanya niwaone best zng wa kitambo kama zuhura.yapaswa tuige mfano wa harusi hii ya kidini iliyopendeza sana.
  salma chura
  mdau toka holland

  ReplyDelete
 12. mashallah harusi nzuri sana ya kidni.pia nimefurahi sana kumuona rafiki yng ambaye tumesoma darasa moja jitegemee na wala nlikuwa sijui nitamuonea wp lkn shkrani kwa da hellen.nampa hongera sana rafiki yng maryam kwa kufunga ndoa.Mungu amjaalie kila la kheri ktk ndoa yk.dah mashughuli sana kwa kufanya niwaone best zng wa kitambo kama zuhura.yapaswa tuige mfano wa harusi hii ya kidini iliyopendeza sana.
  salma chura
  mdau toka holland

  ReplyDelete
 13. meza nyeupeeeeeee.......

  ReplyDelete
  Replies
  1. ulitaka rangi gani?! ya puru lako? au ulitaka uone Amarula juu? sijafaham!
   Nimeona biharusi kapendezwa mashallah na watu wote!

   Delete
 14. jamani ndoa imetulia bi harusi mashAllah waliojistiri wametokeleza jamani ndivyo inavyotakiwa ndoa za kiislam sio kila unayemwangalia ana nywela za bandia

  ReplyDelete