AISHA NASSIR SEIF - KITCHEN PARTY

Venue:: Tambaza Sec Hall
Cake :: Tambaza
Entertainment:: Live Taarab Band
Decoration:: Princess Latifa (Fatuma Chizenga)
Colour:: Orange & brown
Designer:: Rozella Tailoring Mart 
Make-up:: Miriam Aziz
Still Pictures - 2am Photography
 akiwa ndani ya gari tayari kwa kuingia ukumbini
 Aisha akiingia na somo bibi, Injini ya jiji Salma Mntambo
  Aliingia ukumbini huku champignie zikifunguliwa..!!
alimpa somo yake red rose kama ishara ya upendo
Mariam akisoma dua kwa ajili ya ufunguzi wa shughuli
 
 Aisha akitoa utambulisho wa familia kwa wageni waalikwa
Aisha alipendezaje, kuanzia make-up mpaka nguo!!  
Decor....!!
Muonekano wa ukumbi wa Tambaza, hongera mpambaji
Zawadi
Cheza
   Live band taarabu ikitumbuiza...!!
Mama mlezi Rehema Mntambo na Mama Mzazi, wakicheeeeeeza!!!
Ndio mimi Salma Mntambo nani aniwezaye???
kama kawaida yake kutunza kwake wajibu!!!
Miriam Aziz akicheza kwa confidence, kupendeza jadi yake!!
Aisha akitunza...!!
Rehema akiwashtulia kidogo!!!
Cake & Champaign 
 
akigonga glass na mama mdogo Halima
Mama mlezi awalinyeshana..lol
Khadija akicheers na Aisha
Sameera mbona uko mbali au picha?? mpenda picha wangu...lol
Cake
Keki yake ilikuwa ya mbogamboga, mwanamke jiko eeh!!
akimlisha mama mzazi
akimlisha mama mlezi bi Rehema
akimlisha mama mdogo
  akilishwa na bibi
akimlisha somo bibi Salma Mntambo
Somo na yeye alimlisha
Kukabidhi Zawadi
Mama mzazi akimchukua mwanaye kumkabidhi kile alichomwandalia
mama aliampa mwanaye bedroom set, akianza kumkabidhi kitanda
dressing table
kabati la nguo
Aisha akideka kwa mama na kumwambia asante mama, Salma mntambo akimtunza mama kwa zawadi kubwa na nzuri..!!
alifuatia somo kwenda kumpa zawadi
somo alianza kumkabidhi kabati la viomba lililojaa vyomba ndani tena vya maana chezea Injini ya jiji...!!
alimkabidhi set ya sufuria za kisasa...!! uko juu mama mntambo!!
kisha akafungua sanduku lililojaa mashuka manzuri, mie namjua mama Salma ugonjwa wake mashuka tena meupeeee!!!
asante somo na bibi yangu..!!!
Somo akiongea...!!
kumbe anataka mtunza mwali wake..!!
Mariam akimkabidhi Aisha pesa alinzotunzwa na somo yake...!! 
mama mdogo akienda mtunza mwanaye
akitamba kwa raha zake
asante mama
Kisha akatoa hereni na cheni za dhahabu...!!!!!
Rehema akienda mtunza mwanaye....lol hongera shosti kwa kulea
akimkabidhi showcase ya TV
Rehema akitamba nwa mwanaye
Vipi tena? kisha choziiiiii.... la furaha!!!
akiongea mama mlezi maneno ya ziada...!!
akipongezwa na ndugu na marafiki, hakika umeweza
Sameera, mariam K, khadija, zuhura wakimtunza ndugu yao na mashosti wao
wakicheza kwa furaha!!!
umetuona eeh!! sisi ndio sisi...!!
Bai na group yake wakitunza water despenser
jiko la gesi...!!!!
Kama kawaida dada Mariam akiwapa hongera wadogo zake
Mariam akienda kutunza
alimkabidhi zulia
Mariam na Amne, walimkabidhi TV
Aisha akitunzwa
Sabrina na kampani yake wakienda kutoa zawadi zao
Miriam Aziz akitoa zawadi yake
Mama mzazi akimtunza somo!!! mihela
Asante!!!!!
Rehema akitunzwa!
ndugu zake Rehema wakimtunza
Hongeraaaaa!!!
NYUSO
Miriam kiatu, nguo uko juuuuuu!!!
Amne utafikiri, woman from Naije vile
Bayi & Mariam
Sisterz
Sisterz!!
Sisterz!!
Mama na mwana...lol
Bayi, Mariam & Sabrina
OMG, Aisha na jina limenitoka, uzeee eeh!!!
Sameera & Aisha
Somo Asha K & Brenda
Bayi & Mariam K
Bayi, Khadija & Zuhura
Mama na mwana
Salma mntambo na wajina wake

Khadija & friend
pendeza eeh!!
Injini ya jiji nakuaminia, maneno machache, vitendo vingi!!!
uko juuuuu, madini nayaona!!
pendeza eeh!!!
Red Carpet
mambo ya Rozellla hayo!!!
mimi penda nguo hiyo!!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

17 comments:

 1. beautiful bride kila kheri inshaallah.

  ReplyDelete
 2. asma miraji{mariam mtambo} mashallah unazidi kung'ara

  ReplyDelete
 3. bi harusi ana macho mazuri

  ReplyDelete
 4. mashallah kitchen party nzuri sana, watu wamependeza na mpambaji nae mashallah sijui anaitwa nani

  ReplyDelete
 5. me penda sana mariam mtambo sijui kwa nini? harusi nzuri.

  ReplyDelete
 6. jaman mie nampenda mariam mntambo vp nikipeleka posa

  ReplyDelete
 7. make-up zimetulia sasa vita kwenye mikanda ya sidiria.

  ReplyDelete
 8. Hongereni kwa shughuli nzuri, shughuli descent, bi arusi mzuri sana mashallah, mmm ngozi nyororoooo, jicho usiseme, kapendeza sana sana mashallah, cute baby!! Hongera mamake maryam, maryam, na wengine mlotaarisha shughuli, watu wote pia hongereni kwa kupendeza. Tunamuombea bi arusi kila la kher inshallah Mungu amjaalie aishi vizuri na mumewe; wapendane, wazae watoto wema, mpaka wakhitimishane inshallah, ameen.

  ReplyDelete
 9. HONGERA ZANGU ZAIDI KWA HELLEN, MAANA TUNASHUKURU SANA KWA PICHA ZAKO NZURI MNO, KILA KUKICHA!! KILA SIKU IKIONGEZEKA BASI NA PICHA ZAKO ZINAZIDI KUWA NZURI MNO, HONGERA. PIA TUNAKUSHUKURU KWANI TUNAPATA KUJUA NANI AMEOLEWA, NANI KAOA, UNJUA DUNIA IMEKUA MASAFA MAREFU SIKU HIZI KWA KUPITIA MITANDAO, WALO NJE YA NCHI WANAPATA KUJUA, MASHOGA ZAO WALIOOLEWA NA KUOA, WATU WAO WAKARIBU ENDAPO ITAKUA HAWAJAPATA TAARIFA LAKINI THRU HELEEN WANAONA, SO KWA KWELI WEWE PIA NI WAKUSIFIWA!!!
  MUNGU AKUBARI!!

  ReplyDelete
 10. Wapi Bilali Mashauzi jamani hii aliikosa?? au alikuwa mgonjwa??

  ReplyDelete
 11. Mambo waaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!! wanawake wa Tanzania wazuri bwana, naturally, aaa sasa si mnaona kumbe mapoda mengi yalikua yanachufua sasa Haki ya Mungu natural beauty ya mwanamke wa Kitanzania tumeiona,yesssss, safi sana, basi tena tuendelee hivi hivi light make inaonesha uzuri wetu wa asili, woooooooooooooote mmependeza, nyoso zote nzuri kwa kweli mnooooooooooooooooo

  ReplyDelete
 12. mash'aalah! harusi nzuri sana! ila jamani mi naogopa! yaani zawadi! hivi hizi zawadi ni za ukwelii au uongo! mbona kama duka la fanicha limehamia ukumbini? tena dabodabo? kweli najua familia ya mtambo wako juu mash'allah! ila hizi hela jamani tufundisheni na sisi manawezaje kutoa zawadi na mihela hivyo kila harusi! ni upatu au ni nini? maana siku hizi kila siku harusi tena si za kitoto na kila harusi unayoiona ni mizawadi na mihela! hapo tu ndo najiuliza jamani wadau nisaidieni maana sura na watu ni walewale na harusi zinazidi kupanda juu! hizi hela !! hela!!!!

  ReplyDelete
 13. MAANSHA'ALLAH HARUSI ILIKUWA MURWA!
  MASHUGHULI KWA PICHA NIMEKUKUBALI,,WE NI PAPARAZZI LA NGUVU,,UKO JUU MA'ANSHA'ALLAH!NATAMANI NIKIJA DAR NIKUTAFUTE KAMA UNAWEZA KUPATIKANA KWA YEYOTE YULE KAMA SISI!
  AHLAM

  ReplyDelete
 14. MASHAALAAHH NA AHSANTE SANA TUNAMSHUKURU MUNGU KWA UMOJA WETU NA TUNAPENDANA SANA NA TUNASHIRIKIANA SANA KWA MAPENZI YETU YA DHATI KWA KILA KINACHOTUTOKEA KIWE CHA HUZUNI,KIWE CHA FURAHA,KWANI SS HATUNA KIKUBWA LKN KIDOGO CHETU KINAONEKANA KIKUBWA LKN SISI SIO MATAJIRI NI MAFUKARA WA KUTUPWA MIPANGO TUU!! NA WENGINE WAIGE KUWA MASIKINI C KUSHINDWA KUFANYA JAMBO NI KUJIAMINI TUU!! TUNAMSHUKURU SANA MAMA MASHUGHULI NA ANAPATIKANA KWA MTU YOYOTE!!!!

  ReplyDelete
 15. KWELI UMEPENDEZA SANA DADA HONGERAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA SANAAAAAAAAAAAAA

  ReplyDelete
 16. wow!iko simple na ya ukweli daaa umependeza sana

  ReplyDelete
 17. Masha allah Bi harusi Kapendeza, naye ni Mrembo, Mungu amjaalie ndoa yake iwe na amani, starehe, na furaha. Amen. Nguo yake pia kali bwana!!!!!!

  ReplyDelete