AIDA'S NIGHT

 BRIDE  ::AIDA M.M.
VENUE ::BOUTIQUE SUITS – MAYFAIR PLAZA

Colour  ::HOT PINK & GREEN 

ENTERTAINMENT:: ZANZIBAR JEMA LIVE BAND, RUSHA ROHO

DESIGNER::HALIMA KAMUSI-+255 715 555 525

CATERER::TALMA CATERER (Mariam Twahir)
Nguo hii imebuniwa na Halima Kamusi, nzuri eeh!!

Accessories za ukweee
Cute Gal Mashallah!!Decor...!!!


 Aida akiingia ukumbini na kaka


Cake 
Aida akimpa kipande cha keki wifi yake..!!
mama mkwe yeye alimpa keki ya shukurani

Rafiki wa Aida toka Sweden aliwapa keki ya kuwashukuru kwa kumsindikiza nyumbani 

Kaka yake Aida akicheers!!! for Aida's night


Nasaha
Kaka mkubwa akimpa Aida maneno ya akiba, lakini alimsifia sana mdogo wake kwa tabia nzuri alikyokuwa nayo!!
Aida na dada yake give me 5 mdogo angu mambo yako poa1!

Suprise..!!
 

  Rafiki zake Aida toka Sweden wakimvisha hereni za dhahabu kama zawadi yao kwake!!!

Dada mkubwa akitunzwa na wafanyakazi wenzake..!!


Aida pia alitunzwa!!!Burudani
Hawa watoto ni moto wa kuotea mbali!!!

Zanzibar Jema Moden Taarabu Watu waliduarika kama kawa!!!
  
Kwaito Aida

Aida akimtafuta ...........!!!
akuamini baada ya kumpata


Wakilishana apple..!!
Aida una aibu eeh!!

Chakula 

NYUSO

Mariam, Aunty Hellen & Halima
BBM Babies!!
Sistaz
Mama na wana!!!


Jasmine & Mariam


Aida na mama mkwe!
Friends Forever
  Nguo zote  zimebuniwa na Halima Kamusi, yuko juu eeh!!!

Halima Kamusi

Hamisi na Afro!! wapiga picha mashuhuri...!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

16 comments:

 1. mapambo yametuli,, hongera aida ..

  ReplyDelete
 2. MASHALAH MASHALAH MASHALAH!! SHUGHULI ILIKUA NZURI MNO, AMA SHUGHULI MIPANGO, KWA KWELI BI ARUSI ULIPENDEZA,MMMM SIJUI KWA KUA UMETOKEA ULAYA, MANA MAKEUP UNAJUA KABISA SI YA WAPAMBAJI WETU, TUIGE MFANO JAMANI, MAANA UKIWEKA KIDOGO MAKE UP BASI UNAONEKANA KUVUTIA ZAIDI; KUANZIA BI ARUSI, NA WAALIKWA WOTE UTADHANI WAMEPAMBWA NA MTU MMOJA!! HONGERENI SANA SANA MMEPENDEZA.

  NAWAOMBEA KILA LA KHERI KATIKA NDOA YENU AMIN!

  ReplyDelete
 3. hot hot hot couple M'Mungu awajalie ndoa yenye utulivu

  ReplyDelete
 4. It was colorful Aida's Day Congratulations & wish you all the best in ur marriage ....God bless you.

  ReplyDelete
 5. From head to toe is her sisters doing the dress, hair to everything...Halima kamus upo juuu...lovely

  ReplyDelete
 6. hapo bwana harusi alivyofatwa kama anasema "mahaba ya dhati yamenishukia..... jamani hebu angalieni vizuri

  ReplyDelete
 7. nimempenda kaka yake aida jamani. mmh. hongera aida kila la kheri.

  ReplyDelete
 8. Naomba kuwauliza wadau kwa mtu ambaye anamfahamu Aida alishawahi kusoma Tala Academy Kenya au namfananisha?au ndo yeye.

  ReplyDelete
 9. YOU LUK SO CUTE SO CUTE CONGR AIDA UMETOKELEZEA ,.

  ReplyDelete
 10. mtoto wa mwenzio umtunze vizuri

  ReplyDelete
 11. This comment has been removed by the author.

  ReplyDelete
 12. Sio vizuri kubania comment zangu kwani simtukani mtu bali tunaelimishana.

  ReplyDelete
 13. kaka aliemuingiza bi harusi kesha oa nimempenda jamani ni handsome kinoma nipe no yake dada Helleni

  ReplyDelete
 14. hawa ndio mabinti wa kiafrika black beauty kibao sio shughuli za uswazi wote wanaonekana wazungu bongo mwee mpaka hawapendezi

  ReplyDelete
 15. Mashaallah! Wamependeza maharusi ha waalikwa! Mola awajalie yore mema na mabaya awaepushie. Amina

  ReplyDelete