SINGO YA OMARY - BUNJU
Bi Mwashamba umtokaje leo!!!Hidaya, this is special for you dear!!!

Burudani
Vanga
Tanti akiwatunza Kibao kata
Bwana harusi mtarajiwa Omary akitolewa nje baada kusingwa na bibi zake
hakufunuliwa alirudi kwa ajili ya kunywa chai na wenzake aliyotarishiwa
Msafiiii baada ya singo chezea singo weye!!!!

Chai ya Omary
Bibi hataki muachie mume aende yuko naye beneti


Bibi ana malavidavi na busu juuu!!!
Supu ya nyama ngombe kwa ajili ya waalikwa

Tunza
Alianza Mwanana Manzi kuwatunza mabibi na binamu wote kama thelathini hivi kila mmoja doti za khanga ili wakamsinge mjukuu wao vinzuri hicho ndio kitoka unyumba!!!


huku nyonga zikiendelea...!!!

Tanti akisindikizwa na kampani yake alimtunza Mrs. Mwanana Manzi, ukimuona Tanti Boy jua lazima atunzwe, twasubiri ile shughuli yake ya ukwee december lakini vikao vimeanza tokea April 2012Hina ya ukweee'e, Mwanana nakuaminia

Tant Boy alitupa kule laki si pesa million matumizi

Tanti akitunza tena chezea toto ya migomigo

si unajua mambo ya kutunza!!!!

Red Carpet


MADINI JUU YA HINAMashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

20 comments:

 1. Watu woote wamependeza mashaaaallah,da Mwanana chezeea wewe,bff wangu Hellen wakilishaaaa shost wangu nakuaminia.

  ReplyDelete
 2. Da mwanana hiyo hina ugonjwa wangu mie,umependeza sana mashaaallah.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Mashallah!!! arusi ilikua nzuri sana, inaonekana ilifana mnooooooo, kwa kweli ilipendeza, watu wote wamevaa vizuri na sare imewakubali vizuri mno, picha nzuri sana mashallah, kwa hali zote; HONGERA Bi Hellen, hizi ndo picha, safi mno, kwa kila hali, ngoma inaonekana ilikua safi sana. HONGERENI WENYE SHUGHULI!!! HONGERA BI. HELLEN!!! keep it up!!!

   Delete
 3. hapana chezea tanty boy always yuko juu

  ReplyDelete
 4. WAPI MAMAA AMINA CHIPOLOPOLO PENDEZA WW,MAMAA JULI UKO JUU WATOTO WA MAGOMENI MPO JUU

  ReplyDelete
 5. shughuli ilikuwa nzuri na ya kupendeza sana mashallah.
  salma chura

  ReplyDelete
 6. ilikuwa singo ya kistaarabu iliyojali muda maana mpk saa 3 usiku kila mwalikwa ameshaondoka,hizo singo saa usiku wa manane hao wanamambo yao,singo hii imekwenda shule hebu igeni nyie mnaoitwa watoto wa mjini,kila mtu alicheza vizuri hakuna aliyevua nguo,watu na heshima zao angalia vizuri picha hongera sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa na Mwanana na ndugu zako na wifi zako kwa kutuonyesha singo nzuri iliyokwenda shule

  ReplyDelete
 7. jamani ndg zangu Mwanana anajua kufanya shughuli mpeni sifa zake singo ilikuwa nzuri sanaaaaaaa na watu wote walipendeza sanaaaaaaaaaaaaaa sare nzuri sana HONGERA BI MWANANA UPO JUUUUUUUUUUUUU HAWAKUWEZI

  ReplyDelete
 8. JAMANI HUYO DA MWANANA MTU SAFI SANA WALA HANA MAJIVUNO ANACHEKA NA KILA MTU AWE MASKINI AU TAJIRI MAANA UKIONA HAPO NYUMBANI KWAKE MJENGO WAKE KAMA WENZANGU NA MIMI SIJUI ANGESALIMIA LKN HUYU DADA NAMPA BIG UP

  ReplyDelete
 9. MWANANA UPO JUUUUUUUUUUUUUUUUU HONGERA SANA NDG YANGU SHUGHULI YOTE KWA UJUMLA ILIKUWA NZURI WENGINE IGENI MFANO WAKE, NAPENDA SANA ANAJALI MUDA SHUGHULI IMEKWISHA MUDA MUAFAKA, UPO JUUUUUU DADAANGU

  ReplyDelete
  Replies
  1. Da mwanana ni mtu mzuri sana hapendi kabisa kujihusisha na ma group ya kijinga,anajiamini hana haja ya vikundi vya wanawake wanaopenda maneno maneno na kusengenya wenzao walio wazidi yupo powa sana.

   Delete
 10. CHEZEA WEE BI MWANANA MTU WA WATU HANA PAPARA WALA VIKUNDI HUYU NI WA KILA MTU, DADA KATULIA HUYU KAMA ALIVYOSEMA MWENZANGU ALIYETANGULIA UKIMUONA WALA HUFIKIRII KAMA ANAKAA KWENYE MJENGO ULIOKWENDA SHULE, HONGERENI SANAAAAAAAAAAAAAAA SINGO BABU KUBWA MABIBI ZAIDI YA 30 KWA KHANGA ZA VILEMBA NA MABINAM WA BW HARUSI MTARAJIWA WOTE VILEMBA VHA KHANGA MPYA, ILE NDIO SINGO BWANA MAANA MTARAJIWA KASINGWA NA MABIBI ZAKE WAKIUMENI NA WAKIKENI SI VINGINEVYO, SASA HAWA NDIO TUNAWAITA WATU MJINI UPO HAPOOOOOOOOO

  ReplyDelete
 11. jamani shughuli ya kistaarabu sana hata ulikuwa na mashauzi yako inelekea ukifika hapo lazima uzime zako jamani bwana harusi mzuri sana sana. huyo bibie kajiopelea chombo.

  ReplyDelete
 12. Waauuu!! Shughuli ilipendeza kiukweli. Wakina Mama enzi zao hao ....

  ReplyDelete
 13. Chezea Mama Misuka wee, Umependezaje? Upo juu dada angu, Bi. Mwanana Manzi hongera dada angu shughuli ya ukwee, singo imekwenda shule, kwa ujumla Shughuli nzuri dada!

  ReplyDelete
 14. Mashallah!!! Harusi inaonekana ilikua nzuri sana, picha nzuri sana mashallah. HONGERA Bi Harusi. HONGERENI WENYE SHUGHULI! Wakina Mama mlipendeza mnoooooo!! Dah! kwanini niliikosa?

  ReplyDelete
 15. Helen hongera sana kwa kazi nzuri, picture zimetoka mwaaaaa, na kweli ilikuwa Singo ya Wastaarabu na Watu wote wamependeza sanaaaaaaaaaaaaa, HONGERA SANA MWANANA NA NDUGU ZAKO Shughuli ilikuwa bombaaaaaaaaaaaa, Watu wanajiita watoto wa mjini jaribuni kuiga mfano wa hii singo saa moja wageni wameshapewa soup sio usiku wa manane, najua MWANANA anajiamini kwa msosi, mwenzio akifanya mambo mazuri mpe sifa zake MWANANA NAMFAGILIA

  ReplyDelete
 16. MWANANA OYEEEEEEEEEEEE NAMPA BIG UP SHUGHULI ILIKUWA BOMBA SANAAAAAAAAA NA WATU WALIPENDEZA MWAAAAAA ASANTE SANA HELEN KWA PICHA NZURI SANAAAA KAZI YAKO SAFIIIIIIIIIII HUNA MPINZANI

  ReplyDelete
 17. Ghaife asante sana ndugu yangu, umeona shughuli ya wastaarabu Bunju? Wapi Fatma Mwamba umeona eee watoto wa pwani

  ReplyDelete
 18. MWANANA WEWE KWELI UNATHAMINI UTAMADUNI WETU MAANA NGOMA YA VANGA NDANI AMA KWELI MJAASILI HAACHI ASILI YAKE, UMENIFURAHISHA SANA KWA HILO VANGA SIKU NYINGI SIJALIONA, JE WANAPATIKANA WAPI HAO WENYE VANGA? JAMANI TUKUMBUKE NA NGOMA ZETU ZA ASILI, SIO KILA UKICHA RUSHA ROHO TU, MWANANA NAKUFAGILIA MWAAAAAAAAAAA, HONGERA SANA HELEN KWA KUTULETEA MATUKIO KAMA HAYA YA WASTAARABU BIG UP

  ReplyDelete