Sponsor

PHOTO OF THE DAY!

5:00:00 PM

Ghaife & shostito, nimemkubali huyu kaingia bila kupingwa "BEST FRIENDS FOREVER PARTY"

You Might Also Like

4 comments

 1. Cellina all the way she is for real,me love her.

  ReplyDelete
 2. Mashaaallah Ghaife na Cellina ni ma bff wa tokea enzi na enzi na wako ngangari,m.mungu azidi kuwapa upendo wa dhati inshallaah,mmependeza wenyewe.

  ReplyDelete
 3. Kweli usemavyo shoga yangu mama wa mashunguli,Cellina anatufaa sisi wastaarabu tusiependa maneno maneno wala kugombanisha,wastaarabu tuna mji wetu na wanaopenda maneno maneno na kugombanisha wana mji wao,nitamuweka kwenye bag langu next time aje kwenye BEST FRIENDS FOREVER PARTY ya nguvuu inshallaah.

  ReplyDelete
 4. Teynaaaa hakunaga kama sisi bana Iga utepete,watu full vicheko kilasiku nikama sikukuuu marahaa ya ukweeee twapeana hatuhitaji majotoo

  ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.