Sponsor

NEW ARRIVAL @ SKIN SOLUTIONS

9:09:00 AM

Mzigo mpya umeingia Skin Solutions, zikiwemo handbag zenye ubora wa hali ya juu, Skin Solutions wanapatikana Mikocheni kwa Mwinyi karibu na jengo jipya la Baraka Plaza, wasiliana nao kupitia 
No:: +255 783 036 666, +255767 780 014

Cosmetics Bag, hizi ni ndogo kwa ajili ya handbag zisizo kubwa
Exofe'ne Powder 
 Hii ni powder nyeupe, ni kwa wale wanaopenda kutumia powder nyeupe badala ya kutumia baby johnson powder sasa mnatakiwa kutumia Exofe'ne kwani imetengenezwa maalum kwa ajili ya kupaka usoni, pia hufanya uso hufanya uso kuwa kavu!

Skin Lightening ProductsYou Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.