MASHALLAH!!! NYUMBA NZURI SANA HONGERA MY BEST FRIEND! MWENYEZI MUNGU AWAJAALIE KILA LA KHERI NA FAMILIA YENU...lol


Jamani nimeshindwa kuvumilia na hizi picha baada ya kuitembelea hii nyumba, ikabidi niombe ruksa ya Mr & Mrs Issu Frisch waniruhusu nizitoe humu ndani, niweze kushare na wadau wangu unzuri wa nyumba yao! M/Mungu awajaaze barka tele!!! Ishalaah tuifungue salama panapo majaaliwaUmeona eeh!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

33 comments:

 1. Mashallah mwanamke na maendeleo na maendeleo ndo hayo,maana ukiwa wajitihid mungu anakufungulia njia hongera wii wangu matunda ya kaka tunayaona jamani umejitahidi sana kwa mwanamke kama wewe unapaswa kupewa hongera kwa kupiga hatua

  ReplyDelete
  Replies
  1. Alhamdullillah tunamshukuru m.mungu,mie missss you my best Tahiya.

   Delete
 2. Hasana umetisharr mdau hapo jUu hujakosea tunataka maendeleo na kazi sio malumbano Huna mpizani bidada agajaaaaaaaaa wataisoma hata kama hawataki, chuuuuuuuura

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hahahah my wiiii umenichekeshajeeee,chuuuuura.

   Delete
 3. Hongera sis heshima kwa mwanamke na maendeleo

  ReplyDelete
 4. Tunataka vitu kama hivyo sio uke nchi zakigeni ushindwe leta maendeleo hongera mpe hongera Best wako

  ReplyDelete
 5. Dah! nyumba nzuri kwakweli, Mungu awajalie na wawe na maisha mazuri katika familia yao.

  ReplyDelete
 6. ALF MABROOK,MWENYEEZI MUNGU AZIDI KUWAJAALIA KHERI NA BARKA TELE,HAYA NDIYO MAMBO TUNAYOTAKA KUYAONA MAENDELEO MAENDELEO MSHALLAAH MZIDI KUSHIKAMANA NA NDOA YENU INSHALLAAH.HONGERENI SANA.

  ReplyDelete
 7. Uwiiiii nyumba kubwaa mashalaaah,maana naiangalia hapa huu upande mmoja ulivyokuwa mpana na naona inaendelea upana huo huo upande wa pili kweli mmejitahidi saana,mie huwa napenda saaana kuona watu wanafanya mambo mazuri kama haya ya maendeleo.kwa kweli mjengo umetulia nawapa hongera sana.

  ReplyDelete
 8. Mashallaah nimeipenda sana hongereni.

  ReplyDelete
 9. Very nice house mashallaah,ujenzi ni mgumu sana hongera zenu.

  ReplyDelete
 10. Mashalllaah mjengo mzuri sana.mie ningeweza kujenga kibanda tu cha mlinzi naona nisingekula chakula kwa furaha sembuse mjengo kama huo naona ningenenepa bila kula,hongera zenu kwa kweli.jambo mlilofanya kwa uwezo wenu ni majaaliwa na barka kutoka kwa M.mungu.

  ReplyDelete
 11. Ni kweli usemavyo mdau hapo juu.ujenzi ni mgumu sana kwa kweli na inatia moyo sana ukiona mtu amejitahidi sio siri tuwape hongera.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Zuhra eddy nakushukuru kwa kuzidi kunitia moyo,inshallaah m.mungu mkubwa alhamdullillah.

   Delete
 12. Ni kweli mdau hapo juu ujenzi ni mgumu,wengi wetu tuishio nje ticket tu za kujia bongo zinatutatiza mpaka tusubiri tax na hizi kazi zetu za machizi na za kulea wazee ndio kabisaa,nawapa hongera sana sana kwa jitihada zenu,maana kila mtu ujikunia anapofikia sio siri nyumba nzuri na kubwa mashallah.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Umenichekeshaje eti mmnasubiri tax ndio mpate hela ya ticket,ni kweli ujenzi mgumu asikwambie mtu,yataka moyo na usikate tamaa,lakini tia nia na changanya ubongo usilemae na kazi za machizi tu,jichanganye na watu wenye maendeleo yao na wewe utaendelea tu,achana na watu wenye maneno maneno hawatakusadia kitu.

   Delete
 13. mmh kweli nzuri sana lakini jamani kuna nyumba mbezi aliyekodi cythia masasi kwa kweli ni nzuri sana sijui nikusifie vipi ukiiona utanikubalia mwenye nyumba hiyo dada au kaka nakuoa dole helena jitahidi uione utupe hamasa

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ushasema wamekodi na hawa wamejenga ni vitu viwili tofauti,eti umewataja kabisaa watu majina yao,ama kweli huna lako jambo ulitaka kuwaumbua tu hao watu kama wamekodi nyumba.

   Delete
  2. Kweli kuna watu wanamuonea wivu Cythia masasi,sasa inahuuu kutuletea hadithi za cythia hapa kama kakodi hiyo nyumba,hapa tunaongelea watu wenye akili zao za kuona mbali na kujenga mjengo wao na mashaaallaah umesimama kwa kweli,hongera zenu mliojenga,kupanga inahuuuuuuuu.

   Delete
 14. nice big house!,mdau aliyetoa comment eti aliyokodi cinthia masasi ,ushasema amekodi na hawa wamejenga 2difference things. hongereni mmejitahidi ujenzi kazi sana siku hizi!

  ReplyDelete
  Replies
  1. Umenena mdau hapo juu,huyo mtu ndie wale wanaonunua magari lakini pa kukaa hawana wanaishia kupanga,hapa umetuletea picha za mjengo watu wamefanya vitu vyao,yeye anatuletea upuuzi wake eti wamekodi haoni hata haya,tena na kuwataja watu majina anaonekana alikuwa anataka kuwaumbua tu hao watu kama wamepanga.

   Delete
 15. Hongera bi mashaaa

  ReplyDelete
  Replies
  1. Huyo anaoneka ana wivuuu maana hata alichokiandika hajamalizia,utajibebaaa nyumba ndio hiyoo wewe utabakia na wivu.com

   Delete
  2. Malizia mbona umekatiza,una wivu tu utajibebajeee kwa mbeleko ya kaniki mwaka huu,wenzio wanapiga maendeleo wewe utabakia kukomenti mikato tu.

   Delete
  3. Ni bibi na bwana,mke na mume acha mikato,picha zimekuchomajeeee poyeeeeee bi wivu.com

   Delete
  4. Hahahah kaumbukaje bi wivu.com hapo juu,mikato inahuuuu inaonekana picha zimemchomajee mbeba box huyooo.

   Delete
  5. MSAMEEHEENI HAJUI ALITENDALO.

   Delete
 16. NAWASHUKURU WOOOOTE KWA DUUA ZENU ALHAMDULLILLAH,MIE NA MUME WANGU TUNAMSHUKURU MWENYEEZI MUNGU KWA BARKA ZAKE ALHAMDULLILLAH,BARKA ZA MWENYEEZI MUNGU NDIO ZILIZO FANIKISHA HILI NA MENGINEYO MENGI ALHAMDULLILLAH,NAWAOMBEA WOOTE NA WANGU WA MOYONI KILA KHERI MAANA MAISHA NI KUTAFUTA NA SIO KUTAFUTANA NA MTU AKIKUFANYIA UBAYA USIMLIPIZE KWA UBAYA MWACHIE M.MUNGU NDIYE ATAKAYE KULIPIA KILA MEMA ULIYOYATENDA,ALHAMDULLILLAH TUNASHUKURU MWENYEEZI MUNGU.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Alf mabrook mrembo wa ukweeee uko juuuuu bi dada lete lete mambo,hapo ndipo ninapokupendea zaidi huna muda wa kudeal na mataahira wa kizee wewe ni maendeleo kwa kwenda mbele,hongera mrembo.

   Delete
 17. Ghaife katika mambo yooooooooote mazuri mliyojaaliwa kuyafanya hili ni funika kabisa,umenifurahisha saaaana utafikiri ni nyumba yangu mimi,alf mabrooook mashaaaaaaaaaaallah m.mungu azidi kuwafungulia wewe na hubby wako inshallaah.

  ReplyDelete
 18. Midomo vuuuuuuuuuuu wanaopenda mashindano shindaneni basi kwa hili,Ghaife na mumeo mko juuuu kwa raha zenu,kweli nimeamini wanao kufanyia mabaya na ndio watakao kufungulia barka katika maisha yako,wewe wasonga mbele wao wamebakia hapo hapo na moroho yao mibaya,songa songa mbele mwanangu tupo na wewe daima,love you kwa saaaaaaaaaaaaana,ni mimi dadio wa ukweeeeeeeee.

  ReplyDelete
 19. lovely house. Nami najenga nyumba robo ya hiyo mwaka wa pili huu nimefika kwenye linta. Nipeni dili basi masela nimalizie? Ingawa inaonekana mna hela nawapongeza tu kwa uamuzi wa kujenga kwani wenye hela wengi huwa wanaona watakuwa na hela muda wote hivyo wanapanga kwenye majumba mazuri wanasema watajenga kesho kumbe siku ni leo. Pia tusimshambulie huyu aliyeleta mambo ya cynthia humu. Nadhani alichotaka kusema ni kuwa kuna nyumba nzuri zaidi ya hiyo. watu kama hawa wapo na ndiyo chachu ya maendeleo.

  ReplyDelete