LUNCH YA ISMAIL & ZUHURA

BRIDE & GROOM::ZUHURA & ISMAIL
VENUE::SALMA MNTAMBO RESIDENTIAL, UPANGA MINDU STREET
COLOR::GREEN, BLACK & ORANGE
Bi harusi aliingia hivi
  
 
 Baadaye alibadili nguo aendane na Mume
Decor
Burudani 


Chakula

  Duuuh! msosi ulikuwa mtamu sana sijui tutaweza diet kweli
NYUSO
Maarusi wakiwa na kina mama

 Wanaume wa familia ndio walioingia na maarusi huku watoto wote wakiwa wamevalia mashati ya sare!!
 Tindwa & George

Bi Hafua anasema yuko Gusagusa sasa ukitaka kuisikia JIDODO nenda Jumamosi Lango la jiji ukimuome Live


Mama kijacho, harusi umejibu!!!!
Shariffa Kavu wa ukwee'e chezea yeye duka 2 mtaa mmoja!
  Sophia & Ummy bi harusi umenoga!!!

 Zuwena, Ummy Sweet, Sophia & Hairun


 Dadaz


 Sameera & Mariam K, uza sura ndani ya mashughuli...!!

Hidaya Mchowela. Kaneka & friend 


 watu ya muji hiii, chezea wao kila ukiwaona ngari'ngari

 Mama Mkwe!

 Salma Mntambo & Abdallah Hashim, siku hizi na yeye anapozi for camera!
  Sistaz
 Mariam Mntambo Organiser wa shughuli zote za nyumba ya Mntambo family

 Mama Salma Mntambo Injini ya jiji. tumekulaje!!!


Aziz mwanangu mwenyewe!
 Bigo & Bayi mdogo
Amne, a.k.a Bibi wa darini!! Zuwena, George, Ummy Sweet & Sophy, bi harusi fungate umeshamalizaTanisa leo umependeza wataka picha

Happy shostito!
Nimefuahi sana kumuona mwanangu...kweli kuonana majaliwa


Mariam & mama Tamba
umewaona eeeh!!
 Mie na mkwe wangu, muchumba wa Tonna!
 Hafua & Sophy

 deka mdogo wangu kwa mume!!!

 Mama na mwana umeweona eeh!!
 Bayi jicho hilo!!!!

 Maarusi na mama zao!!!

  Mimi & my sister Joha... Luv you!!!
wenye kujua maadili wakimpa Salma Mntambo zawadi ya hongera kwa kuozesha

Aziz mpe nafasi mkeo basi hutaki achezeeee!!Red Carpet
Udugu hazina yetu......!!

 SWAGA's
Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

9 comments:

 1. Huyu mama mimi namuadmire sana.Haringi pamoja na uwezo wote Mungu aliompa kifedha.Mungu akubarki mama.

  ReplyDelete
 2. Bff wangu mama wa mashunguli umependeza mashallaah na watu wote wamependeza saana.

  ReplyDelete
 3. Picha nzuri, watu wamependeza na wana nyuso za furaha, akina mama make-up zao zimeenda shule, kwakweli wamependeza sana....mama mashughuli gd job and keep it up.

  ReplyDelete
 4. imependeza saana watu wamependeza na maaharuc pia wamependeza mashallah

  ReplyDelete
 5. yote ya kawaida ila hii ya kufanyia aqdi nyumbani imenifurahisha zaidi, jamani wenye nafasi katika majumba yenu igeni mfano huu, kuliko kwenda kukodi ukumbi, bora ulipie mapambo na watu wale vizuri na burudani kama hivi, inapunguza gharama kwa kweli hii nimeipenda zaidi. big up mama mntambo umetukumbusha ndoa hufungwa nyumbani na binti ni barka kutokea kwao sio holini i like this!!!!! ingawa sijajua ndoa ilifungiwa wapi?

  ReplyDelete
 6. Big up Mama Salma Mtambo dada langu la nguvu mashallah mungu akuzidishie kwa kweli shughuli ilikuwa nzuri imetulia sana hongera mama mashughuli keep it up

  ReplyDelete
 7. Mama mashughuli ulipendeza sana,hiyo nguo ulipata duka gani naomba nipatie adress ya duka

  Harusi nzuri mashallah,MUNGU ailinde ndoa yao.WAJINA HONGERA

  ReplyDelete
 8. haruc pendeza sn mashallah mama mntambo mwaaaaah luv u......!

  ReplyDelete
 9. mmmmmh jamani huyu ismail kaoa loh jamani mbona kawahi sana jamani kaharakia maisha ya ndoa shule yenyewe 2 alimaliza mwaka 2006 maisha anayawahi sio mchezoo,na huyu ndugu yake amir kanenepa huyo limekuwa jibaba wadogo sn hawa sema sikumuona yule mdogo wao wa kike nilikuwa nikimpendaga sana jamani duh mpk ss mdomo wazi ismail mdogo saaaanaaa...ht kwenye picha anaonekana pia hongera kwake jamani,mungu awajalie maisha yenye furaha na upendo ndani ya ndoa yenu mashallah bado amiri cjui yako lini

  ReplyDelete