KUMBUKUMBU - RAHMA KIRANJA


It is exactly two year today since you left us, Rahma Rahma

Rahma. I love you my daughter and missing you so much

unexplainable. May Allah keep you in a safe place, R.I.P.

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

12 comments:

 1. RIP Rahma. Nimejikuta machozi yana nilenga lenga nakulia mwenyewe. Nikiona hiyo pc Mashallah kilikuwa kirombo. Japo simjui ila nimeguswa maskini. Mw/mungu amlaze mahala mema peponi Ameen. Mdau Mamaa wa Dubai.

  ReplyDelete
 2. RIP Rahma. Nimejikuta machozi yana nilenga lenga nakulia mwenyewe. Nikiona hiyo pc Mashallah kilikuwa kirombo. Japo simjui ila nimeguswa maskini. Mw/mungu amlaze mahala mema peponi Ameen. Mdau Mamaa wa Dubai.

  ReplyDelete
 3. Hana wasi wasi huyo Rahma huko aliko yu peponi Mwenyezi Mungu amumuweka malaika wake, na huyu ndiye atakuja kuwaombea wazazi wake rehma siku ya kiama ilimradi tu wawe wenye kushukuru na kusubiri kwa msiba uliowakuta! Mwenyezi mungu awape wazazi wa Rahma subra na imani.

  ReplyDelete
 4. pole sana i can imagine the pain you are having

  ReplyDelete
  Replies
  1. Inalilah Waina illaih raajuun . Mola akulaze pema nahakika pepo yako ninjema kama ilivyoandikwa kitabun. wewe ndo mlinzi wa wazazi wako kesho amri Kiama .
   Tusikufuru kwani kila nafsi itaonja mauti.
   sote tuandike MOLA AKUWEKE KTK PEPO NJEMA

   Delete
 5. it was hard kwa kweli, nakumbuka siku hiyo nilipompakata wajina kutoka aga khan mpaka magomeni akiwa marehemu.tutakukumbuka daima Rahma,miss u so muchhhhhh.RIP.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Rahma , umenikumbusha ile siku 5th June, sitaisahau ile siku, it was very hard naona kama nilichanganyikiwa vile ila ALLAh ni mjzui wa yote

   Delete
 6. RIP BEAUTIFUL GIRL RAHMA. INSHALLAH, WAZAZI AWONGEZEE UVUMILIVU.

  ReplyDelete
 7. OMG! Poleni sana wazazi wa Rahma, Mwenyezi Mungu awazidishie subra! Yaani unashindwa kuamini kama mtoto mzuri kama huyu hayupo tena duniani! Lakini kwa sasa ni malaika aliyeko peponi. Pole sana na wajina wake Rahma Kigwe- i can only imagine.

  ReplyDelete
 8. MUNGU ni mwema na anasababu na kila jambo...awape moyo mkuu wa kuvumilia yote na kumshukuru kwa kila jambo...tunawapenda sana sana....malaika wa MUNGU alale kwa amani.AMINA.

  ReplyDelete
 9. Ahsanteni sana kwa Duaa zenu, mimi ni mzazi wa kike wa Rahma, inauma sana ila AlhamduliLLAh tunashukuru na kuzidi kuwa na Subra na InshaALLAh nina imani tutakutana nae RAhma peponi akitusubiri at the gate to show us around the heaven...ALLAh amrehem , Amin

  ReplyDelete
 10. Assalam alykum ma Rahm,pole pole sana mamy tumwombee malaika wetu huko aliko nna imani amepumzika kwa amani na kufurahi na malaika wema.Insahalla Allah azidi kuwapa nguvu na kuendelea kumwombea duah.She was so quite girl.

  ReplyDelete