KITCHEN PARTY - MARYAM R. MATIMBWA

BRIDE::Maryam R. Matimbwa
VENUE::Quality Centre - Nyerere Road
COLOR::Purple & Brown
MC::Jojo - Mashauzi Family
CATERER::Talma Caterer 
DECOR:: Yahya
Entertainment:: Rusha Roho & Warumba Live
Designer:: Bahiya Lumelezi - +255 713 233 362
Designer Bahiya


Kideo kiko Jikoni uone style bi harusi aliingia nayo ukumbini!!!
Decor 

Souvenirs 
 
Kila mgeni alipewa, mi changu kilikuwa na alhudi & udi wa mawardi

Jokha Lemki akiomba dua ya kufungua shughuli MC-Jojo mashauzi family!

Baada ya bi harusi kuingia ukumbini, walikuja 
wanawari hawa kutupa show yao!!!

ZAWADI
Zawadi za ukwe'ee big up Matimbwa Family!!!
Maryam alipewa zawadi kubwa nne (4) tu
 Sitting Room iliyokamilika
 Bed Room Set imekamilika eeh!!
 Dinning Set
   Jiko pamoja na mazagazaga, washing machine & na jiko la gas

Burudani 
watu walichangamka maana ni full shangwe!!


 Maryam akicheza na mashostito, si unaona eeh! FACEBOOK!!!


Ngoma ya Warumba Ngoma ya warumba inanogaje ikipate wachezaji!!!

 Wasia, alipata maneno ya akiba toka kwa mama, Fatma Matibwa


 Fatma Matimbwa akipongezwa baada ya kuongea na Maryam
 Somo, alikuwa Mama Mkapa 


Cake


 Champaign 


Nguo ya mama na mwana mbunifu ni Bahiya, mpigie kama umependa kazi yake!!
 Mama na mwana cheers!!!
 Wakwe!!
 
Mrs. Mwanana Manzi!


  
Chakula


Baada ya chakula Maryam alibadili nguo na kuvaa nguo ya 2
 
ZAWADI


Hasina Kawawa 
Mama Terry

Mama akikabidhi MADINI, bangili, hereni & cheni 2 moja silver

mama akikabidhi bedroom set
Flat Screen pamoja na showcase

Mama akimkabdhi mwanaye sofa set ambayo ni 2-1
Mama akikabidhi kabati la vyombo
Mama akimkabidhi meza ya chakula viti sita
Mama pia alimkabidhi Maryam vyombo vyomboShangazi Joha akikienda kukabidhi zawadi
Dada yake Maryam akiwa na mashosti wake wakikabidhi coffee tableWafanyakazi wenzake dada wa bi harusi walimfuta jasho


Mama mdogo akikabidhi set ya vyombo
Rose jimama akisasambua sandukuRose jimama katika kunogesha sasambu
Mashosti walimpa zawadi ya barbecuer  grill, amchomee bwana nyama choma , walikuja na kuku aliyechomwa na kumuonyesha mfano!!! 


Baada ta kumpa zawadi walimtunza!!
Vikoba toka kata Gerezani wakiingia kwa fujo!!! kumtunza Fatma!

Kila mmoja alishika 10000 juuu x 2

umeona eeh! style za facebook!!

Somo bibi alikwa Mwanahamisi Chamung'anda, akiwatunza mama wakubwa na wadogo!!!


Bi mwanahamisi aliingia na kampani yake na mazagazaga yote


Fatma & Joha walimtunza Bibi Mwanahamisi Chamuganda


Wanakamati walikabidhi zawadi ya gari aina ya Noah kwa Maryam ilikuwa very simple!!! 
 Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi akikabidhi gari kwa Maryam
 Maryam akiwasha gari!!!

Wanakamati wakifurai baada ya kutimiza lengo lao

NYUSO


Mama Mkapa & Hasina Kawawa


Mrs. Mwanana Manzi, subiri picha za singo ya kistaarabu Bunju!!!, mashughuli inapasua mitaa!!!

Wastara, mnakumbuka bi harusi alitunzwa cement & tiles?? huyu hapa! amependeza!

Vero mkuregenzi wa VERO HAIR SALOONMrs. Mwanana Manzi & Fatma Matimbwa!
Sittu Mwasi, mwenyekiti Serikali za mitaa Ilala - CCM
Blusher umeona eeh! Skin Solutions tupeni somo!
Asili
Vipini vya pua umeona eeh!
Mama mzaa chema Fatma Matimbwa
Sistaz!!!


Nyago eeh!Red Carpet
Nguo ya designer Bahiya Lumelezi

Designer wa nguo ni Bahiya Lumelezi
Nguo designer Bahiya Lumelezi
Swaga
Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

17 comments:

 1. MASHALLAH WAMENDEZA SANA NA BIHARUSI MTARAJIWA KATULIAA HONGERENI WATU KWA SHUGHULI NZURI

  ReplyDelete
 2. Biharus alikuwa simple na alipendeza sn zawadi za ukwel

  ReplyDelete
 3. Such a luvly sherehe...hongera sana bi harusi wetu...MUNGU akujalie ndoa yako iwe ya Amani tele.

  ReplyDelete
 4. shughuli iliandaliwa haswaaaaaa........bi harusi katokezeaaaa

  ReplyDelete
 5. kitchen part ya hadabu ipo juu .......mashallah

  ReplyDelete
 6. Wote waliovaa sare ya k.party mmependeza sana sana sana mashuhuli usiache kutupa raha kwa picture za send off nakukubali uko juu na unaijua haswa kazi yako. Big Uuuuuuuup!

  ReplyDelete
 7. Maryam kapendeza yani kafunika ile mbayaaaaaaaaaaaaa

  ReplyDelete
 8. My bff nakuaminia watu wote wamependeza mashallaah,da mwanana pendeza sana.

  ReplyDelete
 9. wifiiiiiiiiiii umependeza.....this is amaiznglly cute...MASHALLAH

  ReplyDelete
 10. Mashallah, bi harusi kapendeza na watu wamependeza, na shughuli ilikuwa ya ukweli, maana mpaka ukiangalia kuanzia juu mpaka chini sakafuni kwa ukweee

  ReplyDelete
 11. nimependa nguo ya pili ya biharusi iko bomba

  ReplyDelete
 12. MashallahMaryam umependeza.M/mungu akupe ndoa ya kheri inshallah.

  ReplyDelete
 13. Waoo bi harusi amependeza sana nguo ya pili,she looked elegant.Mama Terry ume slim a bit you look super.NAMUOMBEA KHERI BIHARUSI.Ndoa ni ustahamilivu.

  ReplyDelete
 14. Hii shughuli watu walikaa, wakaiandaa wakapika na kupakua vitu vya maana! Bi harusi alikuwa simple na alipendeza sana!Ma maids BIG UP sana, mlipendezesha sherehe!Kweli kuna watu wana bahati mana zawadi alizopata shosti...ni za UKWEEE...LI

  ReplyDelete
 15. MANSHA'ALLAH HII KWELI NI KIBOKO YA YOTE,,BI HARUSI ALIPENDEZA NA ZAWADI ALIZOPEWA MIMI KUSEMA KWELI SIJAWAHI KUSIKIA AU KUONA BI HARUSI AKIPEWA VITU VIZURI NA VYA THAMANI NAMNA HII.MWENYEZI MUNGU AMJA'ALIE MAISHA MEMA NA KIZAZI BORA KATIKA MAISHA YAKE YA NDOA,,,NILIKUWA NAJIULIZA MWENYEWE,,NASEMA HIVI HUYO KAPEWA HIVYO VYOTE NA MDOGO WAKE KAMA HAJAOLEWA,SIKU AKIOLEWA ATAPEWA NINI?MBONA NAONA KAMA HUYU FATMAH KAKOMBA VITU VYOTE?

  MASHUGHLI UMESEMA WEWE UNAPASUA MITAA!MIMI NAKATAA!,MAANA UKISEMA UNAPASUA UNAINGIA MTAANI TU NA KUONDOKA,JINA LINALOKUFAA WEWE UNAKWANGUA MITAA,UNAKOMBA HATA SISIMIZI,,NA KUTUJUZA SISI KILA TENDO LILILOTENDEKA HAPO MTAANI!
  JAMANI UNANIFURHISHA MNO,UNAJARIBU KURUDISHA FURAHA YANGU YA KILA SIKU NIANGALIAPO HII BLOG,,
  JAZZAKALLAHU KHAIR

  AHALAM,,UK

  ReplyDelete
 16. Jamani naomba mniwie radhi kwanza, hizi make-up mbona zinatisha hivyo!! Wengine tutaota vibaya usiku bure 'nightmares'!Yaani kama bundi katoka mchana, inabidi wafundishe jinsi ya kupaka, maana wanaonekana ka vituko vile! Ila Bibi harusi amependeza sana

  ReplyDelete
 17. shughuli ilikuwa bomba watu wamependeza, nimependa ivo viatu vya kitenge wapi jamani wanatengeneza au ndio huyo huyo bahiya designer.

  ReplyDelete