KITCHEN PARTY - JACQUELINE MALANGALILA

BRIDE::JACQUELINE MALANGALILA
VENUE::DELUXE HALL
DRESS CODE::AFRICAN DRESS
MC::JAMILA KITMTIM

 Hii ni stage ya Red Carpet, inapendezaje

 Zawadi

Hair Style

 


 Mwali akifichuliwa!!! Kitenge mwaga mapesa!!!


CAKE


Mama mkubwa akipata cake
Asante mama mlezi
Asante sana my sis Kitenge Simba
Champaign Cheers na mashostitozRusha Roho!!
Jacq akicheza rusha roho, yeah lazima ufurahi siku yako leo!!!


Kwaito kama ilivyo ada
MC Jamila nakuona shosti!!!!

Zawadi

Kapu la mama....!!

mama akigaragara kumtunza mwanaye

mama akifutwa jashoKitenge na kampani yake yarindima ukumbini
walitunza seti ya sufuria zile za ukweee'e


baada ya kutunza sufuria walianza mchezo pesa!!!

NyusoWa ukwee Kitenge Simba, mfanyabiashara al maarufu. mtoto wa mitaa ya kati ya jiji Kariakoo watakuweza??? chezea weye!!!


Red Carpet

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

4 comments:

 1. Biharusi make up yake imetuliya kwa kweli amependeza,kinamama waliovaa nguo za vitenge wote safi sana kwa shughuli kama hii ya kitchen party. Issue ya make up kwa kina dada wengine bado inawasumbuwa nina maana wana apply too much and sometimes wrong shade of powder with bad finishing.Sisi wa Tanzania ni wazuri naturaly, tusiwe tunajikandika mapowder mingi. Salma,Nigeria

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hongereni nyote, kwa kweli bi arusi umependeza mno, waalikwa nao wote mmependeza sana sana, shughuli inaonekana ilifana, naunga mkono msemaji wa juu, ifike time kina dada na kina mama tupunguze uwekaji wa makeup na hasswa eye shaddows, tunazikandika mnoooo; tuangalie wenzetu wa nigeria, wanakua almost natural with very light make up na eye shadow ndo kabisaaaa inakua light!! naamini, tutafikia wakati nasi tutapendeza kwa uwekaji wa makeup zetu!! Otherwise shughuli safi sana -HONGERENI NYOOOOTE!!!!

   Delete
 2. Bi harusi hongera sana, umependeza kweli kwelI,ila umeharibu ulivyovaa hiyo barazia (sindilia), magauni ya hivyo hupaswi kuvaa bra zinazochungulia, kuna bra zisizokuwa na mikanda. Yaani gauni zuri na limekupendeza kutoka chini ila ukifika juu unakutana na hiyo mikanda ya bra. Tujifunze kuvaa wakina dada.

  ReplyDelete
 3. bi arusi hakufta dress code mbona

  ReplyDelete