WEDDING RECEPTION YA OMARY & FATIHA MJENGONI MBEZIMaarusi wakikata utepe kuingia ndani ya mjengo

Harusi hii ilikuwa kunywa na kucheza na ilichangamka sana japo kulikuwa hakuna kinywaji chochote cha kilevi watu walikuwa na kunywa na kucheza hakuna maneno mengi wala nasaha!!!
Cheza na Rusha Roho


Shangazi Mwanana akicheza kwa furaha ya harusi

Pale waheshimiwa wanapoamua kucheza, mwuacha asili mtumwa
Hafua mjengoni Tunza
Shangazi Mkubwa Mwanana Manzi alimtumnza wifi yake mama Omary akisindikizwa na mashangazi wote


Shangazi Mwanana akitoa zawadi kwa maarusi walimpa kiwanja, na vifaa vya kuanzia ujenzi, umenisoma eeh!!

Chakula
 Tulianza na stater


Salad kibao kwa wale ambao wako kwenye diet hukosi cha kula  

Samaki paka na kukaanga 
 
  Ngisi na chinese rice
kuku na beef roast
  Ndizi nyama
Kama umempenda mpishi huyu mpya akupikie kwenye shughuli yako yoyote ile wasiliana na mashughli blog
 CakeNYUSO's Mr & Mrs.
Red Carpet
  

  
Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

11 comments:

 1. Bi Helen mbona kimya? umetuwekea maanjumati kututamatisha msosi, naona msosi ulikuwa heavy na hiyo New Catering wanapatikana wapi? Maana sijala lkn naona chakula kilikuwa kitamu, hebu lete uhondo

  ReplyDelete
 2. mbona kimya dada Helen.

  ReplyDelete
 3. JAMANI MBONA KIMYA TUNASUBIRI PICHA ZAIDI SIKU YA NNE LEO KIMYA?!!!!

  ReplyDelete
 4. Helen mbona picture kimya???? wiki sasa kulikoni?? Tuletee uhondo

  ReplyDelete
 5. Jamani pengine mwenye shughuli yake hajatoa idhini bado ili picha zionyeshwe, au pengine kuna tatizo la kiufundi, au hata la kiafya pengine Da Hellen iko gonjwa, so fanzeni subra!!

  ReplyDelete
 6. HELEN PICTURE WAPIII? DUUUUUUUUUUUUU HUO MJENGO MBONA NACHANGANYIKIWA NI BABU KUBWA,MWENYE MJENGO NAMPA HONGERA SANAAAAAAAAAA KWAKWELI NYUMBA NZURI SANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

  ReplyDelete
 7. kina dada na kina mama inabidi tu-invest kwenye sidiria, nguo nzuri lkn wengine zinaonekana zimekaa vibaya kwa sababu ya sidiria zilizovaliwa, wengi hatujui size zetu na tunavaa sidiria ambazo haziendani na mavazi tuliyovaa, vifua vinaonekana vibaya. tujitahidi kuvaa sidiria zinazoendana na mavazi tunayovaa, inaongeza uzuri wa muonekano wetu. asante.

  ReplyDelete
 8. Kwa kweli hii harusi ya mjengoni ni nzuri na imependeza sana na itakuwa ndoa yenye baraka kwa sababu WATOTO wamealikwa na wamehudhuria kutia baraka kwenye hiyo harusi. Venue bomba, chakula bien, na waalikwa wamependeza hakuna aliyevaa nguo za ajabu ajabu, Mashallah Mwenyezi mungu awape kila la kheri maharusi ndoa yao idumu na wafanikishe kujenga kiwanja walichopewa zawadi!

  ReplyDelete
 9. Wishing the newlyweds happy marriage full of blessings inshaallah.

  ReplyDelete
 10. mashughuli nimependa vyakula nina harusi yangu soo soon inshaallah nikimuhitaji huyo mpishi nitampataje?

  ReplyDelete
 11. Mashaaallah da Mwanana harusi imependaza sana,nawatakia kila la kheri wanandoa hawa wapya,Mwenyeezi mungu awaepushie na mahasidi na fitna katika ndoa yao,awape amani na barka tele inshallaah,by the way mjengo umetulia mashallaah,chakula kizuri na kinavutia nayakumbuka yale mahanjumati yako uliyotupikia siku ile si mchezo,yaani unajua kupika da mwanana balaa,ni mie mdogo wako U.S.A

  ReplyDelete