MC-Bilal Seduction
Mwali aliingizwa kwa bashasha kibao!!! viuno usiseme!!!
Aziza akicheza kumpokea mwanaye!!!
Mama yake Zainabu akitunza pesa ili kumfichua mwali Fatma Shisha
kwenye kibao kata hiki watu waliitikia sana, hiyo mfichue mwali mpaka dollar, maana shughuli nyingine mfichueni mwali MC anaita mpaka anachoka!, au ndio mambo fyeza, wadau najua mmemsoma Aziza wa muji huu!!
kusoma hujui basi hata picha ya mgombea huoni!!!!
Baada ya mwali kufichuliwa, ilibidi somo atuonyeshe kamfunda nini huyo mwali na kama hajafundika tufanye nini kabla ya Aqdi? by the way huyu mwali ni wa SAIDA CHINA, nasikia anaingia this week kwa ajili ya k-party si mnamjua eeeh!!!
Somo wa muda hongera bibie mambo super!!
Mashangazi wakifurahi na somo baada ya kuonyesha mambo!!!
Hii ilinifurahisha sana, Aziz baada ya mpwa wake kuyaweza mambo alifloor kingoni na kuimba nyimbo za songea, sio uko mjini hata kwenu hujui ni wapi, wenzenu wana makabila yao!!
Zainabu, she is so cute mashallah!!
Sijui kitchen party atapendezaje!!!
Sie tulikula hivi
Tunza
Aziza Songambele akitunzwa na mashostito wa ukwee'e ni mambo ya uro, paundi & dallari chezea Aziza!!! uko juuu ile mbaya!!!
mambo ya fyeza bwana, huyu shostito alitupa kule kama 150,000/=
wakaja mashostito walioshibana Tanisa & Alhanisa na kampani yao kumtunza Aziza
Zakia Muhavile yeye alitunza uro, paundi & dolla, chezea Mhavile jina kubwa bwana!!
Kibao Kata
Kibao ni mambo yote yanayohusu kiuno, ngoma hii ni special kwa ajili ya kumfunda mwali yaani wakati inapigwa nje, chumbani mafundo yanaendelea na nje watu wengine wanacheza kama kawaida, sasa picha hizi ni ada tu inafanyika ,hizi picha si ndani unyago unapochezwa kwanza nani atakuingiza humo ndani na kamera?? si Mwanahamisi Chamuganda kungwi wa makungwi haiwezekani na kwanza huruhusiwi kuingia unyagoni kama hujachezwa!! hizi ni raha tu!!!!, kwa upeo wangu mdogo ndivyo ninavyoelewa lakini wapo wengi wanajua zaidi tuhabarisheni basi!!
Mama Kibunju, Joyce Ngoda & Bila, nani zaidi???
Tanisa akicheza na shosti wake Zainabu
Mariam K, Sameera & Happy ni kweli kiuno kila mtu ana chake bwana!!
Alhanisa & Jasmine Songambele wakicheza!!!
Hii ilikuwa Mbagala Crew waliingia na speed ile mbaya mara wakapotea, nilipowaulizia nikaambiwa wanakaa mbagala, hivi kwa nini hakuna daladala zinazofanya kazi masaa 24?
NYUSO's
Fatma Shisha & mashostito's
wanawari
Latoya, Zainabu & Friend
Shoga yangu mie yeye anarusha roho chini kwa chini
Hajary
Wanawari mbona tutacheza sana!!
Mama na Mwana
Jasmine, Sameera & Mariam
Alhanisa & Tanisa Mwaibula hapana chezea nyie, mko juuu!!
Sheby & Happy Baghdela, jamani Sheby ni designer mnzuri sana sijwahi kuonesha design zake but he is the best
umewaone eeh!!
Mama Ngoda
I really like mtu ambaye anapose akiona camera imemuelekea, sio wengine unampiga picha anatazama chini ukimuuliza vipi hutaki? nataka nipige sasa unatazama chini ili iweje??
Zakia Mhaville
Saada Fashion
Rukia, Hajary & Katende
Jasmine hapana chezea weye
Aziza & Junaitha Pemba
Fatma & Aziza
mama Kibunju
Red Carpet
Penny
Hapana chezea Joyce Ngoda kwa kiuno anatisha!!!
Tanisa Mwaibula toto la mjini
Alhanisa Sleyum nani kama wewe? tumekusoma mambo ya fyeza
SHANGAA!!!!!!!!!!
Yes,Kweli ni kazuri kameolewa jamani natafuta mchumba,
ReplyDeleteYes,Kweli ni kazuri kameolewa jamani natafuta mchumba,
ReplyDeleteumechelewa kaka ndio anafundwa kwa ajili ya kujiandaa ndoani
ReplyDeleteDa Hellen usimkatishe tamaa wakati mwenyewe umeweka picha za wanawari hapo kibao, kubali ushenga tu; ila namshauri Balouz kuwa usitafute mchumba siku ya shughuli!
ReplyDeleteNakupenda mamangu.....kissez
ReplyDeletemhh bi harusi mzuri ehh nimesahau sio mmh mnasemaga mashallah
ReplyDeleteHUYU BILAL MZIMA KWELI MMMMMMMMMMMMH YETU MACHO LAKINI SHUGHULI ILIKUWA NGA'RI NG'ARI NA HAYO MADELA YA KUONYESHA KILA KITU KWA NDANI KAZI KWELI KWELI SIJUI TUENDAKO JAMKENI
ReplyDeleteKILA LA KHERI BI SHOSTITO Zaiii ulipendeza sana
ReplyDeleteWadada wazuriiii ! Mmh dar wanawake weusi unahesabu
ReplyDeletembona wanawake tunajisahau sana jmn,hv kweli tumefikia point ya kukaa uchi namna hiyo,alafu mnasema mwanamke unatakiwa ujistili,sasa mbona naona tofauti.... mmh kwakweli inatia aibu jmn
ReplyDeleteA! si unajua wakongo kwa mkorogo.
ReplyDeleteJamani mbona wote humo weupe au ni macho yangu Amakweli Dar si mchezo black is beautiful chezea rangi Adimu
ReplyDeletemweusi huko ni mmoja tuuu. Ndo maana kila kukicha maduka ya vipodozi yanafunguliwa,chezea dada wa kibongo wewe???
ReplyDeleteHabari nzito
ReplyDelete