JACQUELINE SEND OFF PARTY-JACQUELINE MALANGALILA

BRIDE  ::JACQUELINE MALANGALILA
VENUE ::DIAMOND JUBILEE VIP HALL
Colour  ::PINK, GREEN APPLE & SILVER
MC::MISANGO
CATERER::TALMA
ENTERTAINMENT::NGWASUMA FM ACADEMIA  & RUSHA ROHO
MAKEUP & HAIRSTYLE - JENIPHAR SALOON

  
Jikeki la ukweee
 Jacqueline akiingia ukumbini, bi harusi mtarajiwa akijua kapendeza anakuwa raha!
Pendeza eeh!!!
  
Jacqueline & Neema, nimependa makeup zimetulia kumbe Jeniphar saloon wako juuu!!!
 Shostito Kitenge Simba akiweka mambo sawa!!!

Jacqueline akitoa utambulisho wa familia yake!!
Champaign & Cake


Cheers kwa ajili ya usiku wangu
Jacqueline akichiaz na wazazi wake, Mr & Mrs Malangalila


Nikiona hilo bazee namkumbuka dada yangu Hidaya Pepekale enzi hizooooo!!!
Kitenge umenogaje shosti nakutamani, alinitonya nguo yake kanunua Virgo Mikocheni kwa Mishi
Asante shosti wangu Neema,!!
Sasa twende kwa wakwe niwaambia asante kwa kunitunzia mchumba!!!

Namtafuta mchumba namtafuta mchumba!!!
Sijui yuko wapi???
 huyu hapa mchumba wangu Jacob nakupendaje chukua zawadi hii ya apple

 Jacqueline alimkaribisha Jacob wale wote chakula cha usiku


 Mkono wa Hongera kwa Jac
Wazazi wa Jac walianza kumpa hongera mwanao kwa kuwapa heshima 
Wakwe zake nao walimpa mkono wakamwambia mambo yote kwenye receptionWanakamati nao walikwenda kumpa mkono wa hongera binti yao, sijui walitoa nini maana kamati zashindana siku hizi!!Kamati walimkabidhi cheque ya pesa za kitanzania million moja, chezea kamati!!!!
NGWASUMA FM ACADEMIA LIVE BAND
Wazee wa ngwasuma, wazee wa pamba


 Kichwaa, tumbo na mkia eeeh! eeeh! haiwezi chuja!!!!

NYUSO
R: Papaa Kitwana mkuu wa majeshi na white suit ndani ya shughuliMama na mwana pendeza eeh!
Kitenge na Joha - Sistaz
Kitenge, mama wa mabiashara umecheza kama pele vile!! unasimamia mpaka mwisho

Vinywaji vya kutosha, wine kila meza chezea wao!!!


Baba naona MADINI ya kilos

Red Carpet
Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

5 comments:

 1. HONGERA SANA BI ARUSI, NA UMEPENDEZA KULIKO MAELEZO. ZAIDI NAMSIFIA ALIKUWEKA MAKE-UP!! HUYU KWELI NI PROFESSIONAL WA KAZI YAKE.. HONGERA!! LAITI INGEKUA MA-BIARUSI WOTE WANAWEKA MAKE-UPS ZAO HIVI, INGEKUA SAFI SANA!! AU, LAITI INGEKUA WAPAMBAJI WOTE WANAOPAMBA MA BI-ARUSI WANGEKUWA WANAWAWEKA MAKE-UP MA-BIARUSI KAMA HIVI INGEKUA POA SANA!! MAANA WENGINE WANAWAFANYA KAMA VINYAGO KWA KWELI - NAOMBA MA SALOON ZOTE NA WAPAMBANI WOTE WAIGE MFANO WA MPAMBAJI MWENZAO, WAANGALIE HUYU BI JACQULINE ALIVYOWEKWA MAKE-UP IWE KAMA KIGEZO!! KWANI HATUONI JAMANI ARUSI ZA WA-NIGERIA, MBONA WANAPENDEZA MNO NA LIGHT MAKE-UPS!!! KWANINI TUNAKUWA VICHEKESHO NA MA-MAKE-UPS MANA BADALA YA KUPENDEZA, TUNATISHA!! ITS HIGH TIME TUBADILIKE NA UPAMBAJI WETU, TUSOME KWA WENZETU...

  HONGERENI KWA ARUSI NZURI!!!

  ReplyDelete
  Replies
  1. HONGERA BI HARUSI WE MZURI !!!!!!!!!

   Delete
 2. BIBI HARUSI MAKE UP IMEKUKAA VIZURI SNAAAAAAAAAAA

  ReplyDelete
 3. jack amependeza sana nilitaka kujua hao ni wazazi wake kabisa au baba mdogo na mama mdogo mbona bado vijana sana?

  ReplyDelete
 4. Wanawake tupunguze kujichubua

  ReplyDelete