GUSAGUSA LIVE BAND NDANI YA LANGO JIJI!!

 Bi Hafua akilivurumisha JIDODO, tarehe 30/06/2012 Jumamosi wanatimiza miaka 4 ya Gusagusa Live Band, waimbaji mashuhuri watakuwepo, Rukia Ramadhani toka Zanzibar, Sabaha Mchacho na wengineo wengi usikose!!!!
Gusa gusa helaaaaaaaa!!

Akili zako ni ndogo oooh! mambo umeyavuruga wala hujui kutwanga mpunga unaumwaga!!!


Ukiguswa basi wenda tunza!!

 Vimwana wa Gusagusa
  Wapenzi wa Gusagusa
  

 Wapenzi wa Gusa gusa
 Amina Amour na mashostito's
Crew ya Gusagusa
 

Hassan Mkuregenzi akiwa na wapenzi wa Gusagusa
  
 Tanisa Mwaibula, mimi penda sana pozi zako zinatisha!!

 Hasina & Aza, mashostio wa ukwee!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

3 comments:

  1. Hiyo ndiyo raha ya kwetu bongo,rahaaaaa.

    ReplyDelete
  2. Ukumbi huu sio Kwetu Bar Mbagala Kipati kweli????

    ReplyDelete
  3. Hapo lango lajiji kimaandari ni pachafu watu wamejikwatua lakini ukumbi mandari yake mbaya watafute sehemu nyingine hao gusagusa, wanakonga nyoyo zawatu lakini mszingira yamekaa kiswahili mno big up mama mshughuli kwakutupa habari zawatu hao hao kila siku

    ReplyDelete