Sponsor

EVENT YA MWISHO YA ANNUAL SHOP & BRUNCH FAIR ILIKUWA HIVI...!!!!!

2:05:00 PM

Wateja wakikaribishwa na kinywaji cha wine!!!!, kushoto ni mkuregenzi wa Annual Shop & Brunch Fair William toka Naigeria, wadau wangu twafahamu vile Naija wanajua kuandaa events zao kwa hiyo usikose jumamosi 30 June & 1st July 2012 pale Thai Village Chole Road Masaki kuanzia saa 10:00 am - 0500pm
 Hata Foreigners walishop!!! 

 Accessories na viatu vile vya Red Carpet zitakuwepo, hii ni mara kwanza hapa Tanzania 

 Hii ndio BRUNCH FAIR, mnakutana na marafiki mnakunywa na kudance music huku mkiendelea kushop

marafiki waliokutana

Stay tuned kwa kupata picha zitakazokuwepo siku ya event pale Thai Village

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.