AQDI YA ISMAIL & ZUHURA

BRIDE::Zuhura Mustapha
GROOM::Ismail Mapusa Mntambo
NDOA:: Shadhiry Mosque  

 

Chereko chereko
 Kama kawaida sanduku lasindikizwa na materumbeta, chezea Jitu Bahari!!!

 Salma & Bi Mkubwa Mwanahamisi!!! Mchana kulikuwa na Ngoma ya Warumba, jamani huu ndio utamaduni wetu ngoma za kiafrika


Kama kawa kwa Salma Mntambo kukesha kwake jambo dogooo sana, Baikoko hakuna kulalala 

NYUSO's

 Red Carpet


 


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

7 comments:

 1. mashaallah. rangi ya peponi haimkatai mtu bwana, pendeza sana bi harusi.

  ReplyDelete
 2. mashallah haruc imependeza .............na watakia maisha mema

  ReplyDelete
 3. Mashallah harusi nzuri sana, yani kweli huyo Salma Mntambo Engine ya Jiji. Shughuli zake huwa zinapendeza sana jamani, mi ni mdau mzuri wa mashughuli na mara nyingi huwa naona shughuli za huyo mama ni kiboko..

  ReplyDelete
 4. jamani bi kharusi ma shaallah jamani bwana harusi mungu ampe upofu asione wengine ila mkewe na bi kharusi pia asione wengine ila mumewe maharusi ni wadogo mungu awajalie waishi kwa amani waepuke vishawishi kwa tunaowajua ni wadogo kuhimili purukshani za ndoa na tuwaombee dua wamshinde sheitani.hongera Bi Salma harusi nzuri kama kawaida yako.

  ReplyDelete
 5. mash'allah! kwa kweli harusi imependeza sana na maharusi pia wamependeza. kilichonifurahisha zaidi ni venue! binti hutoka kwao bwana, pamoja na ndoa kufungwa msikitini lakini baada ya hapo mandhari inaonyesha bi harusi kapewa mkono nyumbani. jamani zipeni nyumba zenu barka bila kusahau maharusi wanapaswa kuswali rakaa mbili baada ya ndoa, sasa wakifungia holini maharusi wataswali vipi katika holi? kwa kweli mama hongera sana kama ndivyo ilivyokuwa! igeni mfano huu wadau na mungu atawabariki!

  ReplyDelete
 6. wow, biharus na bwana harusi wamependeza sana. Mama wa bwana harusi anapendeza na stairi ya nywele yake so far. Hongereni sana

  ReplyDelete
 7. jamani ni kweli ni wadogo jamani mungu awajaalie maisha yao yawe yenye baraka jamani ismail hongera nimekuona upo na swahiba wako yule mlikuwa mkiimba wote enzi za shule hehehe,na amir umenenepa bado yako jamani mungu awajaalie nawamiss vijana wa mbezi,mashughuli nipe facebook za hawa vijana jamani mie mdau nilisoma nao wote,waniadd ni mamymudy account yangu ya fb hiyo nimewamiss hawa viumbe hongera sana bwana ismail umekua baba

  ReplyDelete