ANNUAL SHOP & BRUNCH FAIR!

SIKU NDIO HIYO INAWADIA JUMAMOSI & JUMAPILI NENDA KAPATE VITU VYA UKWEE KWA BEI POA!!
Viatu

 HAYA SASA MAFASHIONISTAZ WA JIJI LA DAR, WALE WAPENDAO TO ROCK!! KWA MARA YA KWANZA KABISA NDANI YA THAI VILLAGE CHOLE ROAD MASAKI INAWALETEA ANNUAL SHOP & BRUNCH FAIR, UTAWEZA KUSHOP HUKU UNAJISAVIA WINE NA KUCHEZA MZIKI PIA KUKUTANA NA MARAFIKI
KUTAKUWEPO NA SHOPPING GAME, umeshawahi kucheza???!!!!

TAREHE:: 30 JUNE 2012 & 1st JULY 2012
MUDA:: 10:00 HADI 05:00 JIONI
WAPI:: THAI VILLAGE CHOLE ROAD MASAKI

STAY TUNED HAPA HAPA MASHUGHULI BLOG KUONA PICHA ZA EVENT YA MWISHO ANNUAL SHOP & BRUNCH FAIR NA PIA UTAWEZA KUONA PICHA YA VITU VITAVYOUZWA SIKU HIYO!!!


Mashughuli Blog watakuwepo kwa ajili ya picha za 
RED CARPET

COME ONE COME ALL!!!
KUONA PICHA ZAIDI ZA BONYEZA KITUFE, UINGIE NDANI

 
T-shirt 
100% linen shirt  

 Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment