SKIN SOLUTIONS - Helping you understand your skin!!


Haya wadau natambulisha kwenu duka jipya kabisa hapa jijini Dar wao ni wauzaji wa products za aina tofauti za cosmetics lakini kitu kikubwa kwao ni bidhaa zao wanazouza ni original 100% najua wadau mtashtuka sana kulisikia hili but ni kweli kabisa unaweza fika dukani kwao kwani pia wana tester ili huwezi fahamu ni aina gani powder au foundation inayoendana na rangi ya ngozi yako utapata powder za ukwe'ee zenye majina duniani kama vile, Bobbi Brown, Mac, Black Opal ect kwa bei nafuu!! piga simu hizo hapo chini kwa swali lolote na utawapata professional make-up artist waliobobea ongea nao kwa kufahamu zaidi. Mashughuli Blog itawaletea mambo mengi zaidi toka Skin Solutions 

AINA MBALIMBALI ZA BIDHAA ZINAZOPATIKANA DUKANI

Wanapatikana kupitia no.: +255 783 036 666, +255767 780 014


Kwa kujua zaidi kuhusu skin solutions Tanzania
Follow us on twitter:skinsolutionsTz
Like us on Facebook

Bidhaa nyingi zaidi zinakujia punde

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

3 comments:

  1. Hi, naomba unielekeze ofisi zenu zilipo kwa uzuri, muda wa kazi na kadhalika... Mdau

    ReplyDelete
  2. kama hapo juu naomba kujua mliko tafadhali.

    ReplyDelete
  3. Skin Solutions wanapatakina mikocheni B karibu na jengo la Baraka Plaza tafadhali wapigie namba zao za simu

    ReplyDelete