UMMY SEKIBO - SEND OFF PARTY

BRIDE::UMMY SEKIBO
VENUE::DANKEN HOUSE - MIKOCHENI
COLOR::RAINBOW COLOR
MC::PASCAL MAYALA
DECORATION:: HUSNA DECORATIONS +255 719 766 161
MAKE-UP ARTIST: MAXELL KINONDONI

MC
MC-Pascal Mayala ndani ya 3PC suit ya ukweee'e


Ummi akimtafuta mchumba baada ya kumpata walikwenda kwenye chakula
Champaign zikifunguliwa kwa fujo

Husna dada yake Ummi akimsave champaign 

Decoration

Ummy akimtafuta mchumba wake...., baada ya kumpata walikwenda kwenye buffer 

Kaka mkubwa wa Ummy akimtakia maisha mema ya ndoa!!
Mama akikabidhi zawadi ya nyumba kwa mwanaye

Hii ndio zawadi Ummy alimpa mama yake
Zawadi ya wafanyakazi wa VODACOM kwa mwezao Ummy SweetBurudaniNgoma ya kichaga, ikichezwa kama kawaida kushikana mikono hakuna kuibiana
Nyuso
 
  


 


 RED Carpet

 
SWAGA
Backless zatawala...!!! CHAMBUA CHAMBUA - Mgongo wazi hii imekaaje?? wadau je ni poa tu kuvaa hivi na bra inaonekana??? tuelemishane wadau!!! toa maoni yako!!!


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

13 comments:

 1. Hiyo backless mgongo uwe nao tena uwe scrubbed haswa.

  Sasa hiyo bra jamani kituko? Kwanza kama watu hawajui bra ni underwear kama chupi tu haitakiwi kuonekana hadharani. Hiyo ya huyo dada inaitwa iga iga ufe kisa fashion? Kaonekana uchafu mtupu. Na unapovaa nguo ya wazi huku makwapa meusi jamani agh!!

  ReplyDelete
 2. hongera sana ummy na mungu awajalie maisha mema ya ndoa.... napenda kuongelea swala languo, jamani jamani mimi nashindwa kuelewa, inawezekana kweli hawa watu hawajajiangalia kwenye kioo? unawezaje kuvaa nguo za disco harusini? haya hizo brazia zilivyo..... kwa kweli inatia kinyaa...

  halafu aunt mashughuli, naomba ukiwa unapiga picha hawa wanawake waliovaa vimini, usiwe unawapiga kwa chini, as wanatutia aibu kwa nguo zao fupi, maana mapaja yako wazi sana, na iko siku tutakuja ona na chupi sasa...... halafu hawazingatii maumbo yao....

  otherwise watu walipendeza na ilikua poa......

  ReplyDelete
  Replies
  1. hongera sana ummy send off imependeza sana na wewe umefunika mpenzi kila kitu kilikwenda poa sana, mungu akujalie maisha mema yenye furaha na amani.

   Delete
 3. huyo dada mwenye mgongo wazi na bra nyeusi asichafue hali ya hewa tena na anapaswa ajifunze kuvaa ajue anakwenda wapi na kwa nani kwa ajili ya nini hapo hatukuenda kusutana wala kuumbuana akome kabisaa amechafua hali ya hewa yani zeroooo msiweke picha yake tena.

  ReplyDelete
 4. alizamia huyo mama

  ReplyDelete
 5. Duuuu mwanangu hii swaga haijakaa kivile hata kidogo,yaani ki ukweli unatakiwa ukivaa nguo ya namna hii kama huyo hapo juu hakikisha angalau hauna nyama uzembe maana huwa haikai vyema, pia ni vyema kuvaa nguo ya kusitiri jamani maungo yetu hasa maziwa nje siku hizi imekuwa fashion jamani hadi aibu!!!na tunatakiwa tujue kuwa sisi watu weusi tuna mvuto sana ndo maana hata ukiona mzungu anatembea huko nje ana kinguo kifupi watu wanaona kawaida, ss wewe mmbantu pita na kinguo chako must miruzi itoke kwa sababu maumbile yetu yanavutia so tusiyatumie vibaya.

  ReplyDelete
 6. mdau wa shughuliMay 21, 2012 at 5:31 AM

  jamani mama wa bi harusi kapendeza sanaaa, na mi nina harusi naomba niambie nguo amenunua wapi mama harusi hapa dsm naweza ipata wapi?

  ReplyDelete
 7. Mhh jamani kwa kweli bi harusi kapendeza tatizo mavazi jamani!nadhani itabidi sasa tukiandaa kadi za mwaliko tuanze kuandika na mavazi ya kuvaa manake ivyo vimini aibu pia mpiga picha inabidi uangalie na watu wa kuwapiga picha mbona tunajiabisha jamani kina mama!tuangalie mavazi tunayovaa na maumbo yetu!

  ReplyDelete
 8. loh hata haipendezi hapo sio mahala pale kwanza alovaa anaonekana naenda age loh hayapendeza wala haipendezii

  ReplyDelete
 9. Huyo aliyevaa nguo ya blue mgongo wazi amechemsha,hutakiwi kuvaa bra na nguo kama hiyo,maziwa yanatakiwa yawe saa sita la sivyo usivae,hujapendeza kabisa,yaani umetokota,acheni kuiga jamani,LOL

  ReplyDelete
 10. Tatizo Watz kuvaa au mavazi bado sana yaani hatujui nguo ipi ivaliwe wapi na kwa shughuli gani, mfano hiyo shughuli ni pre wedding party lakini watu wengine wamevaa kama wanaenda disco au wako clubs za kujiuza aghh inabidi sasa watu waweke dress code na awepo mlinzi mlangoni ukivaa sivyo ndivyo huruhisiwi kuingia ndani ya ukumbi maana mnaharibu shughuli za watu.

  ReplyDelete
 11. The send off was great i had a great time at the end of the day ni mpangilio tuu unaeza kuwa umevaa mini ukawa decent na unaweza kuvaa mini ukonekana umetoka club so it is up to u mgeni mualikwa uvae kwa mpangilio. Aunty shuguli i love ur work

  ReplyDelete
 12. jamani shughuli nzuri wengi wamependeza ila huyo dada mwenye bra nyeusi anatia aibu kwanza umbo lake na hiyo nguo havina ushirikiano manyama yanaonekana bra yenyewe choka mbaya dada picha kama hizo bora usiwe unapiga

  ReplyDelete