Sponsor

ONJA:: UMMY SWEET SEKIBO AQDI

6:59:00 AM Swaga za Ummy nimezikubali...!!! za ukwee'ee
 Jamani huyu mtoto alipendeza sana mashallah, hizi ni mila babu bi harusi apewa mkono na mumewe baada ya aqdi awe amekaa kwenye mkeka, wakwe walikuja na mkeka!
Stage hii hapa msije mkasema kulikuwa hakuna stage!!!!
Mume akimpa mkono mkewe!!!!
Nikikuambia ukae mkao wa picha bora jiegeshe tu, mimi ndio mama mashughuli nambari one hakuna mwingine!!
Ummy alilipa FULL PACKAGE yaani kibao kata, K-party, Send Off & Aqdi kwa hiyo alipata punguzo, nyie watarajiwa lipia sasa uwaonyeshe watu umefanya nini?? umevaa nini!!! inahusu dunia ya utandawazi....lol

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.