Sponsor

ONJA - KITCHEN PARTY YA UMMI

4:55:00 PM

Ummi alipendezaje baby gal, kaa mkao wa kuona picha na umjue 
designer wa nguo yake anayekuja kwa kasi
Mashostito wakimuuingiza shosti kwa takshishi kibao!!! chezea watoto wa mujini weye!!!
KAA MKAO PICHA ZAIDI!!!!!!

You Might Also Like

4 comments

 1. atakua Halima Kamus,

  ReplyDelete
 2. Ndio mwenyewe anatisha vibaya alishona nguo kwa masaa 4 tuu na ikakamilika big up Halima Kamus

  ReplyDelete
 3. Mashaalah pande la wifi umependeza mwenyezi Mungu akulaalie mume mwenye kheri, mwenyemapnzi na huiruma na wewe akepe na kizazi cha kike na kiume kizazi chenye barka na kheri na wewe pamoja na wazee wako na wazee wa mumoe (japo umeninyima harusi but I wish I was there I'm so happy for you X wifiyoo gues who?)

  ReplyDelete
 4. waowwwwwwwww...amependezajeeeeeeeeeeeeee...congrats mamito

  ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.