Menu ilikuwa kama ifuatavyo, duh nasikia vyote vilipikwa hapo nyumbani inapendezaje, maana siku hizi tumezoea order...!!
Salad
Changu, samaki wa kupaka
Cutless
Ndizi Tamu
Chapati
Samosa
Vitumbua
Ndizi za kuchoma
Lobster
Tandoori chicken
Huyu samaki gani tena?? nisaidieni wadau
Kingfish wa kukaanga ambao walitiwa chumvi n ndimu
eti huyo ndio ngizi samaki eeh!!
Mishikaki ilikuwa ikichomwa hapo hapo!!!
Juice, L: Embe gogo, Embe dodo na tikitimaji
Muhogo wa nazi juu ukatupiwa dagaa wabichi wa kukaanga
cake
Mama Manzi aliwatayarishia wanakamati wenzake cake ya shukrani, waswahili wanasema wastaarabu wana mji wao, huyu dada Mwanana Manzi na familia yao ni wakarimu sana sijapata kuona, mpaka watoto nao kama wazazi wao, nikifahamiana na familia kama hii, uwa namshukuru Mungu amenikutanisha nao, asante BEST friend GHAIFE!!!
Bi Harusi ndio aliyekata cake
alimlisha mama Manzi kwanza
akimlisha mama mkwe, Mrs Chicco
Mzee Chicco alitoa zawadi kwa ajili ya wana kamati wake!!
M\Kiti akipokea zawadi toka kwa Mzee Chicco
Mzee Yussuf Manzi na yeye akipokea zawadi yake
Mzee Kambi na yeye akipokea zawadi
Mzee Chicco alikuwa na zawadi nyingine tena, kwa upande wa kina mama
Kwanza alimpa mkwe wake, Haika
Maneno ya shukrani
Nyuso
Mwanana na mziwanda wake, Abdulkarim Yussuf Manzi
Mwanana na mjukuu - God Bless you
Mwanana na mkwewe mke wa Mohamed, bi Mariam
Mohamed na first born wake
Mohamed na mkewe Mariam & baby
Mwashamba & Mwanana
Red Carpet
Mother House - Mwanana Manzi
Mziwanda Abdulkarim, jamani huyu mtoto very helpful ukiona vile alivyowajibika kuwahudumia wageni "mashallaah"
Nimeitwa kwa ajili ya picha but nikabaki nashangaa mjengo...!!!
jamani what a lovely house!!!! for these couples!!!
CONGRATULATION!!!!!!
Garden, green ndio kitu napenda sana..!!!
Nyumba hii nakshi ni kiafrika zaidi...!!
Napenda sana hii milango!!!!
Sitting Room, ni mambo ya TNG siyo tiles
Dinning
Masaafu imekaa mahali panapostahili!!!!
TV Room, sitaki kuwaza hapo ndio game inachezwa maana .....!!!
Jamani kuna watu wamejaliwa? Hongera nyumba ina mvuto........Mungu atatujalia nasi, tutafika tuuu
ReplyDeleteMashallah nyumba nzuri jamani
ReplyDeleteI like Zanzibar Chest.
ReplyDeletehongera sana Mwanana
ReplyDeleteHongera da Mwanana na mumeo.
ReplyDeleteWow lovely family nice house god bless u mr & mrs .
ReplyDeleteOoh da mashughuli nyam natamani ningekuwepo mana msosi aah mmwaah .
By sweety
Kweli da Hellen ukiambatana na mawaridi utanukia uturi, nyumba nzuri Mashaallah!
ReplyDeletemashallah kila kitu kizuri ila yule bi harusi hakua rasmi kabisa angalia watu wote wako smati ataa mkwe anaonekana smat umetuangusha next time jirekebishe watu wa dar wapo bomba kwenye kuvaa
ReplyDeletemama mudy hongera sana,imependeza ile mbaya.chezea mwananana weye,wanawake tuige mfano wa upendo wake,mtoto wa mwenzio ni wako. by mama joha
ReplyDeleteyaani nimewapenda kupita maelazo hakika nyie watu wa pwani kwa upande wa samaki sina la zaidi mupo juuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.na mengine yote mashallahu allah barik.
ReplyDelete