KIPYA JIJINI:::"THE MBONI MASIMBA TALK SHOW"

Mtangazaji wa Kipindi cha “THE MBONI SHOW” Mboni Masimba (katikati) akizungumza na waandishi wa habari juu ya dhima ya kipindi chake kipya kitakachokuwa kikirushwa kupitia Luninga ya EATV kuanzia tarehe 31st May, 2012. Kushoto ni Muongozaji wa kipindi hicho George Tyson na Kulia ni Mratibu wa Vipindi EATV Sophia Mng’anya.
Picha shukrani FUNUNUHABARI.BLOGSPOT.COMMashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment