It's Official "Jenifa" Star Funke is a Married Woman

White Wedding
 Veli yake nzuri eeh!

 Pembeni ya Geneaveiv yuko Ini Edo, lakini sipati jibu bado ni mama kijacho nini??
 Desmond Elliot, Genevieve Nnanji & Funke Akindele


Nimependa sana hicho blazzer cha Genevieve 
 AY and his wife, kumbe hata wao wana AY wao
Abimbola Mariah akisoma barua, jamani ni barua gani hiyo inasomwa harusuni na yatoka wapi?? huyu ni mdogo wake bi harusi, na barua yenyewe umeiona ebu wajuzi wa mambo tujuzeni kuhusu hiyo baruia, au ndio barua yangu ile nyimbo ya kibao kata, hamad upo hapo?

Decor
 Traditional Wedding 

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

9 comments:

 1. Kudadeki hizi ndizo harusi, bana

  ReplyDelete
 2. MARRIED WOMAN NOT WOMEN MAMA MASHUGHULI! Blogu yako ni international hii, huwa tunawaleta marafiki zetu wa kizungu kuja kuona maisha yetu kwa ujumla na sherehe mbali mbali, kwa hiyo unapopost ujue kuwa unauambia ulimwengu mzima.

  ReplyDelete
 3. Habari yako aunt wa mashughuli, kama inawezekana bora ungetutilia harusi za kwetu tu kwani hizi za kinegiria sie hazituhusu kubwa ni watu kuiga utamaduni wao na kuwacha wetu wa kitanzania. napendekeze mdau.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Heee jamani wewe anonymous, muache aweke za ki Nigeria tutaigia wapi. Tafadhali kama unazo nyingi wekaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

   Delete
 4. Wacha aposti harusi za Wanaija ili nasi watu wakwetu wapate kujifunza, hasa kwenye suala zima la kupaka makeup au podari kama tunavyoita kwetu Unguja. Hebu waangalie hapo hao wanawake walivyonoga na nguo zao nzuri za heshima, sie sisi kwetu watu wanakwenda harusini na nguo za machangu, usoni wamejikandika mapodari utafikiri wacheza ngoma ya kilua ya kule Kigoma.

  Haya muache kusingizia kamera ya Mashughuli imewatoa vibaya mupake makeup kulingana na rangi zenu sio kujijaza Johnson baby powder!!

  ReplyDelete
 5. HA HA HA BI MASHUGHULI!!! ETI KUMBE NA WAO WANA AY WAO!!!NYIE JINA MLILINUNUA???
  WAMEPENDEZA JAMANI HAWA WATU!
  AHLAM,,,LONDON

  ReplyDelete
 6. MIMI NAULIZA HIVI MBONA MASUPERSTAR WA UKWELI WA KINAIJA HAWAPAKI MIKOROGO?
  Tatizo la wakwetu ni ushamba ujinga au kitu gani?

  Cheki kitu Genevieve! black beauty!

  ReplyDelete
 7. The letter is the engagement letter, where the groom asks the brides parents permission to take their daughter for his wife.

  ReplyDelete
 8. Mmmh sina hata cha kusema.

  ReplyDelete