LOOK OF THE DAY-FASHIONISTA GHAIFE AND HUBBY


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

15 comments:

 1. Mashallaaaaaaaaaaah my mdogo Ghaife umependezajee na mumeo.Mwenyeezi mungu azidi kuwajaalia ndoa yenu izidi kung'ara inshallaah.

  ReplyDelete
 2. Ghaife umependeza sana sana,nawaombea maisha mema wewe na mumeo.

  ReplyDelete
 3. Kwa kweli Ghaife umependeza. je waweza kutujuza duka gani au designer gani huyo wa nguo yako.you luook mwaaaaa!

  ReplyDelete
 4. woooow umependeza maana mimi ugonjwa wangu vikuku vya mguuni wooow uko juu wewe na mumeo mmependeza mungu awajaalie na ktk maisha yenu,cheers

  ReplyDelete
 5. MASHAAAAAALLAAAAAAH.

  ReplyDelete
 6. Ghaife umependeza wewe na mumeo mashallaah.unazidi kuwa juuu mwenyewe hongera sana ndugu yetu,visonoko walijaribu sana kuwavurugia ndoa yenu duuuuuh wameumbukajeeee watu wazima ovyoooo.msiwape nafasi tena kama mimi ni wewe.

  ReplyDelete
 7. Jirani yetu Ghaife pale mbezi chezeea wewe,naona umetinga jiugonjwa limejaaaaaaa vidoleni mwako,wooow chezeea wewe kwa MADINIIII.

  ReplyDelete
 8. Mashallaah wapendanao hao mmependezajeee wenyewee.

  ReplyDelete
 9. Ghaife wewe ni kiboko yao ukweli ni huo yaani ndugu yangu mmependeza sana na mumeo hakuna ubishi kweli visonoko wameumbuka tena vibaya sana, safi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa its me yours sis

  ReplyDelete
 10. Replies
  1. DA ZABIBU,REVERE, MAMay 26, 2012 at 6:11 PM

   MDOGO WANGU GHAIFA NAONA UNAKIMBIZA SI KITOTO,UR MASACHUSSETTS NAMBARI ONE,HUNA MPINZANI KIUKWELI,WATOTO WA KARIAKOO WANASEMA "HAKUNAGA" KAMA WEWE

   Sayz Zabibu Parker.

   Delete
 11. Kwa kweli hapo juuuu umesema ukweli dear hakunaga kama Ghaife..maana mimi nilimpenda zaidi zaidi alipoachana na ma group yasiyokuwa na thamani na akaamua kupiga buti kisawa sawa na kuongozana na watu maaalum wenye maendeleo yao na ndio maana yuko juuu,chezea wanawake wenye akili zao..keep it up wewe ni mfano wa kuigwa..maana maisha ni kutafuta na sio kutafutana.

  ReplyDelete
  Replies
  1. mdau hapo juu umenifurahisha,umetupa jiwe kizani kuna litakaowapata tu,ujumbe umefika unakotakiwa,watajibeba mwaka huu na roho zao za kwanini..........ningekua wao ningefuata nyayo zako tu badala ya kujinunisha na kujisononesha

   Delete
  2. mdau wa u turn blogMay 29, 2012 at 12:50 PM

   Jamani picha za mnuso wa juzi da Ghaife lini humu mashughulini??i'm your number one fan

   Delete
  3. Hata mimi alinifurahisha sana kwa kweli alipoachana na mizee ile,kazi yao ni maneno tu na ujinga mtupu,bora umewaepuka Ghaife usingekuwa hapo ulipo sasa,hongera mrembo wangu me love you kwa mingii.

   Delete